Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

point of Correction God rested on the 7th day being Saturday not on the 1st being Sunday.

Biblia haitaji jumamosi kama ndio siku ya saba. inatueleza siku moja mpaka saba. ni lini siku ya kwanza inategemeana na wewe. Mfano katika dunia yetu hii leo yapo makundi mbalimbali, ambayo yameamua kufanya siku tofauti za kuabudu Mungu wao, wanajua ni lini siku ya kwanza kwao na lini siku ya saba na siku zimepewa majina ilikufanya utaratibu uwe sawa na ueleweke kwa wote. Sabato is a matter of judgement. Mungu ametupa akili ufanye maamuzi yenye kumtukuza. Ni vema kuelewa kwamba, neno linaua, pia neno linahuisha. Neno la Mungu bila Mafunuo ya Roho wake, hamna kitu, unaweza kusoma mwanzo mpaka ufunuo mara nne tano kwa Mwaka na usimjue Mungu. unaweza kusoma elimu zote za dunia hii lakini ukashindwa kuelewa neno mfano mzuri mapadri wanasoma sana lakini peleka mtu mwenye pepo au jini uone kama atalikemea likakimbia. Mpe mtu asiye na elimu bali aliyejawa na roho wa Mungu uone pepo/jina linavyo kimbia. Shetani haogopi elimu, bali nguvu ya Mungu ambayo inapatikana pale ambapo the Spirit of God is moving.... Kwa hiyo, kuelewa haya you need to have a connection kati ya neno la Mungu na Roho wa Mungu anayefunua ukweli wa yaliyojificha. Mfano Mwanzo 1:1-3 Unaona jinsi Mungu alivyohitaji Roho wake ili afanye uumbaji, sentensi na iwe nuru (let there be light) ilikuja baada ya roho wa Mungu kuanza kutembea juu ya uso wa maji (the move of the spirit). je kama Mungu alihitaji roho je wewe na mimi? Ni Muhimu sana kuongozwa na Roho katika neno. Biblia ni kwa ufupi tu wa Mambo ambayo Mungu ameweka tusome (just a summary) which the blind cannot see. Revelation is very important. Ni hatari sana kusoma neno na kulitafsiri kwa akili zako maana linaua. Most religious and educated people do not appreciate this fact. "Let this Bring a new revelation into you in Jesus name"...Amen.
 
Mungu tupe kutafakari vema mafundisho yako. Zaidi sana utulinde na adui shetani anayevuruga taratibu zako. utuwezeshe kuzishika amri zako milele....
Amina...Amina...Amina
 
Grey ni kweli biblia inataja siku ya saba mwanzo to ufunuo,ila justifications za kuijua ziko wazi kwa wasomi wote duniani.Dictionaries zote zinakubali kuwa saturday ndio siku ya saba,Kutoka 16 inaonyesha hata mana kwa Waisraeli iliaanguka siku sita tu ya sabato ilikuwa haianguki ambayo ni jumamosi;Mwanzo 1 inaonyesha utaratibu wa Mungu wa Kuumba na alifuata ecosystem ndio maana mwanadamu akaumbwa siku ya sita,uliumbwa mwanga,maji then ndio mimea na wanyama ili wanyama waje wale majani na majani yapate maji,Mungu hakuwa wa siku yoyote ndugu yangu kama ufikiriavyo,haiwezekani May iwe June hata nyota zinamuheshimu Mungu.Kitabu cha Luka 24:1 kinaonyesha mateso ya Yesu yalikuwa siku ya maandalio ya sabato na kwa heshima na taadhima Yesu akalala kaburini kupumzika Sabato kama ilivyokuwa desturi yake na siku ya kwanza akafufuka.Biblia haisemi siku yoyoye akafufuka.Tusome maandiko tuelewe Kisomi zaidi.Kubadilisha majira na nyakati ni kawaida kwa wanadamu wa leo,wamebadili kuanzia saa,siku,mwezi,mwaka n.k mfano miezi yote katika biblia ina siku 30 leo eti kuna mwezi una siku 28 na mingine 30 na 31!Why?Kama unaweza ndugu yangu nitafute nikupe mwanga zaidi wa biblia uone logic za kisomi zaidi.

Kwanza ni kwambie, hakuna uhusiano wowote kati ya elimu hii ya dunia na elimu ya Mungu na Nguvu ya Mungu (Upako). Ni tofauti kabisa. Kitu kinaweza kuwa wazi na ku-make sense kwa wasomi wote duniani na kisiwe na maana kwa Mungu. ndio maana wasomi wengi sio watumishi wa Mungu na hawana nguvu ya Mungu. Angalia ni wahubiri wangapi ni maprofesa (elimu ya juu zaidi hapa duniani). Mambo ya Mungu haya make sense katika akili za kibinadamu, we cannot apprehend nor comprehend God. We cannot intellectualize or judge God by the level of education you have attained, Your PhD doen not make any sense to God if it were so, all professors of Universities would have been very annointed. Kiwango cha elimu haki-determine kiwango chako cha uweza katika mambo ya Mungu. He remains to be God and forever he will be.

