radika JF-Expert Member Jul 15, 2014 20,427 32,196 Jan 26, 2018 #1 Ijue nguvu ya BUKU Asubuhi..chai kikombe mia2,chapati mbili mia6 na maharage ya mia mbili mchuzi mwingiii... Tayari hapo paka jioni tena!??BIKO paka Ni bahatishe noma sana.
Ijue nguvu ya BUKU Asubuhi..chai kikombe mia2,chapati mbili mia6 na maharage ya mia mbili mchuzi mwingiii... Tayari hapo paka jioni tena!??BIKO paka Ni bahatishe noma sana.