Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,650
- Thread starter
- #201
Ndugu, unauliza nini hasa? Wewe unaishi katika dhambi halafu niseme nini? Kwamba unaishi na mke asiye mke wako, halafu mpaka mmezaa, kwani ulikuwa huijui kweli? Kama hukujua basi sawa, lakini kama ulijua kwamba ni dhambi mbele za Mungu kuishi tu kama mke na mume wakati hamkuufuata sheria ya Bwana, basi chunguza moyo wako. Kama umedhamiria kufanya toba hayo ni yako mwenyewe. Kama unategemea nikuambie mfukuze huyo mwanamke, sio jukumu langu. Mimi naihubiri kweli iwekayo huru, mengine ni moyo wako kupondeka. Ukiwa serious tutajadili, lakini kwa sasa uliza maswali ya majaribu ili kutafuta kuhalalisha rehema ya Mungu.Ndio tunavunjaje Sasa hayo maagano? Nipo naishi namwanamke ambaye sijamuoa kwadini yoyote ile, sikumkuta bikra ila alikuwa katika hali nzurii bado.
Ila kwaupande wangu namuhitaji awe mke wangu, hata yeye pia anaonesha kunihitaji, istoshe tayar tunamtoto.
Sasa swali tunafanyaje ili kuhalalisha naili tuje tuishi kwaamani?