Katika maelezo yako sipati connection kati ya neno la Biblia na hizi siku tulizonazo leo, yaani jumatatu mpk jumamosi. be straight, achana sense making argument just show where in the Bible openly say that saturday is a true worship day.
Mpangilio wa siku do not make any sense to a worshiper. Na kwa taarifa yako jambo lolote unaloliona lipo ukiwemo mpangilio wa siku yeye mwenyewe ndio ameruhusu iwe hivyo ndio maana ziko hivyo, vinginevyo zisingekuwepo.

Historically, back in the days watu hawakuabudu Mungu waliabudu hivyo vilivyo tajwa Monday to sunday. Lakini leo, the fact kwamba tuna mwabudu Yeye Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana, Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Haijalishi siku hiyo hapo kale babu wenzetu waliabudu nini, utukufu wake unashuka, Roho wake tunakuwa naye, Mungu anashuka na tuna Muona na tunafurahi katika yeye...

Shetani ni mwongo sana, ana divert mind ya watu watoke kwenye kusudi la asili la Mungu. Mungu alituumba sisi ili tumwabudu na kumfurahisha. Chagua siku yoyote itenge itakase na mpe Mungu utukufu katika Roho na kweli, uone atakavyo furahi. Najua wengine wanashangaa, Mungu ninaye Mzungumzia mimi sio yule wa Dini aliye bakiza historia na Ubishi usio na majibu! hapana. Ni yeye yule Alfa na Omega, Mwanzo mwisho, anaongea, yupo na anawapenda watoto wake yaani sisi, Yohn 1:8-10 wale wote walio mpokea ndio wana wa Mungu, wanaoongozwa na roho ndio wana wa Mungu. Yaani ni kichekesho, badala ya watu kuhubiria watu waache dhambi na kumrudia Mungu, tunakomaa na sabato, yakweli ni lini ili iweje sasa? Yesu amewatuma kuhubiri injili ili kila atakaye amini apate kuokoka, hakuwatuma kuitangaza sabato. Let us focus on that, haya mengine ni msisitizo tu wa kawaida kwa wana wa Mungu. Mungu anahitaji watu wengi wamrudie leo. Nasema hivi kwa sababu nimeona kwa wenzetu wasabato wanawaza siku tu ya sabato kwa kiasi kikubwa. Badala ya kuhubiri zaidi juu ya wokovu watu waache dhambi. Kumbukeni, dawa ya kila tatizo tulilonalo leo li katika Injili, Because Jesus said to the poor, Gospel is preached! May God enlighten you minds and Bless you.
 
Mungu aliposema ikumbuke alijua watu wengi sana watasahau na wataanza kukumbushana siku watakazo wao,Sabato ni kwa ajiri ya wanadamu na si wanadamu kwa ajiri ya sabato,Mungu alisema.Mkamate sana elimu na usimwache aende zake.Kila mwanadamu amepewa taranta na kipawa fulani kulingana na mapenzi ya Mungu lakini kuna karama ambazo Mungu katoa kwa kadiri roho apendavyo ili kazi yake iweze kufanyika.Mada ni Siku ya Kuabudu,tusitoke nje ya mada na kukimbilia Upako,kunena kwa Lugha N.k ambako nako twaweza kuongea siku nyingine pia.Elimu ya dunia haina mchango wowote na utendaji wa kazi ya Mungu kama ulivyosema lakini Mungu akichagua kukutumia hali una elimu ya Kidunia unakua bora zaidi kuliko asiyejua kusoma na kuandika.Fanya sehemu yako yasiyowezekana mwachie Mungu.MUNGU WETU ANA UTARATIBU WA KUABUDU NA NDIYO MAANA SABATO ITADUMU MILELE KATIKA MBINGU MPYA NA NCHI MPYA.Wasabato wanasisitiza hili kwa sababu ndiyo mwanzo wa diversion ya mambo yote.Sina maana wao ni wakamilifu wote,hapana,ila namaanisha wanabase kwa kitu ambacho Mungu kasema kikumbukwe.Serilkali gani haina utaratibu?Si itakuwa machafuko?Ndugu yangu hapa duniani kuna makundi matatu ambayo hutoa ukweli wa mambo,Siku za kuabudu kuu ziko tatu ya kweli ni sabato na iko katikati ya zile mbili,wakati yesu anaangikwa msalabani kulikuwa na misalaba Mitatu,Mwana wa Mungu alikuwa msalaba wa katikati na siyo ile ya wengine.nikikumbuka fungu la Isaya inayoonyesha hilo nitakwambia.Ndugu yangu waweza kuwa unamjua Mungu vizuri sana ila ukakosea kuchukua ukweli na utaratibu wa kuabudu.Mungu anasema katika Ufunuo,Tokeni kwake enyi watu wangu,akimaanisha itafika wakati hata wale wakristo wengine wataiona kweli ya sabato na kumwabudu bwana wao kwa roho na kweli.Na kuna wasabato watapepetwa kwa sababu wanadhani siku pekee yaweza kuwapeleka mbinguni.KWA HAKIKA SOMA VIZURI UKWELI WA SABATO UTAONA UMEINGIA CHAKA HUKO ULIKO.PITIA HATA UKWELI NILIOANDIKA KATIKA MADA HII AMBAO HATA QURAN INAUKUBALI
 
