Ijue Familia ya Kabila Katika Picha!

<dl class="spip_document_3158 spip_documents spip_documents_left" style="float: left;"><dt>
kabila_ldk_mama_sifax300.jpg

</dt></dl>













<dl class="spip_document_3158 spip_documents spip_documents_left" style="float: left;"><dt>
</dt></dl>




Mzee Laurent Desire Kabila na mkewe Sifa Mahanya enzi zao

ltvSearch-Kabila-family-1.jpg


Hapa ni Joseph na pacha wake Janet kabila na wadogo zao

ltvSearch-Kabila-family-6.jpg

Hapa Joseph na MZEE



joseph_kabila_family.jpg


Rais kabila(kulia kabisa waliosimama)katika picha ya familia wakiwa na mama sifa mahanya(mama yao)


ltvSearch-Kabila-family-2.jpg

Hapa Joseph na Mama yake mzazi Mjane wa mzee Laurent Desire Kabila,mama Sifa Mahanya.

ltvSearch-Kabila-family-5.jpg


Rais Joseph Kabila mama yake Sifa Mahanya na member wengine wa familia nyumbani kwa mama!






Rais Kabila na mkewe siku ya harusi yao








Rais Kabila akiingia mama yake siku ya harusi

zoe-kabila1.jpg


Zoe Kabila(mdogo wa rais kabila)




Janet Kabila(pacha wa joseph)



Siku ZOE KABILA nae alipouaga ukapera 15/10/2011
nita_zoe_bourgmestre.jpg

ZOE KABILA na mkewe siku ya harusi na mkewe NITA

famille.jpg

Joseph Kabila,mkewe(first lady)Olive Kabila,bibi harusi wa zoe,
Zoe Mwenyewe na mama SIFA Mahanya(blue)katika picha ya
kumbukumbu ya harusi ya Zoe.


LAURENT KABILA'S,Joseph,Jannet & Zoe!
Jaynet-Kabila-et-Zoe-Kabila-deux-nouveaux-Honorables-tres-speciaux_full_article.jpe

Mkuu umetisha. Joseph Kabila ni jembe sio kama hawa kina R1
 
hypolite kanambe a.k.a. joseph kabila si mtoto wa mama sifa mahanya,baba yake ni mtutsi na alikua rafiki mkubwa wa kabila
kipindi LD kabila anauwawa,mama sifa mahanya alikua jela akitumikia kifungo baada ya kumuwekea sumu LD kabila ikagundulika,so siku LD kauawa na madaraka kuhamishiwa kwa aliyeitwa mwanae joseph mama sifa alitolewa kifungoni akaandaliwa na kupelekwa kwenye sherehe za kuapishwa joseph kisha ikabatizwa kwamba ndio mamaake mzazi.
kuna mchezo mchafu sana unachezeka kwenye siasa za afrika hasa hapo kati D.R.C.iko siku haya yote yatajulikana tu maana michezo hiyo wazungu ndio wanaipanga kisha wanacheka kwa nyuma huku waki-plunder resources
mmarekani na mwingereza wako hapo congo wanaiba wanavyotaka kwa kuitumia uganda na rwanda,huku wacongo wakiishi maisha ya ukimbizi nchini mwao

Achana na propaganda za kina mzee Étienne Tshisekedi wa Mulumba ,mama sifa mahanya ndio mama mzazi wa joseph,hii picha kama utaitazama sawasawa utamuona joseph hapo akiwa katika picha ya pamoja na mama sifa na wadogo zake enzi hizo,je unaweza kutuwekea picha ya mama yake huyo Hypolite wenu tuitazame tuone kama anafanana na joseph wa sifa mahanya na LD

joseph_kabila_family.jpg
 
Wala hata hawafanani Checkin Mapua hayo WACONGO ni mapana WATUTSI membamba marefu-Wale wenzangu mimi tunaokaa mipkani hawezi pita MCONGO Au MTUTSI usimfaham - Siku hizi Software za picture editing ni nying Mi nime stuka Hao sio Ndugu
 
Hapana inasaidia maana ilishasemwa kuwa Joseph siyo mtoto wa Kabila na hata katika uchaguzi wa Congo juzi wa habari hizi zilisambazwa sana, pia humu JF kuna mtu ameshasema hivyo, tunataka kujua ukweli maana eti tunaambiwa jamaa ni MTZ.
 
Achana na propaganda za kina mzee Étienne Tshisekedi wa Mulumba ,mama sifa mahanya ndio mama mzazi wa joseph,hii picha kama utaitazama sawasawa utamuona joseph hapo akiwa katika picha ya pamoja na mama sifa na wadogo zake enzi hizo,je unaweza kutuwekea picha ya mama yake huyo Hypolite wenu tuitazame tuone kama anafanana na joseph wa sifa mahanya na LD

joseph_kabila_family.jpg
mbona Selemani amumuongelei? Selemani ni Huyo aliyesimama mbele ya Joseph. Selemani yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom