Nimewahi kusikia kuwa hata mkuu wa majeshi uganda ni mjomba wa kabila na wote ni watutsi mamake kabila alilithiwa na loura baada ya kanambe kuuawa na tayar aikuwa na watoto ndio joseph na janet mwenye gorofa kubwa pale kariakoo
Joseph siyo mtoto wa Laurent wa kuzaa (not biological son)...!
Kama Joseph Kabila sio biological son wa Laurent, basi na Zoe Kabila sio wake pia, maana hawa wawili wanafanana sana.
Muongo mkubwa weeee.....
Inashangaza sana watu kung'ang'ania Joseph sio mtoto wa mzee,hebu mtafuteni mtu mmoja muandishi wa habari sijui wa chombo gani siku hizi anaitwa Masiaga Matinyi,huyu ni rafiki yake wa damu Joseph toka enzi akiwa dar na mpaka leo jamaa anasafiri sana kwenda Kinshasa kwa kuitwa na Kabila.
wengi hamumjui joseph na baba yake wakiwa dar mmekuja kuwajua wakiwa congo ndio maana mnahangaika na ma speculation ya ajabu..!
Romantic uko sahihi Joseph jina lake halisi ni Adrien Christopher Kanambe,wana tusome historia vzur,na baada ya Baba wa JOSEPH kupoteza maisha ndipo Laurent Kabila akamchukua Adrien na Mdogo wake wa kike ambapo waliish msasani Dar kabla ya kuelekea CONGO Hivyo JOSE n MTUTSI anaetawala CONGO na sio MKONGOMAN
Kwanini wacongoman wanamchukia Joseph Kabila??
Tizama picha za kwenye video hii mwanzo mpaka mwisho utaelewa,then pima kwa kutumia akili yako hizi ni propaganda ama ni reality?
Tango73,Che Ernesto Guevara alikuwa mmoja wa watumwa wa kikomunisti. Alihitimu digree ya Udactari lakini hakuifanyia kazi bali yeyey alitaka kuleta mapinduzi ya kikomunisti duniani kote. Alichukia dhehebu ya kikatoliki na christianity ingawa yeyey alikulia katika familia ya kikatoliki. Hivyo alitaka pia kufuta ukristo kwa kutumia umwamba wa kikomunisti wa kumlazimisha binadamu kufanya kama mabosi wake watakavyo.
Alikuja Kigoma kukutana na Laurent Kabila mwaka 1967 ili kuanzisha kikosi cha waasi wa kikomunisti watakao enda kumpindua Mabutu. Lakini Kabila alifikiria mbali sana na alikataa kukutana nae. Hivyo Guevara alirudi kwao bila kukutana na kabila. Uhusiano wa kabila na guevara upo kwenye siasa za kinyama na za kidhalimu za kikomunisti.
wazaire walifanya jambo la maana sana kummalizia mbali Lumumba. Maana Lumumba alikuwa mkomunisti aliyekubuhu na graduate wa kirusi. Hivyo wangemwachia tuu atwae nchi basi ile sera za kikomunisti za kugawana umasikini zisingewasaidia wanamuziki waliotajilika kupita kiasi kama kina Lwambo, Tabu ley, Verkiz,Pepep Kale na Kina Lovii Longomba. wakomunisti huwa wanwafutia hati miliki wanamuziki wao na hawajengi viwanda vya santuli ili kuwabana wanamuziki wasitajilike kirahisi. Ukomunisti kweli ulikuwa ni Unyama uliokubuhu!