Hakuna aliyemzuia kupumzika yeye na familia yake hata kwa katiba ya sasa. Cha msingi watumishi wa umma wafanye kazi hadi saa 10.30 jioni halafu warudi nyumbani wakapumzike. Mimi huwa nafanya kazi Jumatatu hadi Jumapili, lakini pia huwa napumzika Jumatatu hadi Jumapili.

Mambo ya kufikiria kulala kwenye majamvi misikitini siku nzima ndio yanayotuletea umasikini[/QUOTE]

dah mkubwa mbona apo kwenye red umeenda mbali kiongozi...!! ayo sio maoni ati that is inusultation!!SIO KIIVYO BHANAAAA
 
mmhh hao jamaa ni janga kuu la kitaifa,huo ni uvivu uliokithiri hawataki kufanya kazi tu hao
mbona jumapili siku takatifu hata wao hufunga maduka yao kariakoo na sehemu nyingine bila kuambiwa na mtu?
Lakini hiyo siku yao ya ijumaa wanaendelea na kazi kama kawaida lakini wanatenga muda tu wa kwenda kuswali?
Mashindano na wakristo hamtayaweza,mtaishia kulalama tu kuwa serikali inaendeshwa kwa mfumo kristo huku mkijisahaulisha kuwa viongozi wote walioshika nyadhfa nyeti tanzania ni waislam
naomba kuwasilisha na amani ya bwana yesu kristo iwe nanyi nyote wenye mahangaiko,damu ya yesu itawaponya

so nini ushauri wako
 
[h=2]Christian holy days[/h][h=1]The weekly Sabbath: is it
to be Saturday or Sunday?
[/h]
topruled.gif
Sponsored link.

topruled.gif
[h=3]Why and when the weekly Sabbath was moved[/h]The only interval during which Christianity was unified ocurred between the execution of Yeshua of Nazareth (Jesus Christ) circa 30 CE, and the arrival of Paul in Judea near the end of that decade. The Jewish Christian movement was under the leadership of James -- the brother of Jesus, Peter and other disciples. They sacrificed in the Temple and observed the Laws of Moses, including Sabbath observance on Saturdays.
Until the late 4th century CE, when Christianity was made the official religion of Rome, Christians lived in a predominately Pagan world. There was a mosaic of Pagan religions in the Roman Empire:

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]The long established, official religion of the Roman Empire was Pagan. It involved worship of -- or at least nominal sacrifices to -- a pantheon of Roman deities, both Gods and Goddesses.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]A strong competitor to Christianity in those days was a third religion: Mithraism. This faith involved the worship of a Persian God Mithra, and was popular among the Roman civil service and military.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]There were many other smaller religions, including the Pagan religions of Greece and Egypt, and the mystery religions. [/TD]
The Roman religion and Mithraism reserved Sunday as their day of religious observance. Many Christians were probably tempted to follow suit.
The Christians were also motivated to change the Sabbath day as a method of distancing themselves from the Jews. Two reasons were:

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]The Government intermittently persecuted the Jews at this time; it was safer for Christianity to be considered as a separate religion rather than as a sect of Judaism.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]Relations between the Jews and Christians was hostile at this time. The early Christian church had suffered much persecution from the Jews.[/TD]
In 321 CE, while he was a Pagan sun-worshiper, the Emperor Constantine declared that Sunday was to be a day of rest throughout the Roman Empire:
"On the venerable day of the Sun let the magistrates and people residing in cities rest, and let all workshops be closed. In the country however persons engaged in agriculture may freely and lawfully continue their pursuits because it often happens that another day is not suitable for gain-sowing or vine planting; lest by neglecting the proper moment for such operations the bounty of heaven should be lost."
The Church Council of Laodicea circa 364 CE ordered that religious observances were to be conducted on Sunday, not Saturday. Sunday became the new Sabbath. They ruled: "Christians shall not Judaize and be idle on Saturday, but shall work on that day." There are many indicators in the historical record that some Christians ignored the Church's ruling. Sabbath observance was noted in Wales as late as 1115 CE. Francis Xavier was concerned about Sabbath worship in Goa, India in 1560 CE; he called for the Inquisition to set up an office there to stamp out what he called "Jewish wickedness". A Catholic Provincial Council suppressed the practice in Norway in 1435 CE.
topruled.gif
[h=3]Texts used to support a Sunday Sabbath[/h]There are 8 references in the Christian Scriptures to the "first day of the week", as Sunday was referred to in those days.

