samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,476
- 24,262
Mzungu ni Mzungu tu Mkuu. Hizo sababu Tatu za ' Msomi ' wako Waziri Mwakyembe hata Mtoto mdogo wa Kizungu mwenye Umri wa Miaka Saba ( 7 ) hawezi kuzitoa. Nani anakijua Chuo Kikuu ambacho Waziri Mwakyembe aliipatia hiyo ' PhD ' yake jamani? Naomba nipatiwe Jina lake ili nianze Kukifuatilia hasa ' Kitaaluma ' kwani yawezekana kilikuwa ni Chuo Kikuu cha ' Kuzalisha ' Wasomi ( Wanataaluma ) wanaofanana na Akili za huyu Waziri.
Mkuu hapo umenena, kuna haja yakuvijua hivi vyuo ili twende tukavihoji vinawezaje kutoa PHD kwa watu wa namna hii ikiwezekana tupeleke maombe wamyan'ganye hiyo PHD na kutangaza kweney tovuti yao isitambulike popote duniani..