HAPO INAHITAJIKA KAZI KUBWA SANA NA ISIYO KWISHA .
kwanza kabisha register website yako na googlemaster tool,na utengeneze XML sitemap kwa ajili ya google kuanza ku crwal site yako.
Design ya website yako pia ina matter......design nzuri ni rahisi kws google ku crawl
Wapaswa uwena good Backlink kutoka katika website zinazo updatiwa mara kwa mara
Uwe na contect ambazo huja copy kokote na zenye maneno yasiyo pungua 2000
NINGEPENDA UJE PM ILI TUWEZE ENDELEA ZAIDI MAANA NAONA KUNAMENGI NINAYO PASWA KUYAJIBU KUHUS UZI HUU ULIYOPO HAPA KWA SASA.
Asante