Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.
Nilienda nchi fulan, unaletewa goose mzima kakaangwa hajakatwa katwa, nilikua na mwenyeji wangu na sikuamini kama ningemmaliza. Kila mtu alikua na goose mmoja, ila wangu nilimmaliza sio kwa utamu ule abadan.

Sijaona menu hio hapa TZ
 
Kwa hiyo unabisha
Nimekwambia leta reliable source ya hii habari yako,maswali ya kijinga wapelekee kwenu huko,hii ni JF
Hiyo habari uliyopost hapa mtu yeyote anaweza kujiandikia tu,kinachotakiwa tupate habari ya uhakika coz hapa sio fesibuku.
 
Nilienda nchi fulan, unaletewa goose mzima kakaangwa hajakatwa katwa, nilikua na mwenyeji wangu na sikuamini kama ningemmaliza. Kila mtu alikua na goose mmoja, ila wangu nilimmaliza sio kwa utamu ule abadan.

Sijaona menu hio hapa TZ

Sio Peking(Beijing) kaoya huyo kweli?

images
 
Mimi Nakula sana ya Ng'ombe na Kuku .........Ila Kitimoto na Mbuzi mara chache sana.
 
Sio Peking(Beijing) kaoya huyo kweli?

images
Huyu ni peking duck nadhan, hana nyama nyama kama roasted goose.

Of course ilikua china ila ni guangzhou sio beijing.

wao wanakwambia ile ni imperial dish
 
Kuwa makini faiza yupo humu
Unamwamini huyo?
Mwislam yeyote fisadi pia anaweza kula kitimoto...Faizafoxy ni mtetezi mkubwa wa MAFISADI yaliyojificha kwenye dini nzuri ya haki yaani Uislam

(Ninakiri kuwa Uislam ni dini ya haki)
Japo kupitia dini mafisadi wengi wamejificha kuanzia Msoga
 
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.

9: RABBIT (SUNGURA)
Watu Mara Nyingi Hawachagui Nyama Ya Sungura kama Chaguo la Kwanza. Lakini Ni Nyama Yenye Ladha isio na Mfanano. Hii Ndo Nyama Namba 9 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

8: GOOSE (BATA BUKINI)
Ndio, Nyama Ya Bata, Hii Ni Nyama Tamu Sana kama Umeshawahi Kula. Basi Nchi Nyingi Sana Duniani Zinatumia Nyama Hii Ya Bata. Na Hii Ndo Nyama Namba 8 kwa Kuliwa Duniani.

7: BUFFALO (NYATI)
Nchi za Asia Hula Nyama Ya Nyati kwa Wingi Sana, Nyama Yake Tamu. Kwetu Tanzania Hatujazoea Lakini Nchi za Wenzetu Ni Nyama Tamu Na Pendwa Pia. Hii Ndo Nyama Namba 7 kwa Kuliwa Sana Duniani.

6: DUCK (BATA)
Bata Ni Watamu Sana, Ni Maarufu Zaidi China na India. Nyama Yake Haina Ladha kama Nyama Nyingine, Ni Pekee. Hii Ndo Nyama Namba 6 Kwa Kutumia Zaidi Duniani.

5: TURKEY (Bata Mzinga)
Huyu Bata Maarufu sana Na Pia Anapendwa Sana Na Watu. Domestic Turkeys wa Kwanza walikuwapo Mexico adi Leo Tunaijia. Hii Ndo Nyama Namba 5 kwa Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

4: GOAT/SHEEP (Mbuzi Au Kondoo)
Hapa Sasa Umetikisa Kichwa Kabisa, Maana Umeona Kitu Roho Inayependa. Nyama Ya Mbuzi Na Pia Kondoo Ni Nyama Tamu Sana. Hii Ndio Namba 4 Kwa Uzuri Zaidi Duniani.

3: BEEF (Nyama ya Ng'ombe)
Hii Nayo Haina Tabu, Wote wanaokula Wako na Vibe. Hii Ni Heartbreaking ila Iko Poa Sana. Hii Ndo Nyama Namba ya 3 Kwa Kutumiwa Duniani.

2: CHICKEN (Kuku)
Nyama Ya Kuku inapendwa na Wengi Mno, Watu Hawaoni Shida Kumla Kuku Miezi na Miezi. Nchi Nyingi Ufuguji Kuku Upo Kama Wote. Hii Ndo Nyama Namba 2 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

1: PORK (Kitimoto)
Nyama Ya Kitimoto Ndio Namba Moja Mwa Nyama Zilizoliwa Sana Mwaka Huu. Asilimia 36% ya Nyama Zote Ni Kitimoto na Bado Inakuzwa. Hakuna Asiemla Huyu Mdudu. Hii Ndo Nyama Namba 1 Kwa Kuliwa Zaidi Duniani.

Source. WFP
Kwa wanyama wa pori umekosea sana kama hujamtaja NGIRI!
 
Back
Top Bottom