Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

USIJALI ZIPO ZINAZO FANYA KAZI VIZURI TU WAWEZA JARIBU KUANZA NAHI
Toolkit For Facebook

kwa maelezo zaidi ni vyema ukani PM maana mada hii ipo nje ya uzi huu
ok mkuu.. blogger wengi hua wanakua blocked na fb kutokana na kupost sana au kupost upupu(picha zisizo na maadili).. swali je.. hizo extension zinaweza kusaidiwa usiwe blocked hata kama unapost upupu(utupu)
 
Hapana kwasababu post yako itakuwa live na itaonekana na auto system kama kawaida hivyo kama ina picha zisizo na maadili itafutwa na uta blockiwa tyu.
 
sawa mkuu naona hiyo exrension uliyoweka inahitaji keys ili kutumia premium version je una crack yake ua unatumia hii ya free yenye kusapport vitu vichache..
 
Nime nunua premium........ila waweza tumia hiyo yenye vitu vichache kwa kuanza.
 
ok sawa mkuu... hii nilikua natumia kwa crack yake kwa sasa haifanyi kazi..Hii kitu imenisaidia mambo mengi .... cha msingi kama unakua block ni kuepuka ku post sana kwa account moja na kukwepa utupu.. Thanks mkuu kwa kutoa mwanga kwa blogger wenzako..😵😵😱😱
 
Heshma kwenu wakuu,

Swali langu ni
1:naweza kuweka AdSense ads na propeller ads katika blog moja?

2:Traffic inakuaje hii mkuu jinsi ya kuipata kama ni kupitia Facebook au Google+ unaweza nsaidia links za hayo magroup Tafadhali?
3: Mkuu kuna kitu wanaita [HASHTAG]#keyword[/HASHTAG] hii imekaaje mkuu

4:Copy and paste articles zinaweza kupelekea nkapata kilato kidogo kupitia AdSense ?

5:Template INA saidia katika Ku earn more na AdSense? Hapa nashida nazo pls kama unaweza kunisaidia email me via imomba12@gmail.com

Nawasilisha wakuu Wangu

Sikuku njema kwenu
 
Shukrani
 
NITAJIBU JUJU NA HARAKA PIA KWA SABABU MASWALI YAKO MENGI YAPO NJE YA MADA..........

1]Ndiyo hazina tatizo kurun kwenye platform moja.Ila propeller inakera watumiaji wa sababu ya pop under ads.
2]Magroup utayatafuta kulingana na contect unazo andika kwenye blog yako kwa mfano unaandika kuhusu habari za michezo basi utaenda na kutafuta magroup yanayo husiana na habari za michezo .
3]kuhusu keyword hii ni topic ndefu..............huwa maneno unayo tumia ambayo ndiyo yatakuwa yaki leta relevant kwa watu wanao search kwenye search engine na ndizo zinazo tumika na google ad sense ili kuleta matangazo husika.....Mfano unaandika kuhusu habari za udaku hapa bongo basi unaweza tumia keyword kama hizi
entertainment news today
celebrity magazines
celebrity news and gossip
breaking celebrity news
black celebrity gossip
gossip magazines
entertainment gossip
breaking entertainment news
latest showbiz news
celebrity photos
e entertainment news
top entertainment news
news and entertainment
celebrity oops
celebrity gossip site

4]Ndiyo tena........tena inaweza sababisha account yako kupewa warning na vilevile itafanya post zako kutowekwa kwenye search engine
5]Ni kweli kabisaa kwa aslimia 40 inachangia kwa wewe kupata kipato kidogo au kikubwa...........ila nashangaaga sana blogger wengi huwa waalichukulii hili swala serious.

NIMEJARIBU KUKUJIBU JUJU SANA WAWEZA KUJA PM ILI TUWEZE ELEZANA ZAIDI MAANA BAADHI YA MASWALI YAKO YAKO NJE YA MADAA YA UZI HUU
 
Shukrani nimepata Maelezo yako mkuu nimejongea DM Tayari ubarikiwe
 
Nitajuaje kama video ina hatimiliki, maana naona zingine nikiziaangalia, hawaonyeshi kama ina hatimiliki
ili kuondoa hati miliki nilazima kuifanyia editing na sio kuichukua na kuipest kama ulivyo ikuta.... hivyo utaitajika kuwa na video editor... ndio maana unakuta kuna nyimbo nyingi sana za wasanii wa nje na wandani na zina hati miliki yake endapo utaichukua na kuiweka kama ulivyo ichukua toka kwake au kwa mtu mwingine

cha msingi ni kuiedit video yoyote ile ambayo umeipata mtandaoni na sio production yako wewe...
 
HABARI

NASHUKURU KWA KAMPUNI YA MATANGAZO YA PROPELLER ADS KUONA UMUHIMU WANGU NA MCHANGO WANGU KAMA PUBLISHER,KUNIPA NAFASI YA KUTEST DESIGN YAO MPYA KABISA ITAKAYO TUMIKA KWA MWAKA 2018

upload_2017-12-27_12-58-54.png
 
Mara nyingi ni templet zenye contect nyingi sehemu mojaa ila ziwe katika mpangilio mzuri...........Mfano magma
shukrani,je wewe website yako au blog yako umeifanya yote katika content ya lugha ya kiingereza peke yake au unachanganya lugha?
 
ok ,hakika nimepata kitu ,shukrani sana bos kazi,ila sorry natoka nnje ya mada kidgo,katika ile extention ya kushare facebook je,inaweza kutumika kwa zaidi ya blog moja? yani unablog labda nne au tano hivi je unaweza ukazikonecti na hiyo extension?
 
Back
Top Bottom