Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Wasabato hawajawekewa siku ya kupumzika Jumamosi haendi kazini,lakini Jumapili yuko mzigoni,sasa ndugu zangu waislamu wanaweza kuiga tu wasabato piga kazi mpaka alhamis jumapili au jumamosi nenda kamalizie siku yako.Kwa kawaidamtu anatakiwa kufanya kazi masaa nane kwa siku na masaa arobaini na tano kwa wiki.Unajiamulia wala usisubiri katiba itakuchelewesha.