Ifahamu nchi ambayo haina maskini hata mmoja, wote ni matajiri

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,825
YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI

1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI

2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanamiliki magari ....wastani wa 1 kwa mtu 1.5

3) Sheria zake nyingi zinasimamia upande wa sheria za kiislamu.....asilimia 72 ya raia wake ni waislaamu

4) Mwaka 2014 ...Brunei ilipitisha sheria ya wapenzi wa jinsia kufungwa miaka 10 jela na mwaka 2019 ikapitisha kuwa adhabu nyengine inaweza kuwa kupigwa mawe hadi kufa

5) Nchi hii inaongozwa kisultani .....ambapo sultani ndie mwenye kauli ya mwisho.....sultan wa brunei ndio waziri mkuu, ndio waziri wa fedha na ndie waziri wa ulinzi

6) Raia wa Brunei anayeshinda kwenye mashindano ya Quran ya kimataifa hupewa BND 2000 ambazo ni sawa na Tsh milion 3 kila mwezi katika maisha yake yote

7) Sultan wa Brunei Hassan Bolkiah ana miliki magari elfu 5 kati ya hayo magari 20 ni lamborghini.

8) Raia wa Brunei wapata elimu bure na huduma ya afya bure na raia wake hawalipi kodi yoyote

9) Nchini Brunei si ruhusu kushikana mikono watu wa jinsia mbili tofauti

10) Ni makosa kuuza na kunywa pombe katuka maeneo ya wazi

11) Chura aina ya Belalong tree wanapatikana katika nchi ya brunei pekee

12) Asilimia 97 ya raia wa Brunei wamepiga kitabu

13) Uchumi wa Brunei umeegemea utajiri wa mafuta, gesi na makaa ya mawe

14) Lugha kubwa ni kimalaya japo kingereza na kichina kinatumika pia

15) Dini kubwa katika nchi ya brunei ni uislam...lakini pia kuna wakristo na wabudha

.16) Unapoingia nyumba yoyote ukiwa Brunei lazima uvue viatu nje

.17) Brunei ndio nchi yenye watu wanene katika meneo ya kusini mashariki mwa bara la asia.....asilimia 51 ya watoto wana unene uliopitiliza

18) Mchezaji tajiri zaidi duniani ni kapteni wa Brunei Faiq Bolkiah ana utajiri wa Dollar Bilioni 20 yaani uchukue utajiri wa Messi jumlisha utajiri wa Mo, jumlisha utajiri wa Ronaldo, jumlisha utajiri wa Dangote, Chukua utajri wa Jay z bado hawamfikii​

1711446789317.jpg
 
Although data on poverty in Brunei is limited, it is estimated that approximately five percent of the country's population lives in poverty. In fact, Brunei Darussalam ranks 11th out of 78 countries with regards to the percentage of its population living in poverty, with a reported rate of 43.7%
 
Although data on poverty in Brunei is limited, it is estimated that approximately five percent of the country's population lives in poverty. In fact, Brunei Darussalam ranks 11th out of 78 countries with regards to the percentage of its population living in poverty, with a reported rate of 43.7%
 
YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI

1)Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI

2)Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanamiliki magari ....wastani wa 1 kwa mtu 1.5

3) Sheria zake nyingi zinasimamia upande wa sheria za kiislamu.....asilimia 72 ya raia wake ni waislaamu

4) Mwaka 2014 ...Brunei ilipitisha sheria ya wapenzi wa jinsia kufungwa miaka 10 jela na mwaka 2019 ikapitisha kuwa adhabu nyengine inaweza kuwa kupigwa mawe hadi kufa

5) Nchi hii inaongozwa kisultani .....ambapo sultani ndie mwenye kauli ya mwisho.....sultan wa brunei ndio waziri mkuu, ndio waziri wa fedha na ndie waziri wa ulinzi

6) Raia wa Brunei anayeshinda kwenye mashindano ya Quran ya kimataifa hupewa BND 2000 ambazo ni sawa na Tsh milion 3 kila mwezi katika maisha yake yote

7) Sultan wa Brunei Hassan Bolkiah ana miliki magari elfu 5 kati ya hayo magari 20 ni lamborghini.

8) Raia wa Brunei wapata elimu bure na huduma ya afya bure na raia wake hawalipi kodi yoyote

9) Nchini Brunei si ruhusu kushikana mikono watu wa jinsia mbili tofauti

10) Ni makosa kuuza na kunywa pombe katuka maeneo ya wazi

11) Chura aina ya Belalong tree wanapatikana katika nchi ya brunei pekee

12) Asilimia 97 ya raia wa Brunei wamepiga kitabu

13) Uchumi wa Brunei umeegemea utajiri wa mafuta, gesi na makaa ya mawe

14) Lugha kubwa ni kimalaya japo kingereza na kichina kinatumika pia

15) Dini kubwa katika nchi ya brunei ni uislam...lakini pia kuna wakristo na wabudha

.16) Unapoingia nyumba yoyote ukiwa Brunei lazima uvue viatu nje

.17) Brunei ndio nchi yenye watu wanene katika meneo ya kusini mashariki mwa bara la asia.....asilimia 51 ya watoto wana unene uliopitiliza

18) Mchezaji tajiri zaidi duniani ni kapteni wa Brunei Faiq Bolkiah ana utajiri wa Dollar Bilioni 20 ......yaan uchukue utajiri wa messi jumlisha utajiri wa Mo ....jumlisha utajiri wa Ronaldo...jumlisha utajiri wa Dangote... Chukua utajri wa Jay z bado hawamfikiiView attachment 2945025View attachment 2945026
masikini wa nini
 
Ulivyotaja kuwa ni nchi ya kiislam nikaishia hapo maana itakuwa ni nchi masikini na fukara kuliko nchi zote Duniani ndo maana hata jina Lake Brunei halijulikani wala kutambulika na mtu yeyote!
 
Unaonekana mgeni wa mambo mengi.
Nenda hata google ka google most richest nations utakuta kuna BRUNEI IKIFUATIWA NA LUXEMBOURG.
Usikute hata Luxembourg yenyewe huijui.
Usiseme Brunei haijulikani Sema "mimi sina exposure".
World bank waiweke Brunei kwenye orodha moja na Luxembourg kiutajiri wewe ni nani useme haitambuliki??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom