Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Sante kwa kunisaidia.[ Swali la nyongeza]
MBONA KUNA BAADHI YA BLOG ZA KISWAHILI ZINA MATANGAZO WANAPATA WAPI? AU NI KAMPUNI NYINGI?

Kuna ad network nyingine kwa mfano hapa JF wao ukiangalia wanatumia [Kampuni kutoka ujerumani 'NIMELIANDIKA JINA LAKE ILA HALIONEKANI NIKITUMA REPLAY SORRY FOR THAT] na Google doubleclick ya kampuni ya google.Hivyo blog na website zingine za kiswahili hazitumii adsense kwa asilimia 90 wanatumia kampuni zingine kutangaza kwenye blog zao.
 
Nasikitika kukwambia kwamba nivyema mkaachana na Adsense.Bado kuna ads network ambazo waweza jaribu jiunga nazo na kuweza kujitengenezea kipato

1]seebait [hii ni ya hapahapa tanzania]
2]pinpontafrica [ipo hapahapa TZ]
3]KWANZA [hapahapa TZ]
hizo ni zahapa TZ ukiitaji list zaidi usisite kuniambia
Naomba ufafanuz kuhusu hizi za hapa tz, sera zao ni kama Adsense au tofaut
 
Sante kwa kunisaidia.[ Swali la nyongeza]
MBONA KUNA BAADHI YA BLOG ZA KISWAHILI ZINA MATANGAZO WANAPATA WAPI? AU NI KAMPUNI NYINGI?
Kuna trick wanatumia japo sio safe sana maana adsense wakigundua ban nje nje hata kama una $ 1000 unakula ban na mpunga wako haupati
unaweza kupitia post #16 & #21 hapo juu joram kaelezea vizuri tu.
 
Naomba ufafanuz kuhusu hizi za hapa tz, sera zao ni kama Adsense au tofaut

NINGEPENDA KUANDAA UZI SIKU MOJA ILI NIWEZE KUZIELEZEA HIZI ADS NETWORK TULIZONAZO HAPA TZ ILA NITAELEZA KWA UFUPI TU KWA SASA.

seebait
kujiunga ni rahisi sana kujiunga nao,wana lipa kwa mfumo wa CPM hawaangalii idadi ya views wako,unaweka code kama za google adsense ila zao ziko kwenye javascript format,wanazo ads format za kutosha

MAPUNGUFU YAO
poor support [huduma kwa wateja si rafiki]
website huchukua muda sanaa kukubaliwa bila sababu za msingi
huchelewesha malipo

pinpontafrica
Wana support [HUDUMA KWA WATEJA] nzuri sana,wanalipa kwa mfumo wa CPM na CPC,

MAPUNGUFU YAO
Nilazima utume maombi kwa kuwatumia email au kuwapigia simu
ni ngumu kujiunga kama unapata pageviews chini ya 50,000 kwa mwezi
hawana relevant ads
hawana ads format za kutosha

NEWS; MWAKA 2019 Wanatarajia kuanzisha mfumo wa kujiunga kwa kutengeneza account ya publisher kweny website yao

KWANZA
wana lipa kwa mfumo wa CPM ,unaweka code kama za google adsense ila zao ziko kwenye javascript format

MAPUNGUFU YAO
hawana huduma nzuri kwa wateja

Nimeelezea juju sana ila natumaini utakuwa umepata kitu
 
Asante sana kwa ujitoaji wako mkuu.
SHUKRANI SANA
 
ads.PNG
Google-Adsense.png

Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu Google Adsense nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.
upload_2017-12-26_9-52-28.png
mkuu ningependa unifahamishe hayo matango niliyozungushia duara unawekaje
 
ads.PNG

View attachment 659743mkuu ningependa unifahamishe hayo matango niliyozungushia duara unawekaje
Hipo hivi Mkuu,Ukiingia kwenye account yako ya adsense,ingia kwenye ad unit na ubonyeze new ad unit baada ya hapo chagua in text and display halafu utapelekwa kwenye ad size utakuta pamewekwa recommend bonyeza hapo na uchague link ads.
 
kutakuwa na sehem ya kuandika maneno unayoyataka au na haina madhara?
 
labda kufungiwa kwenye upande wa maneno adsense inaweka yenyewe hata ya kiswahili maana kuna blogs zingine huwa naonaga kuna maneno ya kiswahili mkuu
 
Huwezi kufungiwa kwa kutumia Link ads,Nikweli zipo website/blog ambazo link ads huwa kwa maneno ya kiswahili ila huwa ni adsense ndiyo wanafanya auto generate ya maneno hayo kulingana na content zilizopo kwenye website/blog yako.
 
okey ntajaribu na mm ithnk itakuwa inasaidia kuongeza reveneu...na vp kuhusu issue ya SEO maana fb kila siku wanafungia acc zangu
 
Na sijaelewa kwa nini umeongelea SEO pamoja na FB kwa wakati mmoja.......Jaribu kunielezea ili nikuelewe Mkuu
 
Back
Top Bottom