Ishaiva?Njoo upakuliwe..
Wapambane na hali zaoIna utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
Anapakuliwa yeye au nyama?Njoo upakuliwe..
Lazima upate kijinusu na ka ugali au ndizi🤣🤣🤣...! Nilikuwa nafikiria kula matunda saa Saba Saba hivi. Hapa kanihamisha akili
Tumelijua lengo lako mkuu10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.
6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.
5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.
3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.
2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Source. WFP
Utafiti wa kisayansi hauna misingi ya stori za kusadikika za watu kutoka Mashariki ya kati.aliyesema haifai huko muhimbili ni mgalatia? au mvaa kobaz?
1 na 2 sawa10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.
6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.
5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.
3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.
2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Source. WFP
Mkuu chakula hakina dini. Mwili wa binadamu ndio unaochagua chakula kwa. maana utakapo kula aidha utapata kichefuchefu ama utatapika na sio vinginevyo. Wamasai walikuwa hawali vitu vingi kwa misingi ya mila ya kabila Lao, lakini leo wanakula samaki na mayai pia. Hawa ndugu na waarabu leo ni walaji wazuri wa porck. Kwa ujumla unategemea na mazingira uliyokulia.Hii kiti haina dini
Sawa lakini hawezi kuwa No 1.Nina imani kwamba mbwa analiwa pengine zaidi ya huyo mnyama namba 10, isipokuwa hao WFP hawajataka kumuorodhesha vile kuna kampeni za kupinga uliwaji wa pets...
Mashariki ya mbali ambayo ndio kuna population kubwa ya wanadamu, wanakula sana hiyo makitu...
Kwa hio Ng'ombe haliwi zaidi?10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.
6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.
5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.
3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.
2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Source. WFP
Mvaa kabaz?aliyesema haifai huko muhimbili ni mgalatia? au mvaa kobaz?
Mkuu haijakatazwa; bali inatakiwa iliwe kama una njaa sana na hamna chakula kingine. Kwa mantiki hiyo ni kwamba, kama wewe ni maskini na hauna uwezo wa kununua ama akupata chakula na wakati huohuo jirani yako ni mlaji mzuri wa pork na akakukaribisha, nawe una njaa, na hauna uwezo wa kupata chakula kingine hapo inabidi ujumuike naye kula pork.Na bado kuna dini haziruhusu ila bado inalika, kwa nini kina mudi msikubali tu kukataza nguruwe ilikuaga mistake
NyamaAnapakuliwa yeye au nyama?