Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Nataka kujua ni mpk uwe na views wangapi kwenye YouTube, ndio AdSense wanaanza Ku calculate then wakulipe. Mi mgeni Wa haya mambo, ndio naanza anza
Kuanzia views elfu kumi na kuemdelea na subscriber zaid umya 100
 
CPM zinatofautiana kwa Nchi na Nchi Hupanda na kushuka, View attachment 661158

UNAONA NILICHO SEMA HAPA KWANZA

upload_2017-12-27_22-42-51.png


NI VYEMA UKASOMA NILICHO ANDIKA KABLA HUJA COMMENT
 
Basi usingeweka Garantee kuwa kwa View 1000 unapata Usd 1!
Wengine wanapata hadi 6 Usd per one Click, na sio 1000!
MKUU UNAELEWA NINI MTU AKISEMA ''TUFANYE CPM YAKO IKO FIXED KWA 1 USD''............?? NI GARANTEE AU ASSUMING

upload_2017-12-27_22-42-51-png.661178
 
Rafiki yangu sasa kama unaona hapo mwenyewe kuwa 1usd = 2243 TSH itakuwaje 100usd ikawa 400000 Tsh!!

NIMESHA BADILI KWENYE ORIGNAL POST.........SORRY MY BAD JUU YA HILO NITAJITAHIDI KUPUNGUZA MAKOSA WAKATI WA UWANDISHI...........NI 224,300 Tsh............
 
Alafu mkuu vip kupata matangazo ya kambun kama voda kwenye youtube apart from adsence
 
Back
Top Bottom