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]Five of them refer to events during Resurrection Morning -- the day when the tomb where Jesus was laid was found to be empty. The other three are:[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] John 20:19 describes events on what we would call Sunday evening. The disciples were gathered together. Some have speculated that this might have been the first Sunday worship service. Others suggest that the text seems to imply that they were gathered together for their own protection, out of fear of attack by " the Jews ."[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Acts 20:7 : Paul is described as preaching on a Sunday evening. It was evening, because the passage refers to lamps being lit. Some Christians promote this text as demonstrating that Paul held a religious service on a Sunday. Others suggest that he gave the teaching on what he would call Sunday evening but we would call Saturday evening; the first day of the week started at sundown on Saturday in 1st century CE Palestine. If Paul considered Sunday to be the Sabbath then he would not have set out on foot to Assos on Sunday morning.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] 1 Corinthians 16:2 : Paul instructs the Christians at Corinth that each of them is to lay aside some money every Sunday that would later be collected for the Christians at Jerusalem. Some interpreters believe that this might refer to a collection of money at a Sunday religious service. Others suggest that the text implies that the money was to be laid aside by each believer separately and privately, and to be saved up by each person independently.[/TD]
Two texts have been cited as support for moving the Sabbath from Saturday to Sunday:

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Colossians 2:16-17 : Paul writes: "...do no let anyone judge you...with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ" (NIV). Some people interpret the reference to "Sabbath" in this passage as authorizing Christians to celebrate (or not celebrate) the weekly Sabbath in any way that they wish. Others suggest that the "Sabbath" in this passage apparently refers to the Ceremonial Sabbaths, not the Weekly Sabbaths. The verse in Colossians duplicates the text of Ezekiel 45:17 which reads: "...at the festivals, the New Moons and the Sabbaths - at all the appointed feasts of the house of Israel." [/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Romans 14:5 : Paul writes: "One man considers one day more sacred than another; another man considers every day alike. Each one should be fully convinced in his own mind." Some people interpret this passage as allowing Christians to either recognize or ignore the Sabbath, - or perhaps to select any day as the Sabbath. But others suggest from a reading of the subsequent verses that Paul is discussing fasting here, not religious observance. They would suggest that verse 1 of this chapter indicates that the passage relates to " disputable " matters (such as when or if to fast); the day of the Sabbath was not a disputable matter; it was a commandment from God. The phrase " considering every day alike " might means that every day from Sunday to Friday were treated the same, as in the passage describing the collection of manna in Exodus 16:4[/TD]
There appears to be no consensus on whether Jesus, his disciples, or apostles celebrated the Lord's Day on Sunday. There seems to be no internal evidence that would justify the Christian church changing the day from that commanded in the Hebrew Scriptures (Old Testament). However, in later centuries, moving from Saturday to Sunday certainly was beneficial if for no other reason than to improve the security of Christians by distancing Christianity from Judaism in the eyes of the government.
topruled.gif
[h=3]Has the Calendar been Changed?[/h]The Jewish people have observed this date for many millennia without interruption. When the Julian calendar was replaced by the Gregorian calendar in 1582 CE, ten days were deleted in order to bring the calendar in synchronism with the seasons. But the sequence of the days remained the same. Thus, 1582-OCT-4 (a Thursday) was followed by 1582-OCT-15 (a Friday), and the Sabbath of 1582-OCT-16 happened exactly 7 days after the previous Sabbath of SEP-29.

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]Most conservative theologians believe thatGod created the world in 6 days and rested on the seventh. But there is no evidence that Adam and Eve actually celebrated the Sabbath. The first instruction from God to the Jewish people to observe the Sabbath appears in Exodus 16:27 , when the Jewish people were wandering in the desert after having escaped from Egyptian captivity. God provided manna as a food source every day, except for the seventh day. A double portion was supplied on the 6th day, Friday, so that the people would not have to work, collecting manna on the Sabbath. The second command from God is seen in Exodus 23:12 . Both passages were written by Moses circa 1491 BCE. Presumably, the Sabbath has been observed without interruption ever since that date.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]Liberal theologians generally believe that the creation stories in Genesis are fables, picked up from Pagan religions in the neighborhood of Palestine. The earth, its life forms and the rest of the universe evolved over a period of billions of years. The story of the creation of the Sabbath in Genesis 2:2-3 was written by the "J" author(s) circa 950 BCE. Exodus 16:27 was probably written by the "P" authors circa 539 BCE . Exodus 23:12 was also written by "J" using a fragment of an ancient ritual code that perhaps dated from the 14th-13th century BCE. There is thus no reason to believe that there was a seventh day of creation or that there was any continuous celebration of the Sabbath until the 10th century BCE. It is probable that some Jewish official made an arbitrary selection of the day for the first Sabbath about 3 millennia ago. There is no record in the Bible showing who did this or when he did it. So, the present Jewish Sabbath observance can be traced back, through the discontinuity of 1582 CE into ancient times to an arbitrary choice of day by person or persons unknown.[/TD]
topruled.gif
[h=3]Who are the Sabbath-keepers?[/h]The main Sabbatarian faith groups (religious groups that currently worship on Saturday) are:

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Branch Davidians (Students of the Seven Seals)[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]Church of God (7th Day)[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]House of God, a national Hebrew Pentecostal group.[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"]House of Yahweh[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Judaism [/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] The Process - Church of the Final Judgment [/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Seventh Day Adventists , including dozens of breakaway sects[/TD]

[TD="width: 42"]
topbul1d.gif
[/TD]
[TD="width: 100%"] Seventh Day Baptists [/TD]
The Worldwide Church of God once observed the Sabbath on Saturday. However, after the death of founder Herbert W. Armstrong the practice was abandoned. A schism occurred, and most of the membership left, forming new faith groups. [SUB]7[/SUB]
 
Mungu aliposema ikumbuke alijua watu wengi sana watasahau na wataanza kukumbushana siku watakazo wao,Sabato ni kwa ajiri ya wanadamu na si wanadamu kwa ajiri ya sabato,Mungu alisema.Mkamate sana elimu na usimwache aende zake.Kila mwanadamu amepewa taranta na kipawa fulani kulingana na mapenzi ya Mungu lakini kuna karama ambazo Mungu katoa kwa kadiri roho apendavyo ili kazi yake iweze kufanyika.Mada ni Siku ya Kuabudu,tusitoke nje ya mada na kukimbilia Upako,kunena kwa Lugha N.k ambako nako twaweza kuongea siku nyingine pia.Elimu ya dunia haina mchango wowote na utendaji wa kazi ya Mungu kama ulivyosema lakini Mungu akichagua kukutumia hali una elimu ya Kidunia unakua bora zaidi kuliko asiyejua kusoma na kuandika.Fanya sehemu yako yasiyowezekana mwachie Mungu.MUNGU WETU ANA UTARATIBU WA KUABUDU NA NDIYO MAANA SABATO ITADUMU MILELE KATIKA MBINGU MPYA NA NCHI MPYA.Wasabato wanasisitiza hili kwa sababu ndiyo mwanzo wa diversion ya mambo yote.Sina maana wao ni wakamilifu wote,hapana,ila namaanisha wanabase kwa kitu ambacho Mungu kasema kikumbukwe.Serilkali gani haina utaratibu?Si itakuwa machafuko?Ndugu yangu hapa duniani kuna makundi matatu ambayo hutoa ukweli wa mambo,Siku za kuabudu kuu ziko tatu ya kweli ni sabato na iko katikati ya zile mbili,wakati yesu anaangikwa msalabani kulikuwa na misalaba Mitatu,Mwana wa Mungu alikuwa msalaba wa katikati na siyo ile ya wengine.nikikumbuka fungu la Isaya inayoonyesha hilo nitakwambia.Ndugu yangu waweza kuwa unamjua Mungu vizuri sana ila ukakosea kuchukua ukweli na utaratibu wa kuabudu.Mungu anasema katika Ufunuo,Tokeni kwake enyi watu wangu,akimaanisha itafika wakati hata wale wakristo wengine wataiona kweli ya sabato na kumwabudu bwana wao kwa roho na kweli.Na kuna wasabato watapepetwa kwa sababu wanadhani siku pekee yaweza kuwapeleka mbinguni.KWA HAKIKA SOMA VIZURI UKWELI WA SABATO UTAONA UMEINGIA CHAKA HUKO ULIKO.PITIA HATA UKWELI NILIOANDIKA KATIKA MADA HII AMBAO HATA QURAN INAUKUBALI

Naona umejaribu kujieleza kweli kweli, lakin bado sioni Muunganiko kati ya neno la Mungu na Siku ya jumamosi ambayo wewe na wenzako mnaamini ndio siku haswa. Neno ndio base yangu mimi hapa. Hiyo madai yako ya Jumamosi hayapo kwenye Biblia. Propaganda nyingine zipo tu na hazina tija katika kujenga Kanisa na ufalme wa Mungu.

Deviation ya mambo yote ni kutoka kwenye ile kweli ya kanisa la kwanza la Bwana Yesu (Original Church). Huduma au kanisa lolote ambalo limehama (deviate from normal) hata kama ni kidogo kutoka kwenye kanisa la kwanza. Lililohubiri injili kamili (Full Gospel) ambayo iliponya, iliokoa, ilitenda miujiza, ilifundisha na kufukuza mapepo. Kwa maneno mengine kanisa la kwanza lilikuwa kila kitu. Jesus wants all of you to go back to the original true church. The church that praised and worshipped God in Spirit and Truth. The church that stands as a solution to problems and issues of nations, people, communities, families,etc the church that brings grace to disgraced, hope to hopeless, advantage to disadvantaged and care to the forsaken. Is your church that way? if no then you need to Go back. Tunajipa moyo sana na hizi dini, dini ni utaratibu wa mwanadamu ktk kumtafuta Mungu. Dini sio ya Mungu, na Mungu hana dini, ila wokovu ndio wa Mungu, ndio zawadi aliyotupa. Bila wokovu hakuna kuitwa mwana wa Mungu na Mbinguni huwezi kwenda baada ya maisha haya. Inawezekana unaona nimepotea, lakini Omba msihi Mungu akufunulie hiki nilicho andika hapa kwa kumaanisha ndio utajua nani amepotea.

Kwa hiyo wewe base ya ukweli wako inaendana na jinsi ulinganifu wa hoja yako na Quran. Pole sana kama bado wewe unaamini kwamba Mungu wa Quran (allah) ni mmoja au sawa na Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Krito wa Nazareth. Pole sana, Haya ni matatizo ya kutumia akili kumtafakari Mungu. Soma vizuri hiyo quran historia ya issa kama inafanana na ya Yesu. Two different stories. Kwa taarifa yako hawa ni tofauti kabisa hakuna connection kati ya Yesu na Moh'd. How can they be one? Ukisoma vizuri utaelewa.

Nakubaliana na maandiko ila tafsiri yako ndio napata mashaka ktk baadhi ya maeneo. Elimu ni Muhimu sana na mtu aliyesoma anafaa zaidi kwa kazi ya Mungu. Kanisa linahitaji wasomi professionals, intelligent people and well educated people to run effectively. lakini sio kigezo cha Mungu kumchagua awe mtumishi wake. Mungu anaangalia moyo wa mtu. Kuna kitu inaitwa ufahamu. Mungu akikuchagua anakupa yale yote unayo paswa kuwa nayo ili kukabiliana na mazingira katika kazi yake. Ufahamu na hekima inamfanya mtu awe zaidi ye mwenye elimu ya dunia.
 
Yesu alisema siku yaja ambayo hamtamuabudu Mungu katika mlima ule au Jerusalem bali waabudu wa kweli watamwabudu Mungu katika roho. Hii inamaana gani? Mwanadamu ni hekalu la Mungu, hivyo IBADA inafanyika muda wowote na popote siku yoyote, Je sabato ilianza lini? Ilianza siku Mungu sana na ulikuwa ni kukumbuka ukombozi, leo tunakumbuka ukombozi ulioletwa na Yesu kwa kumwaga damu yake, hii ni siku ya kufufuka kwake kulikoleta tumaini Jipya Duniani na hapa ndipo rulings za kuazimisha ukombozi wetu siku ya ufufuko.
 
Siku inaanza saa ngapi?au muda wowote siku yaweza kuanza?ikawa jioni ikawa asb siku ndivyo zinavyohesabiwa.siyo ikawa saa sita usiku ikawa saa sita usiku ndivyo siku inavyoanza?wengi leo wanasubiri saa sita usiku ndiyo siku ianze je ndio utaratibu.upotoshaji huu ndio unatufanya tubadili hadi siku ya bwana ya kuabudu.ombeni bila kukoma,ibada ni wakati wote waweza kufanya ila siku ya bwana ya ibada aliyopumzika ile ya kuoka 20 ni jumamosi.mungu hakusema tuabudu jpili.ndiyo maana watu leo wamejiwekea taratibu zao watakazo.wewe ukiwa kiongozi wa familia kama huna utaratibu nyumba haiwezi kwenda.kwamba mtu awe free tu?utaratibu ni muhimu sana.tafakari yesu alikwenda lini kanisani?na je yesu si bwana wa sabato?imesalia raha ya sabato kwa watu wa mungu!!!ombeni bila kukoma tena kesheni sana kwa maombi ila utaratibu ni muhimu.kwa nini amri kumi zote ushike ila ya sabato ubadili?hata kuheshimu wazazi basi tuibadili,kuabudu sanamu pia.nawaombea sana.
Mambo haya pia yamebadilishwa na kuwekewa utaratibu wa wanadamu
1.kuzaliwa kwa yesu kuwa tarehe 25,dec
2.kufufuka kwa yesu kuwa kati ya march-april.
3.wanawake kuwa wachungaji na wazee wa makanisa
4.muziki wa bwana kufuata muziki wa kidunia badala ya kinyume chake na kutoa maana ya ibada kisha kuwa makelele na dance.
Tusitoke kwenye mada neno ni wanadamu kutaka wapendavyo wao si mungu apendavyo yeye ndio maana sabato imebadilishwa sana.nitajie hata fungu moja katika biblia litajalo jpili kuwa siku ya ibada.okoka ndugu yangu kwa hili maana kama dini ni utaratibu wa mwanadamu kumtafuta mungu why uwe na kanisa?yesu alikuwa na kanisa pia,na alisali siku ya sabato ambayo unaiona mzigo.kama siku siyo issue waambie waumini wenzako muwe mnasali jumamosi kama hawatakwambia kuwa wamekuwa wasabato?isome vizuri sabato utaokoka.
 
