Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

Kulingania imani ndio maamrisho ya allah! Umekata tamaa kama mzee mzima!

Qur'an: 109. SURAT AL-KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Qur'an: 109. SURAT AL-KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Zomba hp unataka tuambia nn??
 
Ijumaa inaweza vipi kuwa siku ya mapumziko wakati Ijumaa ni siku ya maandamano ya Waislamu?
 
Qur'an: 109. SURAT AL-KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Mkuu, uko sawa! Hapo ni kweli kabisa, sitakuja nimuabudu allah! Manake!
Yeye na muhammad wana dini Yao na mimi nina WOKOVU! Wao wana qisasi haqu, mie nina msamaha! allah hana mwana bali wanadamu ni viumbe vyake kama mijusi, nguruwe, kenge...! Mie ni mwana wa Mungu! Mie pepo yangu nitaishi kama Malaika, Nyie mtapewa mahulu72 wenye viuno kama nyigu.....! Naweza kujaza seva kukufahamisha kwa nini sitaki kuabudu mnacho kiabudu wewe muamad na allah!
 
Mkuu, uko sawa! Hapo ni kweli kabisa, sitakuja nimuabudu allah! Manake!
Yeye na muhammad wana dini Yao na mimi nina WOKOVU! Wao wana qisasi haqu, mie nina msamaha! allah hana mwana bali wanadamu ni viumbe vyake kama mijusi, nguruwe, kenge...! Mie ni mwana wa Mungu! Mie pepo yangu nitaishi kama Malaika, Nyie mtapewa mahulu72 wenye viuno kama nyigu.....! Naweza kujaza seva kukufahamisha kwa nini sitaki kuabudu mnacho kiabudu wewe muamad na allah!


Kumbe Mungu alizaa duh!
 
Qur'an: 109. SURAT AL-KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Mkuu, uko sawa! Hapo ni kweli kabisa, sitakuja nimuabudu allah! Manake!
Yeye na muhammad wana dini Yao na mimi nina WOKOVU! Wao wana qisasi haqu, mie nina msamaha! allah hana mwana bali wanadamu ni viumbe vyake kama mijusi, nguruwe, kenge...! Mie ni mwana wa Mungu! Mie pepo yangu nitaishi kama Malaika, Nyie mtapewa mahulu72 wenye viuno kama nyigu.....! Naweza kujaza seva kukufahamisha kwa nini sitaki kuabudu mnacho kiabudu wewe muamad na allah!
 
Kumbe Mungu alizaa duh!
hee, na wewe mawazo yako ni sawa na allah?Anasema; yeye sababu ya kutokuwa na mtoto kwa kuwa hana mke! Unaona hapo yaani uwezo mdogo alio nao allah ili awe na mwana mpaka awe na mwanamke amshughuli as if ni dume la ng'ombe! Sasa huyo ni kweli Mungu muweza? Muabudu wewe bro sio mie mjanja sitomuabudu!
 
point of Correction God rested on the 7th day being Saturday not on the 1st being Sunday.
 
Grey ni kweli biblia inataja siku ya saba mwanzo to ufunuo,ila justifications za kuijua ziko wazi kwa wasomi wote duniani.Dictionaries zote zinakubali kuwa saturday ndio siku ya saba,Kutoka 16 inaonyesha hata mana kwa Waisraeli iliaanguka siku sita tu ya sabato ilikuwa haianguki ambayo ni jumamosi;Mwanzo 1 inaonyesha utaratibu wa Mungu wa Kuumba na alifuata ecosystem ndio maana mwanadamu akaumbwa siku ya sita,uliumbwa mwanga,maji then ndio mimea na wanyama ili wanyama waje wale majani na majani yapate maji,Mungu hakuwa wa siku yoyote ndugu yangu kama ufikiriavyo,haiwezekani May iwe June hata nyota zinamuheshimu Mungu.Kitabu cha Luka 24:1 kinaonyesha mateso ya Yesu yalikuwa siku ya maandalio ya sabato na kwa heshima na taadhima Yesu akalala kaburini kupumzika Sabato kama ilivyokuwa desturi yake na siku ya kwanza akafufuka.Biblia haisemi siku yoyoye akafufuka.Tusome maandiko tuelewe Kisomi zaidi.Kubadilisha majira na nyakati ni kawaida kwa wanadamu wa leo,wamebadili kuanzia saa,siku,mwezi,mwaka n.k mfano miezi yote katika biblia ina siku 30 leo eti kuna mwezi una siku 28 na mingine 30 na 31!Why?Kama unaweza ndugu yangu nitafute nikupe mwanga zaidi wa biblia uone logic za kisomi zaidi.
 
Neno Sabato katika Kiebrania, Kiyunani, na Kiarabu

Ndugu mpendwa msomaji, neno hili Sabato hutumika katika misemo na lugha
mbalimbali za asili za kibiblia na hapa tunaweza kuona vile watu waliosema lugha kama Kiebrania na Kiyunani pamoja na Kiarabu walitamkaje neno hili Sabato, na lilileta maana gani:-

* Waebrania huita - Shabath

* Wayunani huita - Sabaton

* Waarabu huita -.Sabti

Matamshi haya yote pamoja na utofauti wake hutupatia maana moja tu nayo ni pumziko (rest) au kustarehe, na neno hili chanzo chake halisi ni mungu mwenyewe katika pumziko lake la siku ya saba ambayo hakufanya kazi yeyote (alistarehe - Sabato)

- Qur-an 7:54 –kisha akastarehe katika arshi .………….
- Mwanw 2: ]-4 - Bwana akastarehe siku ya saba.

Pamoja na hayo neno lenyewe Sabato huleta maana tu ya kustarehe [pumziko] hivyo ni rahisi tu mtu kujichagulia siku yake na kuiita Sabato, lakini jambo kuu ni kuwa bahati mbaya haitakuwa sawa na Sabato ile yenye maana ya siku ya saba katika siku za juma, ambayo mahasisi na mteuzi wake ni Allah (mwenyezi mungu) na siyo binadamu-

Kwa hakika mwanzo huo ndiyo utoa imani na ujasin kwa baadhi ya dini na
madhehebu kuweka siku zao za ibada, kwa kudai kuwa nazo huwcza kuwa Sabato tu - kumbuka mambo yafuatayo:-

a. Sabato ya siku ya saba ilifunuliwa na kuhasisiwa na mungu mwenyewe kama Qur-an na Biblia visemavyo.

b. Sabato ya siku ya saba imekazwa na kutiwa mhuri na Mungu mwenyewe
maana ndiye aliyeiandika kwa kidole chake mwenyewe kati ya amri kumi (Qur-an 7:'144 - 145. Kutoka 31:18)

c. Sabato ya siku ya saba hutangaza ushindi wa Bwana katika ukomo wa
uumbaji na kuzaliwa kwa Dunia, kama kumbukumbu yako ya kuzaliwa.
 
Isemavyo Qur-an juu ya Ibada ya Sabato, Je ni
sahihi na ni lini katika siku za juma?
Ndugu msomaJi wangu mpendwa, baada ya utangulizi huo wa nyuma sasa
nikuombe kuwa makini zaidi tunapoingia kwa ndani zaidi katika kiini cha mada hii yenye utata mkubwa.

Na hapa tunahitaji kuchunguza kwa undani zaidi katika mafunuo ya Qur-an ili kuvuna maarifa haya mapyajuu ya vile Qur-an inavyoeleza kuhusu ibada hii ya siku ya saba [Sabato] napia tutaona na kuiuliza Qur-an iweze kuweka wazi siku hiyo kuwa ni siku gani katika mfululizo wa siku za juma yaani Jumatatu, Jumanne- Jumatano, Alhamisi, ljumaa, Jumamosi na Jumapili, Je ni ipi inayokusudiwa kama siku ya Saba iliyo ya tangu awali ambayo ndiyo hasa siku ya kweli ya Ibada na kustarehe kama mungu mwenyewe alivyoonyesha kielelezo kwa kustarehe katika siku hiyo.

Je! ni siku gani iliyo ya saba (Sabato) katika siku za wiki! ljumaa, Jumamosi au Jumapili? Maandiko ya Qur-an yatatoa uchambuzi.









Nijambo linaloeleweka na kukubalika na jamii ya Kiislam kuwa; jamii kubwa ya watu waliomlea na kupenda mtume muhamadi ili kuwa ni ya watu wa imani ya Ukristo- vitabu mbali mbali vya Kiislam huweka wazi hata baadhi ya marafiki walio kuwa karibu na Muhamadi ambao walikuwa ni Wayahudi wa dini ya Kikristo (nasara) kama vile:-

* Waraga bin Naufal

* Bwana Jabil

* Binti Maria (Mke wa Muhamadi wa Kiyahudi) n.k


-8-


Hivyo ndugu msomaji ukaribu huo wa Muhamadi na watu hao ambao baadhi
yao walikuwa ni watu wa dini sahihi za Kiyahudi na watunzaji wa siku ya kweli ya Ibada [Sabato], ndiyo uliomwezesha Muhamadi kueleza vyema Juuya ukweli wa siku hii ya ibada ya Sabato. Kama tutakavyoona.

Hata hivyo Mtume Muhamadi mwenyewe alikuwa na misafara ya kibiashara ya
chumvi, ambayo ilimpa nafasi ya kufika maeneo ya Shamu (Syria) pamoja na mji wa Yerusalem, bila shaka Muhamadi aliweza kupata habari nyingi kuhusu imani ya Kikristo (naswara) na sasa hebu tuone namna ilivyozungumzia juu ya Ibada hii ya kweli ya siku ya saba ya juma yaani Sabato na je? ni siku gani hasa!

Kama tulivyoona Qur-an inakubaliana na mpango wa uumbaji katika siku sita na kuwepo kwa siku ya saba ambavyo Mungu alistarehe kama tulivyosoma katika;-

Qur-an A araf 7:54 Mola wenu ni mwenyezi mungu aliyeziumba mbingu
na ardhi kwa siku sita kisha akatawala katika arshi
yake.








Hebu sasa twende mbele zaidi, ili tuweze kuifahamu hasa siku hiyo ambayo mwenyezi mungu hakufanya kazi yeyote maandiko ya Qur-an yataendelea kutusaidia katika Jambo hili-

Qur-an Surat A-NISAA 4:154 na tukanyanyua mlima juu yao[hao
Mayahudi] kwa kufanya Agano nao [la kufuata
taurat] na tuliwaambia"Liingieni lango [la
nchi ya shamu]" hali ya kuinama {kama
mnafukuu] [wakapinga]. Na [pia] tukawaambia;
"msiruke mipaka kwa [kuvunja taadhima ya]
Jumamosi" na tukachukua ahadi iliyo madhubuti
kwa mambo hayo na mengineyo wala wasitimize.
Ndugu mpendwa msomaji hebu tuwesambamba kuichunguza aya hiyo,
hapa tunapata mambo makuu matatu na kwa uwazi ndipo tunapoweza
kugundua ukweli juu ya siku hiyo iitwayo Sabato kuwa ni siku ipi kati ya siku zetu za wiki.






Mambo makuu matatu tunayo ng'amua katika aya hiyo-
1. Mungu aliweka Agano maalum kwawatu wakale [Aganoni makubaliano],

2. Agano lenyewe lilihusika na namna ya kuingia shamu na kutunza siku ya kweli ya fbada aiTibayo Qur-an hapo imclaja kwa wa/i kuwa kumbe inaitwa Jumamosi [Sabato]

3. Ahadi hiyo haikuwa ya mzaha [ni ahadi madhubuti] lakini waliivunja.

Mpendwa tumaini langu lilikuwa ni kuu nilipokuambia kuwa Qur-an itatoa
Majibu juu ya siku hii kuwa ni ljumaa, Jumapili au Jumamosi! Na hapa tumevuna maarifa ya wazi juu ya ukweli hasa wa siku hiyo kuwa ni siku ya Jumamosi.

Hivyo rafiki yangu uliyeshikilia kitabu hiki hayo ni maarifa ya wazi na
rahisi ikiwa ni muislam au mkristo- siku ya saba inayozungumziiwa na Qur-an tukufu ni siku ya Jumamosi na si vinginevyo, lakini ikiwa umuislam ninafikiri kwenda ulitarajia kuona kuwa siku hiyo yaweza kuwa ni ljumaa ambayo waislam hukutana na kuswali swala ya Jamaa, hilo tutalitazama kwa kina sana mbele zaidi katika kurasa za kitabu hiki cha maarifa mapya hebu tuendelee kuchunguza
zaidi juu ya ukweli hasa wa siku hii ya Jumamosi kama siku ya Ibada,

Je! mahesabu ya siku hayakupotezwa?
Hilo linaweza kuwa swali lako mpendwa msomaji, na yafuatayo ni majibu ya mashaka yako..

Kwa kawaida na ukweli [bil-haq] Mwenyezi Mungu hupenda kuhakikisha kuwa chochote alichokianzisha kinadumu na kulindwa hadi mwisho na ndivyo ninavyoweza kukuhakishia kuwa Mungu alilinda siku hii ya saba maana yeye ndiye aliyeianzisha. kulinda huko si kwa njia tuzifahamuzo, bali alitoa ujuzi na vipawa kwa wanadamu ili waweze kujua namna ya kuhesabu majira na saa na hivyo isingeliwezekana kusahau au kupoteza siku hii ya ibada ya Bwana [Sabato] hebu na tuone mifano kadhaa:-

Tangu zamani watu walihesabu masaa na mizunguko ya siku kwa kutumia
Solar Calender [Kalenda ya jua] na walifaulu vizuri hivyo kutopoteza
siku au mwenendo wa masaa.
-11-

Pia njia ya kwanza inadaiwa ilikuwa ikitumika miaka ya 350 kabla ya kristo na ilikuwa ni ya kufuata kivuli cha binadamu kinavyosogea kufuata mwanga wa jua.

Katika karne ya nane [8] saa kongwe ilitumika huko Misri na ingali
imehifadhiwa hata leo katika jumba kongwe.

Karne ya kumi na nane [18] mjapani aitwaye Lntern Clocic aligundua
saa inayo tumia mashine na mashine hiyo iliitwa Harogium kabia ya
kuitwa Clock.





Mpendwa msomaji wangu je umeona vile mungu alivyoibua vipawa na hivyo
kufanya mahesabu ya siku kutoharibikiwa? Hivyo ni wazi kuwa siku ya saba inabaki kuwa ni Jumamosi na si siku nyingine yeyote, kumbuka Muhamadi aliishi zama na mbele Sana baada ya Yesu Kristo yaani.

• Yesu alipaa mwaka wa 31

• Mohamadi alikuja mwaka 570 Baada ya Kristo

Pamoja na kipindi chote kupita kati ya mtume Muhammad na Yesu Kristo, pamoja na manabii wengi wa Kibiblia. lakini tunaona Muhamadi akitangazia Dunia kuwa siku ya saba [Sabato] ni siku ya Jumamosi na siyo vinginevyo. pamoja na hayo kalenda maalumu ya kiarabu nayo huweka wazi juu ya ukweli huu wa siku sahihi iliyo Sabato (siku ya saba)

Hebu tuone mpango wa siku hizo za juma na ziitwavyo katika kalenda hiyo ya kiarabu.

-11-





[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]
Kiarabu
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Kingereza
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Kiswahili
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm L-wahid
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Sunday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Jumapili
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm L-ithnain
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Monday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Jumatatu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm - Thalathat
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Tuesday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] jumanne
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yaum - Rabi-u
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Wednesday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Jumatano
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm L-Khamsy
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Thursday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Alhamisi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm L-Jamaa
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Friday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] ljumaa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"]Yawm L-sabt
[/TD]
[TD="width: 148, bgcolor: transparent"] Saturday
[/TD]
[TD="width: 216, bgcolor: transparent"] Jumamosi
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ndugu msomaji hivyo ndivyo kalenda iliyoandikwa na waarabu inavyoonyesha, kama tunavyoona kalenda hii huanza kwa kutaja siku ya kwanza yaani Jumapili na siku ya ljumaa huwekwa wazi kuwa ni siku ya sita na hivyo siku ya Jumamosi hubaki katika nafasi yake sahihi kama siku ya saba.

Baada ya uchambuzi huo hebu sasa na tuendelee tukiwa na uhakika tele na
hivyo Qur-an inaweza kuchukua vyema nafasi yake ili kutupa habari zaidi juu ya umakini wa siku hii ya Sabato (Jumamosi) ndani ya Qur-an yako mambo makuu yaliyo nenwa humo kuhusiana na siku hii ya Sabato, sitakosea nikikuhakikishia ndugu msomaji kuwa Ibada ya siku hii ya Sabato ndiyo iliyo na makazo kuliko ibada zote ndani ya maandiko ya Qur-an.











Katika uchambuzi huu. tutapitia kwa makini jumla ya aya zipatazo nne zinazo Zungumzia Juu ya Ibada hii sahihi ya Sabato (Jumamosi) na kupitia maandiko hayo tutaona kuwa Je Ibada hiyo ingali inadumu hata hivi leo au iliishia zamani?

Kama nilivyotangulia kueleza hapo nyuma. kuwa kitabu cha Qur-an huinua na kuieleza ibada hii ya siku ya saba (Sabato) kuliko ibada nyingine yeyote ndani maandiko yake.

-12-



Hebu sasa tuzichunguze aya hizo zipatazo nne; iii kujivunia maarifa haya juu ya ukweli kuhusu siku haswaa iliyo ya kweli ya ibada,

Qur-an 7:163-164 Na waulizeni habari za mji amhao ulikuwa kando
ya bahari [watu wa mji huo] walipokuwa wakivunja
[sheria ya] Jumamosi [ambayo waliambiwa wasifanye kazi
katika siku hiyo, wafanye ibada tu, na kazi yao ilikuwa
uvuvi] Samaki wao walipowajia juu juu siku za jumamosi
zao, na siku isiyokuwa jumamosi hawakuwa wakiwajia
[hivyo] Basi namna hivyo tuliwatia mtihani kwa sababu
ya kiasi kwao.

Ndugu mpendwa msomaji wa kitabu hiki cha maarifa mapya, unaweza kuona
aya hiyo ya Qur-an ikianza kuonyesha umuhimu wa siku hiyo ya Sabato
(Jumamosi). Qur-an hapo inaweka wazi kuwa Mungu kamwe hakutaka
Mwanadamu kuivunja siku hiyo.

Tunaweza kuona onyo likitolewa kwa wavuvi hao, kuhakikisha kuwa hawavui
katika siku hiyo ya Sabato, na unapoendelea na aya hiyo unaweza kuona Mungu akiwatumia watu wengine kuwaendea wavuvi hao ili kuwapa onyo, kuwa wangekutana na adhabu ikiwa wangeliendelea kukaidi amri hiyo.

Mambo Makuu matatu [3] tunaweza kuyagundua kupitia aya hiyo
kuhusiana na siku hii ya Sabato.

- Sabato ni amri ya Mungu inayopaswa kuwa sehemu ya tabia ya Mwanadamu katika kuiheshimu na kuitunza.

- Kuivunja Sabato ni kuasi sehemu ya amri [sheria] za Mungu, na pamoja na hayo ilistahili adhabu kwa mtu huyo aliyeasi.

- Watu wengine wanaodumu kutunza amri za Mungu, wanawajibika
kuwakumbusha wengine wanao asi au kulegalega katika kuishia tabia ya Mungu [Amri kumi].

Hayo ndiyo mambo ya pekee tunayoweza kujifunza kupitia ushahidi huo wa
maandiko ya Qur-an na bado tunaweza kusonga mbele ili kuendelea kuona
umuhimu wa siku hii ya Sabato kupitia aya hizo za Qur-an. na sasa hebu tuone ushahidi mwingine unaonyesha mkazo wa siku hii ya ibada [Sabato]

-13-



Qur-an 16:124 Hakika [adhabu ya kuvunja taadhima ya] Jumamosi
Iliwekwa juu ya wale waliohitilafiana kwa ajili ya hiyo
(Jumamosi) na kwa yakini mola wako atahukumu baina yao
siku ya kiama katika yale waliokuwa wakihitilafiana.

Haya ndugu msomaji wangu! Hizo ni habari nyingine tena, hapo Qur-an
inaonyesha kuwa wako watu waliowahi kuasi siku hii ya ibada ya Jumamosi
[Sabato] na tunaambiwa kuwa adhabu iliwekwa juu yao.

PamoJa na hayo Qur-an inaonyesha kuwa watu hao walihitilafiana, tendo hili la kuhitilafiana ndilo linalo tusumbua hivi leo lakini tunachoshukuru ni kuwa kitabu cha Qur-an kilisha ona hayo tangu awali na zaidi ya yote.

Mungu atahukumu juu ya hilo siku ya kiama na hukumu inayotajwa hapo
inahusiana na wale waliosimama upande wa upinzani dhidi ya amri hiyo ya
wazi ihusuyo siku ya Ibada na mengineyo yaliyoelekezwa na Mungu.

Pamoja na hayo, kupitia aya hiyo na ile tuliyotangulia kuisoma awali, tunaweza kujiuliza maswali yafuatayo:-

1. Kwa nini Mungu alikuwa makini sana kuilinda siku hii ya Sabato?

2. Ikiwa watu wahadhibiwa kwa sababu ya kuvunja siku hii ya Ibada, Je kuna ukweli wowote kuwa Mungu aliiona si ya maana tena mbeleni?

3. Je! kwanini hatuoni ibada ya siku ya ljumaa n.k ikiwa na uzito kama huo wa siku hii ya Jumamosi.

Wakati tukijiuliza maswali hayo hebu tuzidi kuangalia aya nyingine za Qur-an ili kupanua maarifa hayo juu ya siku halisi ya Ibada,

Qur-an 4:47 Enyi mliopewa kitabu! Aminini tuliyoyateremsha
yanayosadikisha yale yaliyo nanyi, kabla hatujazigeuza
nyuso zenu tukuzipeleka kisogoni, au kabla ya kuwalaani
kama tulivyo walaani watu [walioharibu utukufu] wa Jumamosi
na amri ya Mwenyezi Mungu ni lazima kufanywa.


-14-




Binafsi ninashukuru sana kuwepo kwa kitabu cha Qur-an, maana ni
kitabu kinachosema ukweli wake bila kupindapinda kama wanavyopinda
wanadamu hivi leo.

Pamoja na kwamba maelezo mengine ya Qur-an hatuwezi kuyaona katika
maneno va kibiblia. ila bado yanafaa kuwa ubao wa kufundishia kwa
wale wenye miyoyo migumu.

Andiko tulilosoma punde linaonyesha kulaaniwa kwa baadhi ya watu
kipindi cha nyuma kwa kosa la kuvunja Sabato, na hicho kimetumika
kama kielelezo cha adhabu ya kukosa utii katika mambo matakatifu ya
Mwenyezi Mungu.

Watu wa zama hizi tunatakiwa kujifunza umuhimu wa kutii maagizo ya
Mungu, ili tusikumbane na hasira yake, yawezekana usilaaniwe hapa
duniani, ila kuna kuitazamia adhabu katika siku ya hukumu ya Kiyama

Ibada ya siku hii ya kweli Sabato (Jumamosi) ina mkazo mkubwa ndani ya
kitabu cha Qur-an anza kuitazama upya, na kuchunguza maandiko ili kupata ukweli huu wa maarifa mapya.

Maneno va ajabu yanayoinua ibada ya kweli ya siku ya Sabato [Jumamosi]
ndani va Qur-an.

Qur-an 2:65 Na kwa yakini mmekwisha kujua (Khabari za) wale walio asi
miongoni mwenu katika (amri ya kuiheshimu) Jumamosi Basi
tukawaambia [Kuweni Manyani wadhalilifu) "


sabato
sabato



Mpendwa mimi binafsi aya hii ya Qur-an huwa inanishangaza na kunipa
tafakari ya pekee juu ya uzito wa siku hii ya Sabato (Jumamosi).
Kama tuonavyo aya hii ikieleza juu ya jamii ya watu fulani walioasi
kwa tendo la kuvunja amri hii ya ibada ya kweli ya siku ya Sabato
(Jumamosi).

- 15 -



Pamoja na hayo Qur-an inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu aliwafananisha watu
hao na nyani tena nyani wadhalilifu,

mambo ya kujiuliza

- Kuna siri na uzito gani katika siku hii ya Jumamosi (Sabato)
hadi Mungu afikie hatua ya kuwaita viumbe wake sawa na nyani
hati sababu ameasi siku hiyo?

- Nini hasa sababu ya Mungu kuwafananisha watu wake na nyani
tena nyani wadhalilifu?

- Mimi binafsi ninachojua ni kuwa siku hii ya ibada (ya Sabato)
ilitolewa na Mungu yeye mwenyewe na ni kati ya amri zake
kumi alizoziandika kwa kidole chake mwenyewe na siyo
kuandikwa na Mwanadamu.

- Kutokana na uzito huo ndugu msomaji wangu ni hakika Mungu
Asinge vumilia kuona mwanadamu akichezea na kukaidi mambo
hayo malakatifu

Qur-an inaripoti kuwa Mwenyezi Mungu aliwafananisha watu hao
walioharibu amri ile ya siku ya Ibada sawa na nyani, kimsingi nyani
hueleza tabia ya mtu asiye na msimamo katika jamho moja la kimsingi,
kama vile ilivyo tabia ya nyani ya kuruka kila upande wa miti.

- Mpendwa msomaji wangu, Sabato (Jumamosi) ndiyo siku
haswa iliyowekwa na Mungu kama siku ya mikutaniko mikuu
ya kiibada kama vilie Maandiko ya vitabu vyote vya Dini yalivyo
weka wazi jambo hili kama tulivyoona.

- Lakini pamoja na hayo bado swali linaweza kuwa, Je! siku ya
Ijumaa ilitoka wapi sasa! Fuatilia uchambuzi huu katika sura
 
Nini chimbuko la Ibada ya Kiislam ya ljumaa!




Ulimwengu wa Imani ya Kiislam Duniani, unaadhimisha Ibada za
mikutano mikuu katika siku ya ljumaa, ljumaa katika Uislam ndiyo siku
inayodhaniwa haswa kuwa ni kivuli cha mahala pa Sabato (Jumamosi).

Pamoja na hayo ummah wa Kiislam kama isemavyo Qur-an, unatambua
kuwepo kwa siku halisi ya ibada iitwayo Sabato (Jumamosi) isipokuwa,
mafundisho ya viongozi wa Kiislam ndiyo huhafifisha nuru hii ya ukweli
hasa ya siku ya Ibada (Jumamosi) na kukuza wazo hilo jipya la ibada ya
siku ya ljumaa.

Viongozi na Maulamaa katika imani ya Kiislam, wamedai kuwa amri hii
ya kiibada ihusuyo utunzaji wa Sabato halisi ya siku ya saba (Jumamosi), ilihusika haswa na kizazi cha Ban-israeli na yakuwa Mwenyezi Mungu alifanya mabadiliko mbele kwa kuwapa siku nyingine Ummah wa Mtume Muhammad.

Pamoja na maelezo hayo ya wanazuoni hao wa Kiislam, bado Qur-an
inaonekana kuwa na msimamo wake endelevu juu ya wazo la taratibu ya
amri za Mungu katika maagizo yake kwa wafata Dini. Hebu tuone nukuu
ya aya hiyo:-

Qur-an 42:13 Amekupeni sheria ya Dini ile ile aliyomuhusia Nuhu
na tuliyo kufunulia wewe na tuliyo wahusia Ibrahimu na
Musa na Isa, kwamba simamisheni dini wala msifarikiane kwa
hayo......................................................

Aya hiyo ya Qur-an inaweka wazi kuwa Mungu kamwe hawezi kubadili
taratibu zake kwa sababu ya mabadiliko ya watu (Ummah).

- 17-




Hivyo hata Muhammad alihusiwa juu ya sheria ya dini (njia) ile ile kama alivyo husiwa Ibrahim Musa na Isa, hivyo kamwe hapana kigezo chochote cha kimsingi kiletacho sababu ya mabadiliko katika mfumo wa Ibada kinachotokana na idhini ya Mungu mwenyewe.

Nini chimbuko la ibada ya siku ya ljumaa?

- Ibada ya siku ya ljumaa huelezwa mwanzo wake katika kitabu kilicho andikwa na jumuiya ya vijana wa Ki Ansaar.

HISTORlA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NA:- MUHAMMAD
ABDALLA RIDAY ANSAAR MUSLIM YOUTH ORGANISATION
UK. No. 47.

Hebu tuone maelezo mafupi katika ukurasa huo wa kitabu, katika kichwa
Kisemacho.

IJUMAA YA KWANZA ALIYOSWALI MTUME.

Mtume aliondoka Qubaa kwenda Yathriba ilikuwa ni ljumaa, na jua lilipo
chomoza alifika katika maskani ya Bani Salim bin Awf; katika Wangwa
wa Ronunaa, hapo ndipo Muhammad aliposwali swala ya ljumaa kwa
mara ya kwanza katika Uislam Na huo ni mwaka 622 uitwao mwaka wa
Hijra kwa Waislam (mwanzo wa kalenda ya Kiislam).

Nini sababu ya Muhammad kusali siku hii na kuanzisha siku hii katika ummah wa kiislam?.

- Mkazo mkubwa wa Ummah wa Kiislam juu ya siku ya ljumaa, unaanzia
katika tukio hilo tu, maandiko ya Qur-an yanaonyesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.

- Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu,
kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu. (Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

-18-


Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa
Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad alipokea mafunuo yake
mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo,
n.k zilianza kuonekana katika maisha ya Muhammad mara tu baada ya
kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe
Farsy).

- Hilo lilimfanya Muhammad kuanza kupingwa na wayahudi hao,
Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho
waliyompa kama vile.

o Kutia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani
Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9] Qj

o Kuanza kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho
yaliyo onekana kutofautiana na yake ya kibiblia.

- Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni
juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadi
hayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an maonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi
wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta
mafunuo hayo kwa Muhammad.

Ibada va liumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.

- Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika,

Fuatilia katika aya zifuatazo:-

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile
wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na ndipo

- 19-



anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa
Kiislam wakati huo akiwa Yathrib (Madina),

- Lakini pamoja na hayo Muhammad hakuipa siku hii nafasi ya Sabato
yaani siku ya 7 ya juma (Jumamosi) ambayo ndiyo haswa iliyo siku
ya Ibada ya kweli kama tulivyoona hapo awali,

- Kumbuka siku ile ya kweli ya Ibada ilitengwa na Mungu yote iwe
siku ya ibada tu na si kufanya kazi yeyote ya kimaisha.
(Qur-an 7 : 163 Kutoka 20 : 8 )

- Siku ya ljumaa haikutolewa ili kushika mahala pa Jumamosi [Sabato] maana pamoja na kufanya ibada Muhammad anaruhusu Waislam
kufanya kazi siku hiyo mara baada ya swala, hebu tuone-

Qur-an 62:9-10 Enyi mlioamini! Kukiadhiniwa kwa ajili ya sala
siku ya ljumaa, enendeni upesi kumtaja Mwenyezi
Mungu na acheni biashara kufanya hivi ni bora
kwenu ikiwa mnajua basi fanyeni.

[10] Na itakapokwisha sala, tawanyikeni katika
ardhi mtafute fadhira za Mwenyezi Mungu.......

- Ndugu mpendwa msomaji wa maarifa mapya hivyo ndivyo
Muhammadi alivyoeleza juu ya siku hii ya ljumaa, kamwe siyo siku
ya mapumziko kama ilivyo Sabato (Jumamosi) zaidi ya yote ljumaa
si siku yenye mkazo wa kiibada kama ilivyo Sabato (Jumamosi). Katika mafunuo ya Qur-an.

- Siku hii ya ljumaa ni siku ya ibada ya kawaida tu inayo ambatana na kufanya kazi za kutafuta kipato, hilo linaifanya kuwa na tofauti ya mbali sana na siku ya kweli ya Ibada ya Jumamosi.

-20-




Usifanye moyo wako kuwa mgumu,na usikimbie mahali pa raha yako,
Sabato ya Jumamosi ndiyo siku halisi ya Ibada na siyo ljumaa
"zinduka"

Je! Amri za Allah (Mungu) zinabadilika?











- Msimamo wa wasomi wengi wa Kiislam katika jambo hili kuu, unaishia kwenye kudhani kuwa huenda kuna mabadiliko toka kwa Mungu mwenyewe juu ya Amri zake, na pengine Mwenyezi Mungu mwenyewe huadhimu kugawa sheria zake kwa makundi ya watu fulani maalumu tu na wenginekutotakiwa kuhusika nazo.

- Wazo hilo si zuri ikiwa halitotumiwa kwa uangalifu, kimsingi
tunachokizungumzia ndani ya kitabu hiki ni juu ya Amri za Mungu tena alizoziandika yeye mwenyewe, amri hizo ni amri za milele na vizazi vyote vya Dunia huhusika nazo na pia haziwezi kubadilishwa,

- Ushahidi wa maandiko yafuatayo ya Qur-an utatupatia mwanga zaidi, kuwa je ni kweli kanuni hizo zinaweza kubadilika ati kwa sababu ya mabadiliko ya vizazi (Ummah)?

Qur-an Surat Ban Israel 17:77 Ndiyo desturi ya wale tuliowatuma
(tuliowapa utume) kabla yako katika
mitume wetu. Wala hutapata
mabadiliko katika desturi yetu.

Aya hiyo ya Qur-an inaweka wazi kuwa kamwe hakuna mabadiliko katika
Kawaida ya Mungu aliyoifunua tangu mitume wa kale maneno haya yanaunga
mkono kauli ya Bwana Yesu, pale aliposema sikuja kutengua Torati (Mathayo 5 : 17). bila shaka hata Mohammad hakustahili kuleta aina yeyote ile ya mabadiliko. pamoja na tofauti yake na Wayahudi. alipaswa kuzingatia tu kanuni za kimsingi za mafunuo ya Mungu mwenyewe kuhusu siku halisi ya Ibada (Jumamosi).

-21 -




Qur-an Surat Fatir 35 : 43 wala hutapata mahadiliko katika kawaida
(desturi) ya Mungu (allyoiweka) wala
hutakuta mageuko katika kawaida ya Mwenyezi
Mungu.

- Kutokana na maandiko hayo ninapenda kukuhakikishia ndugu msomaji
wangu kuwa ibada ya siku hii ya Sabato ingali inadumu kama ilivyo sehemu ya amri kumi ambazo kamwe hazibadiliki hata hivyo maandiko ya Qur-an yanaweka wazi kuwa Sabato ingali inadumu hadi mwisho kwa wale wanao mcha Miingu.


Qur-an Surat Al-Baqarah 2 : 66 kwa hivyo tukaifanya (adhabu hiyo)
kuwa onyo kwa wale waliokuwa
katika zama zao,na waliokuja nyuma
yao, na (tukaifanya) ni mawaidha
kwa wamchao Mwenyezi Mungu.

- Aya hiyo inaonyesha adhabu waliyopewa watu waliovunja Sabato, na
yakuwa walipewa adhabu hiyo ilikuwa onyo, kwa waliokuwa katika zama zao, waliokuja nyuma yao, na pia bado ni mawaidha (Mahusia) kwa watu wa zama hizi wanao mcha Mungu, Je wewe una mcha Mungu! Kama jibu ni ndiyo basi Sabato ni Ibada iliyo na nguvu kwako, anza kuitunza kwa kuabudu katika siku hii ya Bwana Mungu wako.

- Ninakupatia wito huu wa pekee tafakari upya na ufanye maamuzi wakati ni sasa viongozi wa Dini, wazazi na marafiki hawatakuokoa tumtazame Allah, (laysa ila Lahu)
 
Wanajamvi tafakarini hayo kisha tuabudu katika sabato ya kweli ya mungu jumamosi!nawaombea saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.sabato njema
 
Ijumaa iwe siku ya mapumziko au siku ya kazi; utukufu wake uko pale pale hata madhalimu watakasirika. Allah asema "Enyi mlioamini, inapotangazwa/adhiniwa (mnapoitwa katika) siku ya sala ya Ijumaa, basi acheni kila kitu na nendeni (fuateni) katika wito wa sala katika utajo (ibada) ya Allah; mkimaliza sala, basi tawanyikeni katika ardhi na mtafute fadhila (riziki) za Allah".
Wajameni, kuchukia kwenu hakutabadilisha ufukufu wa Allah, kwani hiyo ndiyo sifa ya Shatani aliyelaaniwa hivyo watu wa shetani lazima wamchukie Allah kwani ameshawaahidi kuwatia motoni. Yesu wa kweli (Issah) aliye tumwa na Allah atakuja kuwakana wote wanaojidai kuwa ni wafuasi wake au wanaodai kuwa mungu wao. Siku zimebaki kidogo tu wote wataumbuka. Sisi tunaendelea kumwabudu Allah aliye Mungu pekee wa kweli hata mkichukia haitatuzuia kumwabudu na pepo ni yetu inayopita chini yake mito ya asali na maziwa, na wanawake wa kidunia na wa peponi waliotakasika ndiyo faraja yetu. Mpo hapo mkiumia sana jinyongeni mtangulie mapema kaburini kwenye majoka na nge kisha msubiri moto ambao kuni zake ni mawe na watu wabaya.
 
Dah... Nimesoma na kuipenda sana makala yako, mimi ni mkristo na umenipa moyo wa kuiheshimu sabato misoza Gete

Mhh...Kama Akili ni nywele... SILANYINGI MNO

logo.png
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom