Happy friday Buddies.
weekend huwa ikifika yaani watu huwa wanachanganyikiwa...
Wewe unaitwa Weekend!.mpaka saa hii sijui naitwa nani....
Wewe unaitwa Weekend!.
Unakaa kijiji cha Mtakuja, wilaya ya Mugumu, Mkoa wa Mara!.asante kwa kunikumbusha....halafu nakaa wapi....?
Unakaa kijiji cha Mtakuja, wilaya ya Mugumu, Mkoa wa Mara!.
Hizo ndio anga unaweza kumpata Preta, mzukie!.jamani Yegomasika umenikumbusha Bunda bus.
mpaka saa hii sijui naitwa nani....
wapi arushaone tuanze mpango mzima wa weekend.