Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

1. Nchi ya kiislam iko chini ya sultani, ukubwa km 5786sq ina watu 438,720 tu mpk Feb 2016

2. Free education, free health, ukioa tu unapewa na gari. Ni nchi mojawapo ambayo ina uwiwno mkubwa wa watu na magari (1:209)

3. Ukiwa Brunei marufuku kupoint kutumia kidole cha shahada kuonesha kitu. Kidole gumba ty hutumika kupoint kitu

4. Sultan Hassanal Bolkiah, ni wa 29 anamiliki magari zaid ya 5,000 ya kifahari;
20 Lamborghinis,
160 Porsches,
130 Rolls Royces,
360 Ferraris,
170 Jaguars,
180 BMWs,
360 Bentleys, and 530 Mercedes-Benzes.

5. 93% ya watu wote wameenda shule au wanasoma

6. Marufuku kuuza au kununua au kunywa pombe hadharani

7. Hakuna nguruwe hata 1 nchi nzima

8. Nchi pekee iliyo northern & southern Hemisphere

9. Mwaka mzima ni joto ikiwa na relative humidity ya 93% na mvua ni ya kutosha

10. Per capital income ni usd~39,970

11. Lazima kuvua viatu unapoingia nyumba yeyote ndani ya Brunei

12. Brunei ni nchi ambayo watu hawalipi kodi yeyote-tax free country

13. Sultani wa sasa bi ukoo uliotawala kwa miaka 600

#kwa_hisani_ya_google & personal visit



nimeipenda 1,6,7,11 safi sana.
 
Niliwah kwenda mwaka 2006 ....baada ya ibada ya adhuhur tulipewa msos msikitin...nikauliza nikaambiwa ni kawaida ukibak masjid lazima upewa msos....tax ni free...hulipi unachotakiwa ni ku sagn kwenye kitabu chake dereva.....maisha mazur hilo joto lisikutishe kila mahal kunakiyoyoz had katika station za kusubir tren
 
Niliwah kwenda mwaka 2006 ....baada ya ibada ya adhuhur tulipewa msos msikitin...nikauliza nikaambiwa ni kawaida ukibak masjid lazima upewa msos....tax ni free...hulipi unachotakiwa ni ku sagn kwenye kitabu chake dereva.....maisha mazur hilo joto lisikutishe kila mahal kunakiyoyoz had katika station za kusubir tren
Safi sana, mkuu wewe afadhali umenisaidia kutoa ushuhuda
 
hakuna mbongo anaweza kuuishi nchi hii ,maana mambo yetu yote yamezuiwa huko tutaishi vp
 
Bila kupata Noah, ze laga, na biological need hakuna sababu ya kwenda, hivyo ndiyo vya maana kwangu.
 
Namba 6 ,7 na 9......wamefuruga ntajihisi jehanam nikiwa huko

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom