Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

Siku ya huzuni unaanzaje kula vinono?Anateswa,kutwezwa,kutokwa damu na kusulubiwa msalabani hadi kufa.Kula nyama ni kiashiria cha furaha na ufahari.Kwa nini ulie huku unacheka?Halafu ni siku moja tu/masaa machache nini kinakushinda?Kwani kila siku huwa unakula nyama?
Nyama ni aina mojawapo ya chakula ambacho anatakiwa kula binadamu. Unapoihusisha nyama na furaha kama sehemu ya sababu ya kuzuia watu kula nyama siku ya huzuni napata wasiwasi kuhusu uelewa wako.
 
Uzuri bana hatunaga mapovu wangekua walee waleeeee wangeshajaa hapa kumwaga povu la imani yao kusakamwa.

Kama sio mkatoliki kula tu hakuna atakayekuchapa fimbo😂😂😂😂
wangejaa km pishi😂😂😂 ila amekuta anaepigana nae hana tym ya kutafta ushindi wa maneno,

usikute sio mkristo ila tu ndoivo anasikiliza atenshen ya wahusika ikoje.
 
Unachanganya habari/madesa/taarifa.Furaha huja siku ya kufufuka kwake.Haleluya!
Wewe ndio unachanganya madema.
Ushindi wa imani ya kikristo ulipatikana msalabani (wakati Yesu anakufa) na sio kaburini (wakati anafufuka). Ndio maana makanisa yanatundika misalaba kama alama ya ushindi na sio kutundika makaburi.

Kufufuka kwa Yesu ni matokeo ya kufa kwake, asingekufa na kufufuka kusingekuwepo. Hivyo msingi upo kwenye kufa kwa Yesu.
 
Nyama ni aina mojawapo ya chakula ambacho anatakiwa kula binadamu. Unapoihusisha nyama na furaha kama sehemu ya sababu ya kuzuia watu kula nyama siku ya huzuni napata wasiwasi kuhusu uelewa wako.
Mkuu,weye endelea kupata "mawasiwasi" na uelewa wangu tu.Kijijini kwetu na kwa "Imani" yangu,kula nyama ni ishara ya furaha na ukwasi mwingi.Italiwa siku akifufuka Masihi Yesu Kristo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom