Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati.

Siku hii ya Ijumaa ilutumika pia kama siku muhimu ya vikao vya koo au makabila ya Kiarabu kukutana na kujadiliana mambo yake. Hapo kale sana Ijumaa kwa Waarabu ilikuwa ikiitwa "Yawm al-'Arubah",
 
Tapeli Covax
d3cb392e63cdbd7ded509130744a705b.jpg
 
Back
Top Bottom