Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Ningekusupport ungeniambia katka mwaka tuwe na mapumziko sita tu i mean new year,xmass,easter,eid el haj and eid el fitr and independent day ingependeza xana
 
Badala kushauri tufanyeje tupate maendeleo tunataka kuirudisha System ya dunia nyuma. Kama sisi tumeshaelimika vya kutosha tuwe na majina yetu ya siku,miezi. Tarehe. Miaka. Namba na herufi. Tuachane na Elimu za Wayunani, wagiriki. Warumi, wamisri. Mwaka huu naona Wabongo Third world mdororo wa uchumi na Inflation vimeharibu Mental process of our understanding.
 
Hakuna aliyemzuia kupumzika yeye na familia yake hata kwa katiba ya sasa. Cha msingi watumishi wa umma wafanye kazi hadi saa 10.30 jioni halafu warudi nyumbani wakapumzike. Mimi huwa nafanya kazi Jumatatu hadi Jumapili, lakini pia huwa napumzika Jumatatu hadi Jumapili.

Mambo ya kufikiria kulala kwenye majamvi misikitini siku nzima ndio yanayotuletea umasikini

nice comment....nchi yenyewe maskini alafu watu wanataka tue na siku tatu za mapumziko wabongo bana.. uamuzi ni wake coz hata jmosi kuna watu wanafanya kazi kama kawaida na kuna watu wanafanya kazi jpili pia...small minded ppo ndo wanavyofikirigi hivyo
 
Hakuna aliyemzuia kupumzika yeye na familia yake hata kwa katiba ya sasa. Cha msingi watumishi wa umma wafanye kazi hadi saa 10.30 jioni halafu warudi nyumbani wakapumzike. Mimi huwa nafanya kazi Jumatatu hadi Jumapili, lakini pia huwa napumzika Jumatatu hadi Jumapili.

Mambo ya kufikiria kulala kwenye majamvi misikitini siku nzima ndio yanayotuletea umasikini
Dharau na kejeli ndio mila zenu.....lakini nini msingii wa kuwekwa JuMAPILI kuwa ndio siku ya mapumziko? bila shaka imewekwa na wakoloni kwa sababu wao jumapili ndio siku ya kwenda kanisani ...ingawa sasa hivi hawendi makanisani hapa kwetu..ila jumapili imebaki siku ya ulevi na zinaa..
so kuomba Ijumaa uwe siku ya mapumziko ni kutokana na msingi wenyewe kuwa jumapili imewekwa ili wakristo wende kanisani kuimba kwaya...sasa dharau na kejeli..sio si mila zetu...hizo ni mila za wagalatia
 
Dini kwenye nchi hii si tatizo, tatizo ni sisi tunaojadadili dini.
Thread imejadili mambo mengi sana kutoka kwa wachangiaji mdahalo wa mabadiliko ya Katiba, lakini mtoa mada sijui alitumia kigezo gani kuchagua heading ya UDINI...Nani ni mdini kati ya Mtoa mada na Mtoa maoni ya madiliko ya Katiba?
Narudia tena...UDINI SI TATIZO KWENYE NCHI HII, TATIZO NI SISI TUNAOJADILI DINI KWA MFUMO WA UDINI...
TAFAKARI..
 
Upuuzi mtupu watu wengine wanafikiria kuongeza juhudi katika kuondoa umaskini;wengine wanawaza kupunguza ufanyaji kazi.uvivu tu hana sera.
 
katoliki na wengineo jumapili, sabato jumamosi, waislamu ijumaa, wahindu alhamisi, budha jumatano, baniani jumanne, pagani jumatatu. Naunga mkono hoja.

mimi nadhani dawa yake ni kuondoa hizi siku za mapumziko. Watu wapige mzigo 24/7.
 
Dini ya Kiislam haiendekezi uvivu kama dini yangu ya kikristu. Waislam kuna sehemu wanasema baada ya swala tawanyikeni mkatafute riziki. Sasa ijumaa itakuwaje siku ya mapumnziko? nimepita uarabuni siku yao ya mapumnziko ni jumamosi tu. Sio siku mbili kama maskini sisi.
 
hehe nitaiangalia kivingine

kwakuwa ijumaa imekuwa siku isyo ya amani hasa kariakoo kwa sababu ya maandamano na kwakuwa serikali haitaki kuivunja bakwata na kuwaachia waislamu wenyewe waiunde upye kwakuwa ndio chanzo cha tatizo la kuwa na halitete kariakoo then ijumaa iwe siku ya mapumziko naomba kuwasilisha hoja mheshimiwa mod
 
Tuwaache wapumzike Ijumaa, nasiku za Jumamosi na Jumapili wafanye kazi



Mkuu, uwe unasoma post za wenzako; umeshaambiwa kuwa katika Quoran hakuna popote palipoandikwa "fanya kazi siku sita, Ijumaa upumzike!" na hakuna aliyekanusha hilo bado.
 
Mungu ana namna nyingi sana za kuwaadhibu wanadamu hapa hapa duniani. Idadi ya Waislamu katika ardhi ni sawa na kiwango cha adhabu ambacho Mungu amekielekeza kwa taifa husika.

Hivi katika mambo yooote yanayolikabili taifa letu, hawa wenzetu wao ubize ni kwenye kushindanisha nini cha nani na kwa nini huyu kafanyiwa hivi mimi sijafanyiwa.

Huu ujinga wa kuwa Wakristo wanasali Jumapili sijui umetoka wapi. Wakristo (labda niwasemee Wakatoliki ambao ndio nawafahamu) hawasali jumapili. Sisi Wakatoliki tunasali SIKU ZOTE. ILA, kwa kuwa Jumapili ni PUBLIC HOLIDAY, basi tunakusanyika na kufanya DOMINICA.

Naamini hata watu wengine wenye akili, wangeweza kuitumia Jumapili kuabudu kwa kuwa wapo nyumbani. Bila shaka mnaweza kuona hata siku ya Mwaka mpya, hata iwe Alhamisi, basi Kanisa katoliki hufanya misa



Asante!
 
Hakuna shida; isipokuwa waongeze hiyo aya kwenye Korani kwanza!
 
Back
Top Bottom