Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

ok ,hakika nimepata kitu ,shukrani sana bos kazi,ila sorry natoka nnje ya mada kidgo,katika ile extention ya kushare facebook je,inaweza kutumika kwa zaidi ya blog moja? yani unablog labda nne au tano hivi je unaweza ukazikonecti na hiyo extension?
HAINA SHIDA CHAMSINGI NI KUPOST KATIKA MAGROUP YANAYO ENDANA NA CONTECT HUSIKA TU.
 
Jamaa anataka kutusaidia kuhusu payments za google AdSense. Ss mijitu yenye roho mbaya mnakunywa bia then mnatupia kwenye huu Uzi ili muharibu, na wengine tunaotaka kujua, tusijue. Ndio Wa tz walivyo, roho mbaya kumpita hata shetani
umeambiwa uliza kitu, povu la nini
 
Nataka kujua ni mpk uwe na views wangapi kwenye YouTube, ndio AdSense wanaanza Ku calculate then wakulipe. Mi mgeni Wa haya mambo, ndio naanza anza
Nitajuaje kama video ina hatimiliki, maana naona zingine nikiziaangalia, hawaonyeshi kama ina hatimiliki
Mtu anakuwa claim kuwa video ni yake hata sipoweka copyright word in side video, lakini anakuwa tayari amesha claim YouTube kuwa ni yake na hata ukiipandisha video hio inakuambia copyright kwa mtu flani.
 
HAINA SHIDA CHAMSINGI NI KUPOST KATIKA MAGROUP YANAYO ENDANA NA CONTECT HUSIKA TU.
chief,ka vile hujajibu swali langu sijui,yani kwa mfano hiyo extension umeinstall kwenye ps tayari,so unaweza kuitumia kwa zaidi ya blog moja katika kushare au inakuaje kuaje hapo?
 
hapa adi kuja kupata adsense ni mpaka nifikie vigezo gani vingine muhim kabisa ambavyo lazima viwepo
 
mimi nina maswali machache
1.kwanini lugha ya kiswahili haijakubaliwa na adsense?lakini yapo matangazo yanaonekana kwa lugha ya kiswahili km. matangazo ya tigo,voda,kupatana n.k
2.mbona kuna blog za kiswahili zinaonyesha ads?kama kunatrick tusaidie hapa
Kiswahili sio Supported language toa zamani sana na watu walishatoa mapendekezo ya kuwa lugha inayotambulika na google Inc lakini google wakaipiga chini. Matangazo yanayotokea kwa kiswahili ni Advertise wana promote in swahili language hivyo google inapitisha matangazo hayo YouTube via YouTube Tz na kwenye website au blog wanazotumia lugha inayokubalika na google ambazo ziko Tz na East Africa. According to advertiser targeted location. Kama ame prefer tangazo lionekane tanzania basi Google Adsense watalipitisha Tanzania tu.
Kutumia trick ni kupitisha matangazo ya adsense in swahili site ni mbaya sana kwani utakuta na kufungiwa na pesa ulizo tengeneza kushikiliwa hata sikiwa dollar nyingi.
 
1]Hii inatokana na Advertiser kutumia keywoard za kingereza ili kufanya matangazo kuonekana katika sites za publisher hata hayo matangazo kama kupatana yapo kwenye server za citreo ambayoo yenyewe ndiyo inafanya huduma ya kuserve hayo matangazo kwenye site za publisher.Hivyo ikiwa advertiser wataacha kutumia keyword za kingereza na kutumia keyword za kiswahili matangazo yataonekana kwenye site zinazo tumia kiswahili kama tu keyword na GEO zinatua zime match

2]Ndiyo zipo lakini kuna uwezekano mkubwa wa account yako kufungiwa hivyo nisinge penda kuku shahuri ufanye hivyo...
ukiitaji weka code hizi kwenye sehemu ya kuweka CSS CODE google_language="en" na uweke pia chini ya HTML ya blog/website yako baada ya <head>

SIKUSHAURI KUFANYA HIVYO MAANA ITAPELEKEA ACCOUNT YAKO KUFUNGIWA.
Umeeleza vizuri, naomba nami niongeze kidogo kuhusu matangazo kutoonekana kwenye blogs za kiswahili, kuna expert wa Google aliulizwa hili akasema lugha ya lugha ya kiswahili bado haijawashawishi kuijumuisha kwenye program hii kutokana na uchache wa advertisers yaani hawajafika hata laki 1kwa siku so kwao ni hasara, alitoa mfano wa kihindi kuwa japo kinatumiwa na watu zaid ya billion 1 ila bado hawaja ki include kwasababu ya uchache wa advertisers. Hivyo hata advertisers wakitumia tags za kiswahili mfumo hautaruhusu kuonekana kwenye blog za kiswahili
NB: Zipo blog na site chache za kiswahili (zenye viewers wengi kama jf) wamepewa primium account na wanaruhusiwa ku display kwenye content ya kiswahili. Waliobaki hufanya ujanja ambao ikibainika hufungiwa.
Ahsante kwa uzi huu, nawasilisha.
 
NIKUSAHIHISHE KIDOGO.......Hakuna kitu kinaitwa premium account Kwa adsense

JF hawa tumii Adsense Mkuu.........Wanatumia Kitu kinaitwa bidding ads slot kutoka Kampuni Mwenza ya Google inayoitwa doubleclick for publisher[Hata mimi naitumia katika website yangu mama]......Nisinge penda kuelezea sana mchakato wa doubleclick inavyo fanya kazi maana ni mada ndefu kidogo na ipo nje ya uzi huu........Ila ukihitaji maelezo yake usisite kuja PM.
 
NIKUSAHIHISHE KIDOGO.......Hakuna kitu kinaitwa premium account Kwa adsense

JF hawa tumii Adsense Mkuu.........Wanatumia Kitu kinaitwa bidding ads slot kutoka Kampuni Mwanza ya Google inayoitwa doubleclick for publisher[Hata mimi naitumia katika website yangu mama]......Nisinge penda kuelezea sana mchakato wa doubleclick inavyo fanya kazi maana ni mada ndefu kidogo........Ila ukihitaji maelezo yake usisite kuja PM.
Nimeshakuja pm mkuu
 
Mkuu umekosea/si kweli!!!.. kwenye adsense kuna premium publishers na kigezo kikubwa uwe na viewers kuanzia millions ishirini(20milions) kwa mwezi au maneno ya blog/site yako yawe yametafutwa kupitia google mara million 5 kwa mwezi{back years ilikua hivyo}, traffic yako iwe inatokea google kwa percentage kubwa ie uwe na search queries kubwa za google.. na na uwe na quality contents, website. Unatuma maombi ..
faida zake ni..
1. unaweza kutumia lugha yoyote.
2. unaweza kuweka mtangazo yake kwenye blog/website yoyote hata kama ilishakua bunned na adsense..
3. Ni ngumu kufungiwa.
4. Unapewa support kubwa na google adsense kwa ukaribu kupitia link maalum..

>>NOTE<<<
nina rafiki zangu nje ya nchi wana premium account ...
Hii ni reference kutoka google adsense kama unahitaji publisher account
"Google has a premium Adsense service exclusively for websites who receive more than 5 million search queries, or 20 million content page views per month."

But it's based on more than just pageviews and visitors - it's based on things like the quality of your website, and the quality of your content, among other things. The program is basically by invitation.
 
Hizi ni miongoni mwa vigezo kwa wanaohitaji premium account za google adsense,,,
Tips to get Premium Google Adsense Approval

What is Premium Adsense Account?
Premium Adsense account is a special Adsense account which is meant for websites/blogs with
huge traffic.

