Ijue ‘ thamani ‘ ya ‘ PhD ‘ ya Ulaya ya Waziri Mwakyembe

Ijue ‘ thamani ‘ ya ‘ PhD ‘ ya Ulaya ya Waziri Mwakyembe

Mwakyembe anacho nishinda ni hadhi ya uwaziri, mshahara, kuvaa suti ila kichwani hanikuti hata nusu.

kama angekuwa na akili angesha jiuzuru pale alipo tolewa wizara ya maana na kutupwa huku kwenye michezo ambapo hajui A wala B
Usisahau kuwa alikuwa anakililia sana cheo cha PM wakati wa kashkash za aliyekuwa PM mh. Lowassa na lengo ilikuwa atumia hiyo kama stepping stone kuwania urais baada ya JK.
Mambo yangekuwa mazuri wakati huu angekuwa 'his excellency the President of URT.
 
Yaani kuna madokta na professor hapa tz hadi unajiuliza ..yawezekana ni rahisi sana kuwa na izo elimu

Aisee kwamba mtoto wa under 17 mzazi anamkopa [emoji23][emoji23][emoji23] rubbish..wakati pesa wangepewa baada ya kufuzu

Rubbish,rubbish
Guys are not serious, walahii...!
 
Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.​
​
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.​
​
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.​

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.

Huyu Mnyakyusa sijui kalogewa wapi!

Kawa wahovyo mno aisee!
 
Usisahau kuwa alikuwa anakililia sana cheo cha PM wakati wa kashkash za aliyekuwa PM mh. Lowassa na lengo ilikuwa atumia hiyo kama stepping stone kuwania urais baada ya JK.
Mambo yangekuwa mazuri wakati huu angekuwa 'his excellency the President of URT.

Angechaguliwa na Watanzania au na wana Mbeya Wenzake katika huo ' Urais ' wake aliokuwa akiutaka?
 
🤣🤣🤣 mbwembwe nyingiii - kama wakati anaisoma ile riport ya Richmond....

Nikiwa Primary nilijua mtu mwenye PHD anaweza kukuangalia tu na akajua kwmba unafikiri nini kichwani mwako sababu ni dokta kwa falsafa ya ubongo wa binadamu -- duh ama kweli kua uyaone ya dunia mwanangu ....(Nakumbuka maneno ya mwanangu kila mara alinisisitiza..)
 
Sijui huko mbeya lakini kwa nchi walikwishamshtukia kitambo mwanasheria huyu aliyebobea kwenye fani.
 
Nakumbuka Sir Alex Ferguson. .Man U walivyoingia mkataba na Chevrolet aliwaambia wachezaji wote under 20 wapewe magari yasiyo ya kifahari. . Wakati huo nikaona mzee mnoko tu.. Sasa ndio naelewa alichomaanisha
 
Yaani kuna madokta na professor hapa tz hadi unajiuliza ..yawezekana ni rahisi sana kuwa na izo elimu

Aisee kwamba mtoto wa under 17 mzazi anamkopa [emoji23][emoji23][emoji23] rubbish..wakati pesa wangepewa baada ya kufuzu

Rubbish,rubbish
tanzania ndio nchi pekee traffic 5 wanamuhudumia mtu 1 kila baada ya km 5. lkn daktari 1 anahudumia zaidi ya watu 200
 
Wenye taarifa nisaidieni tafadhali ....hivi kuna aliyekwisha wajibika kwa aibu ya vijana wetu kutolewa raund ya kwanza!?

Si kutoka Serikalini au TFF au hata katika Benchi zima la Ufundi na Wenzako ndiyo Kwanza sasa wanapanga safu zao ili waweze Kula vizuri ' Pesa ' za Rais Dkt. JPM huku wakimdanganya hapa na pale.
 
Kweli watanzania tumezoea kuvumilia ujinga!!

Mimi binafsi natamani sana kama siyo mno Tanzania ile Sheria ya Kununua Silaha unavyotaka kutoka Madukani ije kwani kuna uwezekano baadhi ya ' Upuuzi ' kama huu tungeshaumaliza Kitambo na Watanzania tungekuwa tunaishi kwa Kuheshimiana na siyo kwa Kuoneana Aibu hivi.

Na Mimi GENTAMYCINE ninavyojijua kuwa huwa silei na sipendagi Ujinga na Upumbavu huenda hadi hivi sasa ningekuwa ' nimeshawadondosha ' Watu wengi tu huku nikiwa kila mara namsaidia ' Israeli ' katika Jukumu lake la Kuwasindikiza Watu ( Wanadamu ) katika Makazi yao mapya na ya Milele.

Kuna mambo yanaudhi na yanakera kupita maelezo hapa Tanzania na hayavumiliki tena.
 
Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.​
​
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.​
​
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.​

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.
Mcheki Kainarugaba Msemakweli anakitabu chake anauza cha mafisadi wa Elimu kitabu kizima kimejaa makada wa ccm ndio wenye elimu feki ukanda Waafrica na vitongoji vyake Mtafute utaweza kujua mambo mengi kuhusu hizo PHD za makada wenzako.
 
Nakumbuka Sir Alex Ferguson. .Man U walivyoingia mkataba na Chevrolet aliwaambia wachezaji wote under 20 wapewe magari yasiyo ya kifahari. . Wakati huo nikaona mzee mnoko tu.. Sasa ndio naelewa alichomaanisha

Mzungu ni Mzungu tu Mkuu. Hizo sababu Tatu za ' Msomi ' wako Waziri Mwakyembe hata Mtoto mdogo wa Kizungu mwenye Umri wa Miaka Saba ( 7 ) hawezi kuzitoa. Nani anakijua Chuo Kikuu ambacho Waziri Mwakyembe aliipatia hiyo ' PhD ' yake jamani? Naomba nipatiwe Jina lake ili nianze Kukifuatilia hasa ' Kitaaluma ' kwani yawezekana kilikuwa ni Chuo Kikuu cha ' Kuzalisha ' Wasomi ( Wanataaluma ) wanaofanana na Akili za huyu Waziri.
 
Back
Top Bottom