Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

YANI KUHUSU SWALA LA GOOGLE ADSENSE KAMA UTAANZA KIPINDI HIKI KIUKWELI KABISA UTAKIONA NI KIGUMU KWA AJILI YA MASHARTI YAO MAGUMU WALIYOWEKA NA PIA KUPATA VIEWS NI NGUMU SANA UNASEMA WHATSAPP GROUPS ILA TRAFFIC YAKE NI NDOGO SANA NA PIA HAIBADILIKI KUNA URAHISI WA KUWEKA AKAUNTI YAKO HATARINI MAANA GOOGLE WANATAKA MCHANGANYIKO WA VIEWS NA SIO WATU WA AINA MOJA KUINGIA.
KIPINDI KILISHAANZA NA WATU WALISHA APPLY STRATEGY NA WANAPATA PESA YA KIASI UKILINGANISHA NA HAPO AWALI............SEMA BAHATI MBAYA SANA HII NJIA NI KWA WALE WENYE ACCOOUNT AMBAZO ZINA POLICY YA ZAMANI.
 
ngoja nimsaide kidogo google adsense hiyo ni kampuni tanzu ya google inayofanya kazi ya kuwalipa bloggers, wamiliki wa websites na forums kwa kuweka matangazo kwenye website,blog au forum yako mfano hapa jf matangazo unayoyaona yamewekwa na hawa adsense japo kuna kampuni nyingine zinazofanya kazi hiyo lakini adsense ndio inayolipa vizuri zaidi.
na blogger hulipwa pale mtu anapogusa ile picha ya tangazo na link kufunguka
Kwa iyo YouTube channels ikiwa na watu 100. Views 1000. Wanakulipaje? Tujuze au wanalipaje kwa kila matukio yanayoangaliwa kwa YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom