Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Proove it!
Mdizi Mungu hakupumzika siku ya jumapili, biblia imesema Mungu alifanya kazi kwa siku sita na alipumzika siku ya saba, so hiyo jumapili ilitengenezwa tu na ionekane kama ndio siku ya saba! ukifuatilia kiswahili jumapili ina maanisha siku ya pili ya juma ( second day of the week) na siku ya kwanza ni juma mosi! lakini hapa simaanishi kuwa Ijumaa ndio hasa hiyo siku ya saba aliyopumzika Mungu, yaweza kuwa ni jumapili, jumatatu jumanne au siku yoyote utakayo, ni jinsi tu unavyotaka wewe kuhesabu siku zako za juma! Kuhusu kupumzika Ijumaa hii ni uvivu tu, hata mafundisho ya UISLAM hayasemi hivyo kuna hadithi inasema mtume Muhamad aliwahi kuwaambia waumini wake baada ya swala ya Ijumaa..." Enyi mlioamini punde mmalizapo kuswali swala ya Ijumaa, tawanyikeni juu ya uso wa ardhi mkatafute ridhiki.."! So hata Muhamad alijua kuwa hakuna kulala kabla au baada ya swala ya Ijumaa!
 
Mkimaliza hilo, msisahau kudai mashuleni wafundishwe kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto kwa masomo yote, hesabu, kiswahili, sayansi nk.
Bila kusahau kalenda zote maofisi ya serikali ziwe za mwaka wa kiislam sio hizi za mfumo kristo. Wanafunzi wasiandike tarehe za kimfumo kristo, waruhusiwe kutumia tarehe za kiislam kwenye madaftari kama walivyoruhusiwa kuvaa hijab.

kweli ndugu yangu
 
Matunda ya Hotuba na Mafundisho ya Chuki kila wanapokutana. Hawakuweka wao huu ni Utaratibu uliokuwepo dunia yote sawa na Gregorian Calender inayotupa mwaka, miezi na siku. Maybe tujaribu kuisimamisha dunia kujizungusha ili tuzipe Siku majina ya Kiarabu
 
Ili kuondoa dhana ya mfumo kristo kama wenzetu wanavyosema ni vema basi masaa ya kazi kwa siku nne yaani j3,j4,j5 & alhm yakaongezwa kutoka masaa nane ya kawaida hadi masaa kumi.Hili halina tatizo ni ratiba tu,sioni ubaya wowote katika kubadilisha.Kama si hivyo basi wapewe shifti ya jpili ili wamalizie kazi ambazo wangezifanya ijm.
 
Waislam wengi hawaijui dini yao mana hawajafundishwa kwa undani kwa kufanya debate za wao wnyw kwa wenyewe bila jasba! Wengi wanawasikiliza wanasiasa wanaowatumia kupata uongozi chini ya udini wa mwislam mwenzetu! Mwenyezi Mungu kama alivyowafanya wakristo wawe wana wamungu na wawe wana wa ufalme ka tika ufalme wa Mungu, basi aliwachagua kupitia mwanawe Yesu Kristo ili kila goti la binadamu kwa lazima ama kwa hiyari lipigwe na kumtukuza Mungu wa kweli! Mungu alipumzika siku ya 7 yaani nyakati zilizopangwa kwa mafungu saba! Yanaweza kuwa ya miaka milioni 7 kwa siku moja n.k. Mola ndiye mjuzi wa yote. Kwa mapenzi yake akawafundisha wale alotaka wamwandalie watoto wake duniani nao wapumzike kila baada ya siku saba kumuenzi BABA yao aliye mbinguni! Hakuwafanya wapumzike wao wenyewe isipokuwa na wote wanaoishi nao! Mapumziko hayalazimishwi kwa mtu,ila ni vyema tukaeuata nyendo za Baba wa Mbinguni .
Hata waislam wanapaswa kupumzika siku ya 7 kama alama ya kumwabudu Mungu aliye umba vitu vyote! Kama Kuran haikusema basi mwenyezi Mungu aliwaambia wajifunze kwa wale waliowatangulia yaani wakristo na wayahudi. Ni haki ya waislm kupumzika kila baada ya siku 7,ila wasipumzike tena siku ya Jmos na Jpili.
 
Hizo ni kamuni ya kivivu. Mwanaume komaa kufanya kazi. Siku aliyoiweka Mungu watu wapumzike ni siku ya saba pekee yake. Kutoka 20.8
 
Juha nani sasa? Juha ni yule anayetaka kuzungumza masuala ya Waislamu wakati hayajui au ni Waislamu. Waislamu wanataka kupumzika Ijumaa kwa sababu Ijumaa ndio sikuo yao ya mwisho wa wiki kama ilivyo kwa Wakristo hiyo Jumapili na nchi nyingi za Kiislamu Ijumaa ni mapumziko. Hata hilo hujui? Nani kakwambia Waislamu wamesahau mafundisho ya dini yao? unawazushia Waislamu mchana kweupe, looh kuwa na simile wewe, huoni haya wala vibaya.
 
