Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
kwahiyo mdudu ni namba moja. au kwasababu wachina ndio chakula chao kikuu? mle kwenye miili ya wachina kukiipasua vimejaa vimelea vya protin vilivyotokana na kitimoto tupu. wachina wanakual kitimoto kuliko hata wazungu.
 
Huu uzi nimeusoma kama mtu anayebeti anavyokagua mkeka.
Nilikuwa nascroll tu huku jibu ninalo kichwani, nilipoona KITIMOTO tu nikajisemea MKEKA UMETIKI, list imethibitishwa na TBS na mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na ISO.
 
kwahiyo mdudu ni namba moja. au kwasababu wachina ndio chakula chao kikuu? mle kwenye miili ya wachina kukiipasua vimejaa vimelea vya protin vilivyotokana na kitimoto tupu. wachina wanakual kitimoto kuliko hata wazungu.
 
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
Nikafikiri kitimoto ni namba kumi. Huu uzi ungebatilishwa
 
Mimi kama Kaka Mkubwa wa Faiza foxy nasisitiza kuwa hii orodha ni kweli kabisa.
 
Namba Moja haina mpinzani miaka 10000
 
Hii imekuwa nambari moja nadhani kwa sababu huliwa sana na watu wa mashariki ya mbali...

Kwa China ukienda sehemu wanauza nyama iwe mbichi au iliyopikwa na ukamieleza mmuzaji kwamba wataka nyama, basi muuzaji wala hatakuuliza nyama gani bali atakupatia kitimoto...
MKuu, huyu huwa hana cha Mashariki ya mbali wala nini, huyu hata wanaomkataa huwa wanamla wakiwa uvunguni mwa vitanda hata vyooni.
 
Ina utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
Nenda ukaile kwanza ndiyo uje hapa kubisha, tutakupa siti ya mbele kabisa ubishe utakavyo. Mtu hujawahi kuila unataja kui diss au ni miongoni mwa mnaila mkiwa mmejifungia vyooni?
 
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
Naam!

Mbuzi wa Vatican ni numbero uno. Hana mpinzani huyu mwamba aisee na ukifanya kosa ukamuonja tu basi kwisha habari yako. Yaani ni sawa na kula nyama ya mtu maana ukiila tu ni lazima utaendelea kuila (in Mwl. Nyerere's voice) 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20230626_124730_Chrome.jpg

6D0A5D26-D14D-42D1-AAD7-57F2E61F2538.jpeg
 
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Na bado kuna dini haziruhusu ila bado inalika, kwa nini kina mudi msikubali tu kukataza nguruwe ilikuaga mistake
 
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
Leta reliable source ya hii habari yako,hapa sio fesibuku.
 
Back
Top Bottom