mungu ana namna nyingi sana za kuwaadhibu wanadamu hapa hapa duniani. Idadi ya waislamu katika ardhi ni sawa na kiwango cha adhabu ambacho mungu amekielekeza kwa taifa husika.
Hivi katika mambo yooote yanayolikabili taifa letu, hawa wenzetu wao ubize ni kwenye kushindanisha nini cha nani na kwa nini huyu kafanyiwa hivi mimi sijafanyiwa.
Huu ujinga wa kuwa wakristo wanasali jumapili sijui umetoka wapi. Wakristo (labda niwasemee wakatoliki ambao ndio nawafahamu) hawasali jumapili. Sisi wakatoliki tunasali siku zote. Ila, kwa kuwa jumapili ni public holiday, basi tunakusanyika na kufanya dominica.
Naamini hata watu wengine wenye akili, wangeweza kuitumia jumapili kuabudu kwa kuwa wapo nyumbani. Bila shaka mnaweza kuona hata siku ya mwaka mpya, hata iwe alhamisi, basi kanisa katoliki hufanya misa