Eligibity for a blog to get Premium Adsense
Minimum eligibility to get premium Adsense account is “He should have a Normal Adsense Account”.
There are many other requirements but Google has not mentioned them clearly.Here i am giving
rough estimation of stats for a blog to get premium adsense approval.
1.Must have atleast 20 Million page Views per month.
2.Should get huge traffic from Search Engines like Google and Bing.
3.You website should get 5
Million search queries from search Engines.
4.Update you blog with high quality content regularly.
5.Blog should have top level domain (TLD) extensions like .org,.com or .net.
6. Blog should have brand name and reputation on the web.
 
Ila mpaka uweze kufikia kiwango cha kulipwa ni lazima uwe na total views isiyo pungua 100,000 walioona matangazo katika video/videos zako.

TUPIGE HESABU KIDOGO

Adsense in Youtube wanalipa kwa mfumo wa impression......yani [CPM] IDADI YA WATU 1000 WATAKAO ONAA TANGAZO
WANALIPA DOLLAR 0.5 HADI 1 KWA IMPRESSION YA WATU 1000 WALIOONA TANGAZO,HIVYO SASA TUFANYE UMEPATA VIEWS 100,000 WALIOONA TANGAZO NA TUFANYE CPM YAKO IPO FIXED KWA DOLLAR 1

1000=1 USD
100,000=100 USD
100USD= 442,000 TSH
[KUMBUKA 100 USD NDIYO KIWANGO CHAKWANZA ILI UWEZE KUWANZA KUOMBA PESA YAKO ADSENSE]
Mmmh Usd 100 = sana na 400000!?
 
Malipo hayo ni siku, wiki,mwezi au mwaka?
 
CPM zinatofautiana kwa Nchi na Nchi Hupanda na kushuka,
Screenshot_2017-12-25-13-30-17.png
 
Hizi ni miongoni mwa vigezo kwa wanaohitaji premium account za google adsense,,,
Tips to get Premium Google Adsense Approval

What is Premium Adsense Account?
Premium Adsense account is a special Adsense account which is meant for websites/blogs with
huge traffic.

Eligibity for a blog to get Premium Adsense
Minimum eligibility to get premium Adsense account is “He should have a Normal Adsense Account”.
There are many other requirements but Google has not mentioned them clearly.Here i am giving
rough estimation of stats for a blog to get premium adsense approval.
1.Must have atleast 20 Million page Views per month.
2.Should get huge traffic from Search Engines like Google and Bing.
3.You website should get 5
Million search queries from search Engines.
4.Update you blog with high quality content regularly.
5.Blog should have top level domain (TLD) extensions like .org,.com or .net.
6. Blog should have brand name and reputation on the web.

NILIVYO SEMA GOOGLE AD SENSE HAWANA PREMIUM ACCOUNT NILIKUWA NINA MAANINISHA NINACHO SEMA.......HII NDIO SABABU.......

Mwaka juzi nashukuru mungu niliweza kuwa moja kati ya blogger/Publisher walio tembelea semina za Google nchini Ethiopia .....niliweza kukutana na blogger wengi wa hapa Africa.......Nili pata muuliza muwakilishi wa Google Adsense kuhusu Kuwepo kwa special treatment au Account special za Adsense kwa site zinazofanya vizuri na kujulikana katika industry...............HILI NDILO LILI KUWA JIBU LAKE...

''There is nothing like Adsense premium Account, we deal all publishers as premium publishers, every publisher is valuable for us and we deal everyone the same way.''

  • Big Publishers can use sticky ad as their fourth ad unit, it is available for small publishers too but widely used by big publishers after confirmation from Google.
  • Big publishers are safe from click bombing.
  • Google representative helps big publishers to optimize Ads for their sites
  • Yes, CPC is somehow good for big publishers as high-quality ads are mostly served from authentic sites.
  • Some other products like Adsense videos Ads, Matched content and Adsense Custom search ads are only available to big publishers only.

NDO MAANA NASEMA HAKUNA PREMIUM ACCOUNT KATIKA TARATIBU ZA UWENDESHAJI WA ADSENSE
 
Back
Top Bottom