Ijue Familia ya Kabila Katika Picha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ijue Familia ya Kabila Katika Picha!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KIM KARDASH, Mar 26, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  <dl class="spip_document_3158 spip_documents spip_documents_left" style="float: left;"><dt>[​IMG]
  </dt></dl>

  <dl class="spip_document_3158 spip_documents spip_documents_left" style="float: left;"><dt>
  </dt></dl>
  Mzee Laurent Desire Kabila na mkewe Sifa Mahanya enzi zao

  [​IMG]


  Hapa ni Joseph na pacha wake Janet kabila na wadogo zao

  [​IMG]
  Hapa Joseph na MZEE  [​IMG]

  Rais kabila(kulia kabisa waliosimama)katika picha ya familia wakiwa na mama sifa mahanya(mama yao)


  [​IMG]
  Hapa Joseph na Mama yake mzazi Mjane wa mzee Laurent Desire Kabila,mama Sifa Mahanya.

  [​IMG]

  Rais Joseph Kabila mama yake Sifa Mahanya na member wengine wa familia nyumbani kwa mama!


  [​IMG]  [​IMG]
  Rais Kabila na mkewe siku ya harusi yao
  [​IMG]


  [​IMG]

  Rais Kabila akiingia mama yake siku ya harusi

  [​IMG]

  Zoe Kabila(mdogo wa rais kabila)


  [​IMG]

  Janet Kabila(pacha wa joseph)  Siku ZOE KABILA nae alipouaga ukapera 15/10/2011
  [​IMG]
  ZOE KABILA na mkewe siku ya harusi na mkewe NITA

  [​IMG]
  Joseph Kabila,mkewe(first lady)Olive Kabila,bibi harusi wa zoe,
  Zoe Mwenyewe na mama SIFA Mahanya(blue)katika picha ya
  kumbukumbu ya harusi ya Zoe.


  LAURENT KABILA'S,Joseph,Jannet & Zoe!
  [​IMG]
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mazee tumewafurahia sana....! hivi riziwani na mwanaasha wanaweza kupewa nchi kweli kama joseph..?
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  duuuuuuuuuh kaka rtzone HAFAI HAFAI HAFAI
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  haitusaidii lbda kama umewaandikia wakongo wanaoperuzi JF
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Joseph siyo mtoto wa Laurent wa kuzaa (not biological son)...!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du kim umetishaaa,je wewe ni mwanachama wa si en de de ef de de(CNDD-FDD)?
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu naomba tu kufahamu ,hizo picha za mwanzo zimepigwa mwaka gani na ilikuwa sehemu gani maana sie wengine tunasikia tu kuwa miaka ya 80,s hawa watu walikuwa wakiishi msasani sijui kama ni kweli , na kwa wana historia naomba kufahamu kulikuwa na uhusiano gani kiharakati kati ya mzee Kabila na che Guevara..
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo imejionyesha kabisa kuwa Joseph kabila sio mtoto wa Mzee Kabila na Pia Imeonyesha kabisa kuwa Kabila ni Mtutsi
   
 9. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkuu Kim, hujawaonyesha wala kuwataja dada zake Sisi na Ceci, ndo kusema hawana uhusiano na Rais J. Kabila?
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Asante kwa picha.
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  mi nmependa hiyo aliyopiga na mzee halafu mkono akaweka mbele ili saa ionekane.
   
 12. l

  laboratory Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DUH;;;kweli maisha safari ndefu,,mdau tunnashukuru kwa picha,,za black and white,,,
   
 13. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Namkubali sana huyu Dogo thanx Comrade kwa picha
   
 14. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Che Ernesto Guevara alikuwa mmoja wa watumwa wa kikomunisti. Alihitimu digree ya Udactari lakini hakuifanyia kazi bali yeyey alitaka kuleta mapinduzi ya kikomunisti duniani kote. Alichukia dhehebu ya kikatoliki na christianity ingawa yeyey alikulia katika familia ya kikatoliki. Hivyo alitaka pia kufuta ukristo kwa kutumia umwamba wa kikomunisti wa kumlazimisha binadamu kufanya kama mabosi wake watakavyo.

  Alikuja Kigoma kukutana na Laurent Kabila mwaka 1967 ili kuanzisha kikosi cha waasi wa kikomunisti watakao enda kumpindua Mabutu. Lakini Kabila alifikiria mbali sana na alikataa kukutana nae. Hivyo Guevara alirudi kwao bila kukutana na kabila. Uhusiano wa kabila na guevara upo kwenye siasa za kinyama na za kidhalimu za kikomunisti.

  wazaire walifanya jambo la maana sana kummalizia mbali Lumumba. Maana Lumumba alikuwa mkomunisti aliyekubuhu na graduate wa kirusi. Hivyo wangemwachia tuu atwae nchi basi ile sera za kikomunisti za kugawana umasikini zisingewasaidia wanamuziki waliotajilika kupita kiasi kama kina Lwambo, Tabu ley, Verkiz,Pepep Kale na Kina Lovii Longomba. wakomunisti huwa wanwafutia hati miliki wanamuziki wao na hawajengi viwanda vya santuli ili kuwabana wanamuziki wasitajilike kirahisi. Ukomunisti kweli ulikuwa ni Unyama uliokubuhu!
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwanza kabisa nimekerwa na bloger mmoja anaiita blog yake chinga blog sijui,jamaa kachukua picha nilizoziweka hapa kama zilivyo na kutengeneza story yake eti kaalbum kadogo ka familia ya kabila bila hata kutaja alikopata hiyo idea pamoja na picha....!bloger kuweni wabunifu au mkitumia ubunifu wa wengine si vibaya kuwataja,ukiitaja jf inatosha si lazima umtaje kim.

  Kuhusu suala lako mzee hao uliowata wapo kwenye picha hii,sema vilikua vitoto sana..


  r
  [TABLE]
  <tbody>[TR]
  [TD][​IMG]
  [/TD]
  [TD="width: 477"]
  vêtements faits de raphia et d'écorces.
  <dl class="spip_document_3589 spip_documents spip_documents_center"><dt>[​IMG]</dt></dl>


  [​IMG]

  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  <dl class="spip_document_3589 spip_documents spip_documents_center"><dd style="width: 350px;" class="spip_doc_descriptif">Arrière plan : Tetia, Anina, Jaynet Kabila Kyungu, Joseph Kabila Kabange
  Umaneo Josephine Kabila, Cecile Mafika Kabila, Maman Sifa Mahanya portant Zoé Kabila sur ses genoux, Fifi Kabila et Selemani </dd></dl>
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kivipi???
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  [​IMG]

  Anaeelezwa kuwa baba mzazi wa Joseph kabila ni huyu mwanajeshi wa zamani wa kitutsi ambae alikimbilia congo baaada ya itawala wa kwatutsi kuangushwa na wahutu huko rwanda.Anaitwa Adrien Kanambe.
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Muongo mkubwa weeee.....
   
 19. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kama hizi picha hazijachakachuliwa basi leo ndio tunafunga rasmi mjadala wa baba mzazi wa jose hapa jf. Huyu ni baba yake mzazi na tena mzee alikuwa na damu kali sana
   
 20. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nimewahi kusikia kuwa hata mkuu wa majeshi uganda ni mjomba wa kabila na wote ni watutsi mamake kabila alilithiwa na loura baada ya kanambe kuuawa na tayar aikuwa na watoto ndio joseph na janet mwenye gorofa kubwa pale kariakoo
   
Loading...