Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP

Labda nikusaidie tu kuwa;
Aina ya chakula kuliwa na watu wengi sio kigezo cha kupendwa
Kigezo muhimu hapo ni upatikanaji wake kuwa rahisi kwa maeneo mengi na bei yake kuwa nafuu hata kwa walalahoi wamudu kuinunua au kuzalisha (na sio kupendwa)
Mfano: Nguruwe hupatikana maeneo mengi Duniani kwani huhimili mazingira magumu kwani huweza kula chochote kinachopatikana wakaendelea na maisha ambapo wanyama wengine hawawezi. Kuliwa kwao kwa wingi ni kwa sababu wanapatikana maeneo mengi
 
Nyama ya kuku imepigwa chini na kitimoto. Kuku anachukua namba mbili japo ni nyama yenye heshima na hadhi ya juu hususani kwa wageni na watu wanaoheshimika huandaliwa nyama ya kuku
Ni kwasababu ya kutojua dini ya muandaliwa la sivyo mbuzi katoliki angeandaliwa kwa aote.
 
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
Ni nani huyo kwa jina aliyezi'rank' nyama hizo?

Kila binadamu ana "mwitikio" wa kinywa chake akiisha kutafuna nyama.
Unayoipenda wewe, mwingine aweza kuona kama antafuna makamba kamba tu.

Hili la kusema kiti moto ndiyo nyama kiongozi siyo sahihi hata kidogo!
 
Utafiti wa kisayansi hauna misingi ya stori za kusadikika za watu kutoka Mashariki ya kati.
nadhani, haifai kula mbichi. wazungu (kwa wale waliowahi fika ulaya) huwa kuna nyamba ambayo haijaiva vizuri unaona damu damu kabisa. unaamua tu wewe ule iliyoiva sana au iliyoiva kidogo yenye juice juice. kitimoto inatakiwa kupigwa kama wanavyopika wachina. wao huwa wanakaanga na mafuta kwanza, inaiva, then wanaopoa na wanaitengeneza upya na viungo n.k. ila ukila mbichimbichi ina minyoo isiyokufa, itakudhuru.
 
Nilitegemea kumuona kuku kwenye namba 1 ila sio mbaya
Kuku aliongoza mwaka 2021-2022 akimzidi professa kwa utofauti wa asilimia 3 pekee.

Na hiyo ilitokana na threat ya Covid 19 ila tangu hapo kuku ameachwa vibaya sana na hategemewi kumpata profesa.
 
Kwa hio Ng'ombe haliwi zaidi?
Hizo takwimu ni za Nje ya Africa.
Africa kitoweo no1 ni cow.
Hiyo ni Global kaangalie kwenye database za FAO

Lakini pia zipo list za nchi zenye highest consuming ya ulaji wa nyama, ambapo wame classify aina gani ya nyama inayoongozwa kuliwa.
 
Labda nikusaidie tu kuwa;
Aina ya chakula kuliwa na watu wengi sio kigezo cha kupendwa
Kigezo muhimu hapo ni upatikanaji wake kuwa rahisi kwa maeneo mengi na bei yake kuwa nafuu hata kwa walalahoi wamudu kuinunua au kuzalisha (na sio kupendwa)
Mfano: Nguruwe hupatikana maeneo mengi Duniani kwani huhimili mazingira magumu kwani huweza kula chochote kinachopatikana wakaendelea na maisha ambapo wanyama wengine hawawezi. Kuliwa kwao kwa wingi ni kwa sababu wanapatikana maeneo mengi
Ni kweli nakubaliana na wewe

Ng'ombe ina zaa kama mtu, kwa mwaka ni mara 1 hakafu ni single offspring ukibahatika kupata dual labda zari.

Ukuaji wa ng'ombe huchukua muda mrefu na wenye gharama kubwa zaidi kumzidi inspekta.

Ng'ombe kabla ya kumchinja ataku offer maziwa, hivyo sababu ya kumchinja inazidi kushuka kwasababu kuna kitu kingine unazidi kukipata akiendelea kuwa hai.

Lakini inspekta yeye yupo specialized kwa ajili ya msosi tu

Pamoja na hayo yote tukija kwenye utamu bado ng'ombe kwa nspekta hafui dafu.
 
Nilitaka kupata mashaka na taarifa yako..lakini uncle aliyeshika no1 anathibitisha kua usemacho ni kweli
 
Nimeona neno kitimoto hadi akili imehama, mate yashanijaa mdomoni nishawaza ntakipata wapi😀😀😀😀😀
hivi yale mapepo Yesu alifukuza kutoka kwa yule mtu alikuwa Kichaa yakaingia kwa Nguruwe yalitoka? kwani sijaona tena mstari unao yaongelea kwenye Kitabu Kitakatifu
 
Huyo namba moja kala mtu huko leo (star Tv habari saa 2 usiku)
 
Watu wanaokula kitimoto Wana akili Sana wachina, wahindi , wazungu, wahaya, waha, wachagga , wanyakyusa, wangoni, wakikuyu to mention but few
 
hivi yale mapepo Yesu alifukuza kutoka kwa yule mtu alikuwa Kichaa yakaingia kwa Nguruwe yalitoka? kwani sijaona tena mstari unao yaongelea kwenye Kitabu Kitakatifu
Hayatuhusu hayo
 
Back
Top Bottom