Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

Watu wa half life,nuclear physics na harmful radiation mkuje kutoa muongozo ,apo juu cjaona at a walichoshauri
 
This time around we don't focus much kwenye mishahara but nachojua hii kozi ni nzuri Sana hata kwenye kujiajili.

Note: Bachelor yake imeanzisha na muhas pia mwaka huu.
Physics D
Math C
Bios B
Chemi C

Kwa hapo kuna uwezekano wa kupata Bugando kweli?
 
Salaam wakuu,
Naomba kuuliza Admision latter and documents za DDR MUHAS 2022/3 Nazipataje maana hizi tulizopewa kwenye Account hazipakuliki wala hazifunguki.

Naomba japo mwenye sample ya Mwaka jana nijarib kurelate mambo.

Msaada tafadhal.
 
Tumejaribu kupiga simu hazitumiki zingine ziko busy muda wote siku zote. email hazijibiwi, Siku zinasonga hizi zilizopo kwenye Account zingine ukifanikiwa kuzipakua basi utakuta ni empty page, Ni week ya pili sasa.

Nahitaj ufumbuzi wa hili jambo tu hata kwa ushauri kama ukikwama kama mimi.

Amani itawale.
 
Salaam wakuu,
Naomba kuuliza Admision latter and documents za DDR MUHAS 2022/3 Nazipataje maana hizi tulizopewa kwenye Account hazipakuliki wala hazifunguki.

Naomba japo mwenye sample ya Mwaka jana nijarib kurelate mambo.

Msaada tafadhal.
Usiwe na haraka, baada ya Muda zitapakulika tu.
Usiwe na haraka please.
 
Salaam wakuu,
Naomba kuuliza Admision latter and documents za DDR MUHAS 2022/3 Nazipataje maana hizi tulizopewa kwenye Account hazipakuliki wala hazifunguki.

Naomba japo mwenye sample ya Mwaka jana nijarib kurelate mambo.

Msaada tafadhal.
Relax mkuu zitapakulika tu au kama upo dar nenda hapo muhas watakusaidia mkuu.
 
Mkuu we umeshachaguliwa, usijitie pressure, baada ya Muda zitakuwepo, miaka yote Huwa iko hivo tu.
Relax, muhas is Yours and DDR is yours.
 
je inaitaji vigezo vip kujiunga na kozi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…