Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
502
Reaction score
430
Google-Adsense.png

Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu Google Adsense nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.

*******************************UPDATES**********************************

WAKUU NIKO KWENYE MATAYARISHO YA UZI MWINGINE AMBAO UTAWEZA KUWA MSAADA KWA BLOGGERS WENZANGU KUKIWEMO NA BONUS YA KUCLONE FULL FUNCTION APP KWA AJILI YA BLOG YAKO BUREE KABISA.

MAMBO YATAYO GUSIWA;
1)KUINGIZA PESA NA BLOG/WEBSITE ISIYOKUWA NA POST HATA MOJA
2)KUINGIZA PESA KWENYE BLOG KWA KUTUMIA WHATSAPP TYU
3)KU EDIT NA KUDESIGN SCRIPT NZIMA YA BLOG HUSIKA
N.K

MAHITAJI;
1)WHATSAPP GROUPS 15-30 (NI VYEAMA KUWA NA GB WHATSAP)
2)SIMU YENYE RAM GB 2 NA KUENDELEA
3)KUJUA HTML ANGALAU KWA ASILIMIA 30

OFFER;
1)KUTENGENEZEWA FULL FUNCTION APP CLONE YA BLOG YAKO BURE NDANI YA DAK 10.(KWA WENYE BLOG AMBAZO ZIPO KAMILI NA ZITAKIZI VIGEZO)

LINK YA UZI HUWO MPYA NITAWEKA HIVI KARIBUNI

USISAHAU KU LIKE UZI HUU.
 
Google-Adsense.png

Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu Google Adsense nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.
Nataka kujua ni mpk uwe na views wangapi kwenye YouTube, ndio AdSense wanaanza Ku calculate then wakulipe. Mi mgeni Wa haya mambo, ndio naanza anza
 
mimi nina maswali machache
1.kwanini lugha ya kiswahili haijakubaliwa na adsense?lakini yapo matangazo yanaonekana kwa lugha ya kiswahili km. matangazo ya tigo,voda,kupatana n.k
2.mbona kuna blog za kiswahili zinaonyesha ads?kama kunatrick tusaidie hapa
 
Ndio nini hicho tuanzie hapo
Adsense ndo nini?
ngoja nimsaide kidogo google adsense hiyo ni kampuni tanzu ya google inayofanya kazi ya kuwalipa bloggers, wamiliki wa websites na forums kwa kuweka matangazo kwenye website,blog au forum yako mfano hapa jf matangazo unayoyaona yamewekwa na hawa adsense japo kuna kampuni nyingine zinazofanya kazi hiyo lakini adsense ndio inayolipa vizuri zaidi.
na blogger hulipwa pale mtu anapogusa ile picha ya tangazo na link kufunguka
 
mimi nina maswali machache
1.kwanini lugha ya kiswahili haijakubaliwa na adsense?lakini yapo matangazo yanaonekana kwa lugha ya kiswahili km. matangazo ya tigo,voda,kupatana n.k
2.mbona kuna blog za kiswahili zinaonyesha ads?kama kunatrick tusaidie hapa

1]Hii inatokana na Advertiser kutumia keywoard za kingereza ili kufanya matangazo kuonekana katika sites za publisher hata hayo matangazo kama kupatana yapo kwenye server za citreo ambayoo yenyewe ndiyo inafanya huduma ya kuserve hayo matangazo kwenye site za publisher.Hivyo ikiwa advertiser wataacha kutumia keyword za kingereza na kutumia keyword za kiswahili matangazo yataonekana kwenye site zinazo tumia kiswahili kama tu keyword na GEO zinatua zime match

2]Ndiyo zipo lakini kuna uwezekano mkubwa wa account yako kufungiwa hivyo nisinge penda kuku shahuri ufanye hivyo...
ukiitaji weka code hizi kwenye sehemu ya kuweka CSS CODE google_language="en" na uweke pia chini ya HTML ya blog/website yako baada ya <head>

SIKUSHAURI KUFANYA HIVYO MAANA ITAPELEKEA ACCOUNT YAKO KUFUNGIWA.
 
Nataka kujua ni mpk uwe na views wangapi kwenye YouTube, ndio AdSense wanaanza Ku calculate then wakulipe. Mi mgeni Wa haya mambo, ndio naanza anza
Kwa upande wa youtube,adsense huwa wanaanza kukupigia mahesabu ya malipo yako kwa kila muda tangazo litapo kuwa likionyeshwa kwenyew video yako.Hata kama una views 30 kama waliona tangazo ni 10 wata kuonyesha kiasi unachotarajiwa kulipwa.
 
1]Hii inatokana na Advertiser kutumia keywoard za kingereza ili kufanya matangazo kuonekana katika sites za publisher hata hayo matangazo kama kupatana yapo kwenye server za citreo ambayoo yenyewe ndiyo inafanya huduma ya kuserve hayo matangazo kwenye site za publisher.Hivyo ikiwa advertiser wataacha kutumia keyword za kingereza na kutumia keyword za kiswahili matangazo yataonekana kwenye site zinazo tumia kiswahili kama tu keyword na GEO zinatua zime match

2]Ndiyo zipo lakini kuna uwezekano mkubwa wa account yako kufungiwa hivyo nisinge penda kuku sahuri ufanye hivyo...
ukiitaji weka code hizi kwenye sehemu ya kuweka CSS CODE google_language="en" na uweke pia chini ya HTML ya blog/website yako baada ya <head>

SIKUSHAURI KUFANYA HIVYO MAANA ITAPELEKEA KWA ACCOUNT YAKO KUFUNGIWA.
asante kwa majibu mazuri sasa unashauri tufanyaje kwa sisi mablogger wa kiswahili kumonetize blog zetu
 
Nataka kujua ni mpk uwe na views wangapi kwenye YouTube, ndio AdSense wanaanza Ku calculate then wakulipe. Mi mgeni Wa haya mambo, ndio naanza anza
Ila mpaka uweze kufikia kiwango cha kulipwa ni lazima uwe na total views isiyo pungua 100,000 walioona matangazo katika video/videos zako.

TUPIGE HESABU KIDOGO

Adsense in Youtube wanalipa kwa mfumo wa impression......yani [CPM] IDADI YA WATU 1000 WATAKAO ONAA TANGAZO
WANALIPA DOLLAR 0.5 HADI 1 KWA IMPRESSION YA WATU 1000 KUTOKA TZ WALIOONA TANGAZO,HIVYO SASA TUFANYE UMEPATA VIEWS 100,000 WALIOONA TANGAZO NA TUFANYE CPM YAKO IPO FIXED KWA DOLLAR 1

1000=1 USD
100,000=100 USD
100USD= 224,300 TSH
[KUMBUKA 100 USD NDIYO KIWANGO CHAKWANZA ILI UWEZE KUWANZA KUOMBA PESA YAKO ADSENSE]
 
asante kwa majibu mazuri sasa unashauri tufanyaje kwa sisi mablogger wa kiswahili kumonetize blog zetu
Nasikitika kukwambia kwamba nivyema mkaachana na Adsense.Bado kuna ads network ambazo waweza jaribu jiunga nazo na kuweza kujitengenezea kipato

1]seebait [hii ni ya hapahapa tanzania]
2]pinpontafrica [ipo hapahapa TZ]
3]KWANZA [hapahapa TZ]
hizo ni zahapa TZ ukiitaji list zaidi usisite kuniambia
 
Ila mpaka uweze kufikia kiwango cha kulipwa ni lazima uwe na total views isiyo pungua 100,000 walioona matangazo katika video/videos zako.

TUPIGE HESABU KIDOGO

Adsense in Youtube wanalipa kwa mfumo wa impression......yani [CPM] IDADI YA WATU 1000 WATAKAO ONAA TANGAZO
WANALIPA DOLLAR 0.5 HADI 1 KWA IMPRESSION YA WATU 1000 WALIOONA TANGAZO,HIVYO SASA TUFANYE UMEPATA VIEWS 100,000 WALIOONA TANGAZO NA TUFANYE CPM YAKO IPO FIXED KWA DOLLAR 1

1000=1 USD
100,000=100 USD
100USD= 442,000 TSH
[KUMBUKA 100 USD NDIYO KIWANGO CHAKWANZA ILI UWEZE KUWANZA KUOMBA PESA YAKO ADSENSE]
Hivi mtu unaweza kuchukua video ya mtu mwingine na ukaiweka kwako, Je! Utalipwa? Mfano script zisizozidi dk 5
 
Waweza chukuwa video za watu wengine na kuweka kwenye channel yako ila hutoweza kulipwa kama hiyo video itakuwa na hati miliki.Youtube watakuutaarifu kwamba hawawezi onyesha matangazo ya kulipia kwakuwa wewe si mmiliki na ukieendelea kuweka video zenye hati miliki na kutaka kuziwekea matangazo ya adsense ,account [channel]yako ya youtube itafungwa na kufutwa.
 
adsense hiyo ni kampuni tanzu ya google inayofanya kazi ya kuwalipa bloggers, wamiliki wa websites na forums kwa kuweka matangazo kwenye website,blog au forum yako mfano hapa jf matangazo unayoyaona yamewekwa na hawa adsense japo kuna kampuni nyingine zinazofanya kazi hiyo lakini adsense ndio inayolipa vizuri zaidi.
na blogger hulipwa pale mtu anapogusa ile picha ya tangazo na link kufunguka [IMEANDIKWA NA]white hat
Adsense ndo nini?
 
Waweza chukuwa video za watu wengine na kuweka kwenye channel yako ila hutoweza kulipwa kama hiyo video itakuwa na hati miliki.Youtube watakuutaarifu kwamba hawawezi onyesha matangazo ya kulipia kwakuwa wewe si mmiliki na ukieendelea kuweka video zenye hati miliki na kutaka kuziwekea matangazo ya adsense ,account [channel]yako ya youtube itafungwa na kufutwa.
Nitajuaje kama video ina hatimiliki, maana naona zingine nikiziaangalia, hawaonyeshi kama ina hatimiliki
 
Ni kweli ni vigumu kujua kama video ina hati miliki ila chakutambua ni kwamba kama hiyo video imefanyiwa production na kampuni yoyote maharufu au inamuhusu mtu maarufu,Ni kipande cha copy and past kutoka katika video nyingine maarufu au ya kampuni husika au ni official released Lazima itakuwa na Hatimiliki
 
mimi nina maswali machache
1.kwanini lugha ya kiswahili haijakubaliwa na adsense?lakini yapo matangazo yanaonekana kwa lugha ya kiswahili km. matangazo ya tigo,voda,kupatana n.k
2.mbona kuna blog za kiswahili zinaonyesha ads?kama kunatrick tusaidie hapa
Sante kwa kunisaidia.[ Swali la nyongeza]
MBONA KUNA BAADHI YA BLOG ZA KISWAHILI ZINA MATANGAZO WANAPATA WAPI? AU NI KAMPUNI NYINGI?
 
Back
Top Bottom