Mbona makosa mengi hivyo hapa nakusahihisha baadhi
Ni jazba na sio jasba
Ni wana wa Mungu na sio wana wamungu
 
Sawa..
na Mwaka tuhesabu kiislamu
humu JF pia tuandike kiarabu
tusifuge nguruwe wala Kupaza mahotelini
Bar zote zifungwe
tusiwe na Mahayana ya serikali Bali mahakama ya kadhi tu
wakristo pia waabudu ijumaa
tusile samaki bila kuchinjwa
wanawake wote wafunike nyuso na Miili yao
wanaume wote wafuge ndevu
etc,etc
 
Sawa..
na Mwaka tuhesabu kiislamu
humu JF pia tuandike kiarabu
tusifuge nguruwe wala Kupaza mahotelini
Bar zote zifungwe
tusiwe na Mahayana ya serikali Bali mahakama ya kadhi tu
wakristo pia waabudu ijumaa
tusile samaki bila kuchinjwa
wanawake wote wafunike nyuso na Miili yao
wanaume wote wafuge ndevu
etc,etc

Mkuu, hata samaki achinjwe, du!! Hiyo kali.
Imani tusizozielewa hizi ni hatari mkuu wangu. Ilitokea jamaa alikwenda kuwinda nyati kule West Kilimanjaro na Muhidin hakutaka kula kibudu eti akammalizie kwa kumchinja, sasa sijui angemwelekeza kibra ipi. Yule nyati alimkurupukia kidogo amchote pembe,
tulipomwambia tayari sasa chinja, alikataa na wote tulikula kibudu cha Mbogo.
 
Matunda ya Hotuba na Mafundisho ya Chuki kila wanapokutana. Hawakuweka wao huu ni Utaratibu uliokuwepo dunia yote sawa na Gregorian Calender inayotupa mwaka, miezi na siku. Maybe tujaribu kuisimamisha dunia kujizungusha ili tuzipe Siku majina ya Kiarabu

Waislam wapo sahihi kwa mtazamo wangu wanapotumia mwezi kuhesabu majira kwa sababu:-

1.Sayari yetu hi Dunia ina jua moja na mwezi mmoja tu, kila aliyepita shule anajua kwamba usiku na mchana
Hupatikana kwa dunia kujizungusha yenyewe kwenye muhimili wake.

Mwaka hupatikana pale Dunia inapolizunguka jua kulia kwenda kushoto,

2.Mwezi hupatikana pale dunia hutumia siku 30 kukamilisha mzunguko mmoja,na ndio maana waislam wao wanatumia the same system kuhesabu majira ya mwaka, sasa labda tujiulize siku 28 ,31 ni kweli mwezi huweza kuandama ? Sio swala la kujipangia ? Wanasanyansi wanasemaje kuhusu idadi ya siku katika mwewzi?

Historia inaonyesha kwamba hata majina ya miezi January,February March...haina mahusiano yoyote na mwezi mwandamo bali miungu ya kirumi January ni mungu mume ambaye alijulikana kama" JANUS" mke wake alijulikana kama FEBRUATA au february yeye huenda period siku 3 ndio maana ana siku 28 badala ya 30 sio kwamba mwezi wa pili dunia huchukua siku 28 kuzunguka jua.

Kwa hiyo kutumia mfumo huu wa majira ya mwaka sio jambo la kujivunia sana bali hatuna uhuru wa kuchagua kwa sababu wakoloni walishaamua mambo yaende hivyo,na wala sio mpango wa Mungu kama wengine wanavyotaka kuamini ndio maana hata wayahudi wao walikuwa na mfumo wao tofauti wa kuhesabu majira.

I stand to be corrected.
 
Mkuu, hata samaki achinjwe, du!! Hiyo kali.
Imani tusizozielewa hizi ni hatari mkuu wangu. Ilitokea jamaa alikwenda kuwinda nyati kule West Kilimanjaro na Muhidin hakutaka kula kibudu eti akammalizie kwa kumchinja, sasa sijui angemwelekeza kibra ipi. Yule nyati alimkurupukia kidogo amchote pembe,
tulipomwambia tayari sasa chinja, alikataa na wote tulikula kibudu cha Mbogo.
uumini wa Ki-Bendera Fausta upepo
 
Mungu alisema ikumbuke siku ya sabato uitakase.siku Hiyo usifanye kazi yoyote.kama jumapili ni ya saba kwa nini biblia iseme siku ya kwanza akafufuka?tuwe wasomi bwana,nawapa big up wasabato.ikawa jioni ikawa asb ndio siku zinavyooenda na Wala siyo ikawa saa sita usiku kama baadhi ya wachungaji wanavyokesha kusubiri siku kuanza usiku saa sita.hata quran. Inakubaliana na biblia na kuiheshimu jumamosi ya hawa wasabato.mimi ni mroma ila week hii naacha nikomae na usabato ndio njia.

Biblia inataja siku ya saba na sio Jumatatu wala jumamosi. Soma Mwanzo mpaka ufunuo hautaiona jumamosi wala jumapili. Christians, we need to merge the word and the spirit to get to the undestanding. hata ukiamua kumuabudu Mungu leo ikawa ndio siku yako ya saba ile sheria ita apply kwako accordingly na itakupasa kuiheshimu siku hiyo kama neno linavyosema. Pia tuelewe kwamba siku zote ni za Mungu, hivyo inatupasa kuziheshimu na kuwa watu wa ibada kila iitwapo leo. Mungu ametupa kuchagua, ili upate kuheshimu na kuzishika amri zake.
 
Kwa hasira pumzikeni wiki nzima hakuna kufanya kazi, mkiabudu tu Kwani inawauma sana kuwa na mapumziko jumamosi na jumapili
 
Sawa..
na Mwaka tuhesabu kiislamu
humu JF pia tuandike kiarabu
tusifuge nguruwe wala Kupaza mahotelini
Bar zote zifungwe
tusiwe na Mahayana ya serikali Bali mahakama ya kadhi tu
wakristo pia waabudu ijumaa
tusile samaki bila kuchinjwa
wanawake wote wafunike nyuso na Miili yao
wanaume wote wafuge ndevu
etc,etc



:mvutaji: :mvutaji:

HIZI MAMBO UWE UNAVUTA KWA VIWANGO BASI
:confused2:
 
Back
Top Bottom