Joram Dymisster
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 502
- 430
- Thread starter
- #121
Nilazima uingie makubaliano na KAMPUNI husika....Alafu mkuu vip kupata matangazo ya kambun kama voda kwenye youtube apart from adsence
Nilazima uingie makubaliano na KAMPUNI husika....Alafu mkuu vip kupata matangazo ya kambun kama voda kwenye youtube apart from adsence
Ngoja nitajaribu mkuuCha kukumbuka ni lazima wakati una upload file la template liwe katika format ya .xml
Nilazima uingie makubaliano na KAMPUNI husika....
Okeee ahsanteNilazima uingie makubaliano na KAMPUNI husika....
Poa nakujaNAZANI ITAKUWA VYEMA KAMA UTAKUJA PM KWA SABABU MASWALI MENGI YAPO NJE YA UZI HUU..............
Hapana mkuu walikudanganya/si kweli... Anyways.. Ngoja tuendelee kupiga dollars..NILIVYO SEMA GOOGLE AD SENSE HAWANA PREMIUM ACCOUNT NILIKUWA NINA MAANINISHA NINACHO SEMA.......HII NDIO SABABU.......
Mwaka juzi nashukuru mungu niliweza kuwa moja kati ya blogger/Publisher walio tembelea semina za Google nchini Ethiopia .....niliweza kukutana na blogger wengi wa hapa Africa.......Nili pata muuliza muwakilishi wa Google Adsense kuhusu Kuwepo kwa special treatment au Account special za Adsense kwa site zinazofanya vizuri na kujulikana katika industry...............HILI NDILO LILI KUWA JIBU LAKE...
''There is nothing like Adsense premium Account, we deal all publishers as premium publishers, every publisher is valuable for us and we deal everyone the same way.''
- Big Publishers can use sticky ad as their fourth ad unit, it is available for small publishers too but widely used by big publishers after confirmation from Google.
- Big publishers are safe from click bombing.
- Google representative helps big publishers to optimize Ads for their sites
- Yes, CPC is somehow good for big publishers as high-quality ads are mostly served from authentic sites.
- Some other products like Adsense videos Ads, Matched content and Adsense Custom search ads are only available to big publishers only.
NDO MAANA NASEMA HAKUNA PREMIUM ACCOUNT KATIKA TARATIBU ZA UWENDESHAJI WA ADSENSE
Hiyo ya kwanza haina matangazo mengi ila hizo mbili kuzipata mpaka uwe na undugu nao hamna kitu hapo bora adsenseNasikitika kukwambia kwamba nivyema mkaachana na Adsense.Bado kuna ads network ambazo waweza jaribu jiunga nazo na kuweza kujitengenezea kipato
1]seebait [hii ni ya hapahapa tanzania]
2]pinpontafrica [ipo hapahapa TZ]
3]KWANZA [hapahapa TZ]
hizo ni zahapa TZ ukiitaji list zaidi usisite kuniambia
[HASHTAG]#mod[/HASHTAG] [HASHTAG]#mod 2[/HASHTAG] [HASHTAG]#mod 4[/HASHTAG]![]()
Ongeza muda wa maongezi kwa ku 'scan' vocha. Inapatikana Google play store Vocha Master – Applications Android sur Google Play
Malipo yake ni mazuri? Au ndo donoa donoaNasikitika kukwambia kwamba nivyema mkaachana na Adsense.Bado kuna ads network ambazo waweza jaribu jiunga nazo na kuweza kujitengenezea kipato
1]seebait [hii ni ya hapahapa tanzania]
2]pinpontafrica [ipo hapahapa TZ]
3]KWANZA [hapahapa TZ]
hizo ni zahapa TZ ukiitaji list zaidi usisite kuniambia
hapo kuna makosa kidogo. Japo policy kwa sasa zimebadilishwa. Kwa Youtube ilikua ukifika views 10,000 hata ndani ya wiki unaanzA kupewa matangazo. ila kwa sasa ni mpaka uvikishe total view time ya masaa 4000 na subscibers 1000 ndani ya miezi 12 la sivo account inakua dis abled.10,000 views na 100 subscribers
Kama sijakosea
![]()
Ni kweli mkuu wamechange hivi karibunihapo kuna makosa kidogo. Japo policy kwa sasa zimebadilishwa. Kwa Youtube ilikua ukifika views 10,000 hata ndani ya wiki unaanzA kupewa matangazo. ila kwa sasa ni mpaka uvikishe total view time ya masaa 4000 na subscibers 1000 ndani ya miezi 12 la sivo account inakua dis abled.
Hamna makosa hapo ila kuna mabadiliko tu ambayo yataanza february 2018 ungeangalia pia mimi nimereply lini kabla ya kusema nimekoseahapo kuna makosa kidogo. Japo policy kwa sasa zimebadilishwa. Kwa Youtube ilikua ukifika views 10,000 hata ndani ya wiki unaanzA kupewa matangazo. ila kwa sasa ni mpaka uvikishe total view time ya masaa 4000 na subscibers 1000 ndani ya miezi 12 la sivo account inakua dis abled.
Pin zinatumwa kwenye P O BOX yako utakapofikisha $10Wakuu naombeni msaada, baada ya kuomba Pin mara 3 na kushindwa sasa natakiwa nitume ID niliyopewa na Govenment, Najua kadi ya mpiga kura ni ya serikali lakini je itakubaliwa?
naambiwa insufficient content na invalid trafic napo jarbu kuwa approved na gugo adsense