santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 346
- 368
hahahhahahaha, ulitaka uhamie nnNikajua Brunei ya pale sinza
hahahhahahaha, ulitaka uhamie nnNikajua Brunei ya pale sinza
1. Nchi ya kiislam iko chini ya sultani, ukubwa km 5786sq ina watu 438,720 tu mpk Feb 2016
2. Free education, free health, ukioa tu unapewa na gari. Ni nchi mojawapo ambayo ina uwiwno mkubwa wa watu na magari (1:209)
3. Ukiwa Brunei marufuku kupoint kutumia kidole cha shahada kuonesha kitu. Kidole gumba ty hutumika kupoint kitu
4. Sultan Hassanal Bolkiah, ni wa 29 anamiliki magari zaid ya 5,000 ya kifahari;
20 Lamborghinis,
160 Porsches,
130 Rolls Royces,
360 Ferraris,
170 Jaguars,
180 BMWs,
360 Bentleys, and 530 Mercedes-Benzes.
5. 93% ya watu wote wameenda shule au wanasoma
9. Mwaka mzima ni joto ikiwa na relative humidity ya 93% na mvua ni ya kutosha
10. Per capital income ni usd~39,970
11. Lazima kuv
12. Brunei ni nchi ambayo watu hawalipi kodi yeyote-tax free country
13. Sultani wa sasa bi ukoo uliotawala kwa miaka 600
#kwa_hisani_ya_google & personal visit
Namba 7 haijakaa vizuri kabisa.Hiyo namba 7. haijakaa vizuri, ni kwa nn usitaje wanyama wengine maana wapo wengi!
Wana gasi na oil kama ile ya Mtwara reserve ambayo inawapa jeuri na kuishi watakavyoHujatueleza kuhusu economic backbone ya Brunei, wanajishughulisha na madanguro au? How do they earn their cash?
Hahahahah namba 7 imekaa vzr, hakuna mfugo wa noah huko ni fully islamic stateNamba 7 haijakaa vizuri kabisa.
Penye hela huwezi hisi jotoHiyo nchi safi sana, tatizo ni hiyo no9 tu basi.
Hili jukwaa jamani....Mkuu sasa wadudu wetu wale kimboka na Ohio watakuwepo kweli huko? Isije ikawa ukikamatwa tu na binti wanakuelekeza kibla