Siku inaanza saa ngapi?au muda wowote siku yaweza kuanza?ikawa jioni ikawa asb siku ndivyo zinavyohesabiwa.siyo ikawa saa sita usiku ikawa saa sita usiku ndivyo siku inavyoanza?wengi leo wanasubiri saa sita usiku ndiyo siku ianze je ndio utaratibu.upotoshaji huu ndio unatufanya tubadili hadi siku ya bwana ya kuabudu.ombeni bila kukoma,ibada ni wakati wote waweza kufanya ila siku ya bwana ya ibada aliyopumzika ile ya kuoka 20 ni jumamosi.mungu hakusema tuabudu jpili.ndiyo maana watu leo wamejiwekea taratibu zao watakazo.wewe ukiwa kiongozi wa familia kama huna utaratibu nyumba haiwezi kwenda.kwamba mtu awe free tu?utaratibu ni muhimu sana.tafakari yesu alikwenda lini kanisani?na je yesu si bwana wa sabato?imesalia raha ya sabato kwa watu wa mungu!!!ombeni bila kukoma tena kesheni sana kwa maombi ila utaratibu ni muhimu.kwa nini amri kumi zote ushike ila ya sabato ubadili?hata kuheshimu wazazi basi tuibadili,kuabudu sanamu pia.nawaombea sana.
Mambo haya pia yamebadilishwa na kuwekewa utaratibu wa wanadamu
1.kuzaliwa kwa yesu kuwa tarehe 25,dec
2.kufufuka kwa yesu kuwa kati ya march-april.
3.wanawake kuwa wachungaji na wazee wa makanisa
4.muziki wa bwana kufuata muziki wa kidunia badala ya kinyume chake na kutoa maana ya ibada kisha kuwa makelele na dance.
Tusitoke kwenye mada neno ni wanadamu kutaka wapendavyo wao si mungu apendavyo yeye ndio maana sabato imebadilishwa sana.nitajie hata fungu moja katika biblia litajalo jpili kuwa siku ya ibada.okoka ndugu yangu kwa hili maana kama dini ni utaratibu wa mwanadamu kumtafuta mungu why uwe na kanisa?yesu alikuwa na kanisa pia,na alisali siku ya sabato ambayo unaiona mzigo.kama siku siyo issue waambie waumini wenzako muwe mnasali jumamosi kama hawatakwambia kuwa wamekuwa wasabato?isome vizuri sabato utaokoka.

Umeshindwa kuonesha Jumamosi, Hebu soma vizuri hapa, Kuna jumamosi au jumapili hapa??? No saturday nor sunday is mentioned here.

Kutoka 20:8 (exodus 20:8)

[SUP]8 [/SUP]"Remember the Sabbath day by keeping it holy. [SUP]9 [/SUP]Six days you shall labor and do all your work, [SUP]10 [/SUP]but the seventh day is a sabbath to the Lord your God. On it you shall not do any work, neither you, nor your son or daughter, nor your male or female servant, nor your animals, nor any foreigner residing in your towns. [SUP]11 [/SUP]For in six days the Lord made the heavens and the earth, the sea, and all that is in them, but he rested on the seventh day. Therefore the Lord blessed the Sabbath day and made it holy.

