Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Huyu Cantalisia ni mke wa ndoa wa Rejao. Cantalisia ni mtoto wa baba yangu mkubwa yaani Cantalisia ni dada yake Lady doctor na Passion Lady kwa baba mkubwa. Ntakua nawatambulisha mmoja mmoja bado mwingine hajaja Angel Msoffe. Mia
daah kumbe tuna ukoo mkubwa hivi? Haya wataje na wengine tusije tukapigana vikumbo kwenye nyumba za wenyeji
Last edited by a moderator: