asante kwa kunikumbusha....halafu nakaa wapi....?
weekend huwa ikifika yaani watu huwa wanachanganyikiwa...
mpaka saa hii sijui naitwa nani....
nipe muelekeo....
Kaangalie kitambulisho cha kura ujue unaitwa nani!
Unapafahamu Masai Camp?
Nahisi na we ni mmoja wao.uwongo??sema kama nimekusingizia.