Naona mnakomaa na agano la kale wewe tena amri moja tu; unasahau kwamba ukivunja amri moja umevunja zote, agano jipya hamlitaki. in other words you dont follow Jesus, you follow Moses. Remember Laws and statutes came through Moses, but Truth and Glory came through Jesus Christ of Nazareth son of the living God.

sikiliza ndugu,
Wasabato mlikuwa vizuri zamani wakati mnahubiri injili kamili not now any more. Shetani amewaweza kweli, mmeacha injili halisi, mnaihubiri sabato. kusifu na Kuabudu hamna tena mnaenda church kama desturi (am telling you). Nimehudhuria ibada zenu ni kavu sana ni akili tu zinatumika, hamna Roho mtakatifu. Mmekuwa na katabia ka ku-jiona mpo sawa kuliko wenzenu matokeo yake mmetoka nje ya mstari. What you hate you surely become, but what you honor and repect you are released from. Huhitaji kuwashawishi watu juu ya ni siku gani ya sabato badala ya kuhubiri injili just demostrate power of God people will themselves know what you mean. Yaani ktk amri zote kumi mmeona moja tu na hiyo jumamosi yenyewe hamfanyi ibada halisi. Hivi unajua Ibada wewe? Ibada lazima impe Mungu utukufu, Kusifu na Kuabudu kwa shangwe na nderemo. Katika sifa Mungu anasifiwa kwa yote aliyoyafanya kwa nyimbo na kucheza kwa vyombo vizuri. Tena kucheza haswa kama mfalme daudi alicheza mpk nguo zikaanguka. Nyie hamtaki hiyo, ila mnakubaliana na kucheza kwa nguvu kwa shetani (disco na shows za kidunia). Kucheza sio dhambi ndugu. unacheza mpaka chini. Yaani we hujawahi kupata raha ya kumsifu Mungu. Mungu ni wa Viwango, nyimbo lazima ziwe nzuri zenye ustadi na kucheza pia tuna cheza kwa ustadi ndipo yeye anatufurahia. Hakuna protocol katika kucheza, ni roho ya dini na ushamba wa maandiko ndio unafanya watu waone kumchezea shetani ndio pawe na ustadi ila kwa Mungu unaswing kiaina kwa mbaali ni ujinga. Ungeona malaika wanavyomchezea Mungu ndio ungejua naongea nini hapa. Biblia hamkatazi tu kumchezea Mungu wake kwa bidii.

Majibu haya yatakusaidia kujua focus yetu sisi watakatifu wa siku za mwisho. Focus yetu ni kutafuta na kuokoa kilichopotea kama Yesu alivyo agiza siku ile.

1.kuzaliwa kwa yesu kuwa tarehe 25,dec.
There are many schools of thought about when exactly was Jesus born? to my understanding, it doesn't really matter when, what matters is the fact that on to us the child was born, and salvation came through him. The Bible does not mention the date when he was born. Celebrating it is to show honor, love and respect.

2.kufufuka kwa yesu kuwa kati ya march-april.
Biblia Haijasema march wala april. ni vema kukumbuka kuwa Yesu alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu na kwa tendo hilo sisi tuliokolewa na kukombolewa. dates doen't matter. salvation matters most.

3.wanawake kuwa wachungaji na wazee wa makanisa.
Nadhani hili ni tatizo lile lile la kuto mtumia Roho mtakatifu vizuri na kutoelewa maandiko. Wapo wanawake ambao ni wachungaji na mitume wa Bwana Yesu mwenyewe. Amewaita na kuwatuma kazi na wanafanya kwa viwango vya juu kama wanaume. Tunayo mifano mingi tu na wanamuwakilisha Bwana Yesu kwa kiwango cha juu sana. Muulize Bwana Yesu kwa nini unawatuma kazi yake, maana yupo na anajibu! Najua wewe ni wale wanao amini kwamba mitume walishaishaga na leo hamna tena. Kwa taarifa yako wapo mitume na manabii wa kiume na wa kike. Na Yesu Yupo na anaonekana, huamini muulize sheikh Shariff ambaye kwa sasa anaitwa pastor Isaac mahmood leo yuko maeneo ya tabata Victory Church. Ninaposema you cannot comprehend or apprehend God this is what I mean.

4.muziki wa bwana kufuata muziki wa kidunia badala ya kinyume chake na kutoa maana ya ibada kisha kuwa makelele na dance.
Unajua asili ya technolojia ni Mungu mwenyewe? Mungu ametupa ujuzi wa kufanya mambo kwa viwango vya juu ili hivyo vitu vimtumikie yeye kwa utukufu wake. Mungu anapenda vitu vizuri ndugu yangu. Hakuna muziki wa kidunia(shetani). Dunia(shetani) imeiba kutoka kwa Mungu ndio huo unao uona. Hivyo tarumbeta, gitaa ngoma na vyombo vyote ni vya Mungu.

unajua maana ya kelele. kelele ni sauti zisizo na mpangilio. Muziki ni sauti zenye mpangilio. tunamsifu Mungu kwa kelele na shangwe nderemo na vifijo na makofi. Mungu anabudiwa kuwa moyo safi kwa kuimba nyimbo na kusema maneno yanayo Muadhimisha (in spirit and Truth).Sasa watu wa dini kama wewe huwezi elewa ndipo sasa kwako zinakuwa ni kelele. ila kwao waabuduo ni sifa na Ibada kamili kwa Mungu wao.
 
Back
Top Bottom