Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,065
Protini nyingiWatu wanaokula kitimoto Wana akili Sana wachina, wahindi , wazungu, wahaya, waha, wachagga , wanyakyusa, wangoni, wakikuyu to mention but few
Protini nyingiWatu wanaokula kitimoto Wana akili Sana wachina, wahindi , wazungu, wahaya, waha, wachagga , wanyakyusa, wangoni, wakikuyu to mention but few
Mungu aniepusheSiku utakapoonjeshwa utabadili mu stand.
Katuangusha,kamla mtoto Sumbawanga

Baas usimalizie kisema baasi usmalizie kusema kwa kutomla uyu wangu kipenzKwahiyo nyama yetu pendwa imeibuka kidedea?View attachment 2669200
Wakati kwenye mfungo wa Ramadhan, Biashara ya kitimoto hudorola. Wateja hupunguaKuwa makini faiza yupo humu
Haha jana kitifore kamtafuna mtoto wa watu Tabora huko. Nimekaa palee na bakuri langu atakapochinjwa nipate share yangu mapema😆anaendeleaa kuongozaa, na haringi wala nn
![]()
Ngiri nae ni nguruweKwa wanyama wa pori umekosea sana kama hujamtaja NGIRI!
Namba Moja ni Balaa10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.
6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.
5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.
3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.
2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.
Source. WFP
Chanzo mbona cha mashaka. Utafiti umefanyika lini, nani, nani kaufadhiri, na nini kilisukuma kufanyika, wameohojiwa au kunukuliwa vyanzo vingapi, wapi na kama itawezekana maswali yaliyotumika au namna ulivyofanyika utafiti husika.Kuwa makini faiza yupo humu
Huyu ni peking duck nadhan, hana nyama nyama kama roasted goose.
Of course ilikua china ila ni guangzhou sio beijing.
wao wanakwambia ile ni imperial dish
Mdudu asingeshikilia namba moja ningeandamana aiseeee. Kitimoto atabaki kuwa kitimoto, anapitia vita Kali sana ya kisiasa eti anaambukiza magonjwa but jamaa Yuko top ten miaka nenda miaka Rudi. Long live Legend1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani
Kitimoto awe kwenye bendera ya Taifa aiseeeeNyama ya kuku imepigwa chini na kitimoto. Kuku anachukua namba mbili japo ni nyama yenye heshima na hadhi ya juu hususani kwa wageni na watu wanaoheshimika huandaliwa nyama ya kuku
Kumbe jamaa Yuko KIMATAIFA hahahahahah acha kabisa aiseeee! See you at the Top KitimotoHii imekuwa nambari moja nadhani kwa sababu huliwa sana na watu wa mashariki ya mbali...
Kwa China ukienda sehemu wanauza nyama iwe mbichi au iliyopikwa na ukamieleza mmuzaji kwamba wataka nyama, basi muuzaji wala hatakuuliza nyama gani bali atakupatia kitimoto...