Picha Realistic za AI za Watu Maarufu katika Historia ya Kale ya Tanzania

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
387
396
Picha hizi nimetengeneza kwa Teknolojia ya Akili Bandia (AI), just ku visualise namna ambavyo hawa watu maarufu kama machifu walivyo onekana kiuhalisia
  • kumbukumbu AI ipo very probably, hivyo inaweza kosea kuleta uhalisia
  • AI ipo biased based na data zilizotumika kuifundisha, sasa sababu ya model nyingi za AI ni zimejazwa tamaduni za wengine, kwa hiyo inaweza usilete uhalisia sana wa walivyo Kuwa
  • Ubora wa picha unaweza tegemea na ubora wa mtumiaji wa AI
  • usitumie picha hizi kama conclusion walivyokuwa, bali this is just only artistic imagination ya ambayo walivyokuwa based na small data available

==> Kama wewe, familia au taasisi yenu mna picha mnazotaka kuziboresha au kuona imagination yake angekuwaje, basi karibuni
  • WhatsApp/call +255-657-685-268
  • Tuna leseni mbili
-- Business usage
-- personal usage

1. Chifu Mkwawa - Kabila la Wahehe
IMG-20240322-WA0076.jpg

2. Mtemi Mirambo - Kabila la Wanyamwezi
Mtemi Mirambo - Kabila la Wanyamwezi.jpg

3. Chifu Mangungo - Usagara, Msowero
Chifu Mangungo - Msowero.jpg

4. Mangi Meli - Chief of Moshi
IMG-20240324-WA0000.jpg

5. Kikanga - Ntemi of Bukumbi Chiefdom, c. 1900 (One of Sukuma Chiefdom)
IMG-20240324-WA0036(1).jpg

6. Siti binti Saad - Mmoja wa Pioneers wa Taarab Music aliyeishi Zanzibar (c.1880– August 1950)
IMG-20240324-WA0034.jpg
 
Wanakwambia Mkwawa alikuwa na kauli moja na utekelezaji wake mara moja!

Wanasema alikuwa na roho nzuri sana lakini katili ile mbaya ukiingia kwenye kumi na nane zake
Mkuu kuna mambo mengine ukatili tunauleteleza wenyewe tu. chukulia mtu lucas mwashambwa chawa asiye na akiri hata ya kuvukia barabara kazi yake ni kusifia tu. ipo siku atasifia hadi kinyesi
 
Mkuu kuna mambo mengine ukatili tunauleteleza wenyewe tu. chukulia mtu lucas mwashambwa chawa asiye na akiri hata ya kuvukia barabara kazi yake ni kusifia tu. ipo siku atasifia hadi kinyesi
😄 mengine ni ya kumwachia Mungu tu ndugu, binadamu ni wengi watu ni wachache.

BTW; watawala wote wanaua sana . Refer mfalme Daudi kwa siku alichinja watu 300 kwa kisu kwa mkono wake mwenyewe
 
Picha hizi nimetengeneza kwa Teknolojia ya Akili Bandia (AI), just ku visualise namna ambavyo hawa watu maarufu kama machifu walivyo onekana kiuhalisia
  • kumbukumbu AI ipo very probably, hivyo inaweza kosea kuleta uhalisia
  • AI ipo biased based na data zilizotumika kuifundisha, sasa sababu ya model nyingi za AI ni zimejazwa tamaduni za wengine, kwa hiyo inaweza usilete uhalisia sana wa walivyo Kuwa
  • Ubora wa picha unaweza tegemea na ubora wa mtumiaji wa AI
  • usitumie picha hizi kama conclusion walivyokuwa, bali this is just only artistic imagination ya ambayo walivyokuwa based na small data available

1. Chifu Mkwawa - Kabila la Wahehe
View attachment 2942000
AI imetosha sasa.....
 
Back
Top Bottom