Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Kwa kuwa wewe ni darasa la Saba unawezaje kuchambua degree za watu? Hayo ni maoni ya waziri ya kwako vipi?? Toa sababu zako za Serengeti boys kushindwa tulinganishe
Mkuu, alichoandika mleta mada kimetoka kwa Dr Mwakyembe kweli au anafurahisha genge tu?Agiza ' Gambe / Bia ' hapo ulipo nitakuja Kulipa Mkuu kwani umemaliza kila Kitu.
Kwa kuwa wewe ni darasa la Saba unawezaje kuchambua degree za watu? Hayo ni maoni ya waziri ya kwako vipi?? Toa sababu zako za Serengeti boys kushindwa tulinganishe
Mkuu, alichoandika mleta mada kimetoka kwa Dr Mwakyembe kweli au anafurahisha genge tu?
Niliyemuuliza namuamini mnoo. Ndiyo maana nikaachana na mleta mada.Kwani aliyeanzisha hiyo Mada / huo Uzi ni nani na hapa umemuandikia au umemuuliza nani? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
tanzania ndio nchi pekee traffic 5 wanamuhudumia mtu 1 kila baada ya km 5. lkn daktari 1 anahudumia zaidi ya watu 200
Taifa limejaa wajinga na matakataka kila konaAkizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.
Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.
Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.
Nawasilisha.
Usisahau kuwa alikuwa anakililia sana cheo cha PM wakati wa kashkash za aliyekuwa PM mh. Lowassa na lengo ilikuwa atumia hiyo kama stepping stone kuwania urais baada ya JK.
Mambo yangekuwa mazuri wakati huu angekuwa 'his excellency the President of URT.
ile ripoti nilipo sikia eddo hakuhojiwa na jamaa ndipo nilijua kulikuwa na mpango wa hovyo juu yake. mwakyembe hajawahi kuwa na uwezo anao dhaniwa anao rejea kukana andiko lake, kuwa na vyeti ndio ndoa hii ya leo ni mwendelezo wa utahira wake. wala hakuna ajbuUsisahau kuwa alikuwa anakililia sana cheo cha PM wakati wa kashkash za aliyekuwa PM mh. Lowassa na lengo ilikuwa atumia hiyo kama stepping stone kuwania urais baada ya JK.
Mambo yangekuwa mazuri wakati huu angekuwa 'his excellency the President of URT.