Ijue calendar yako

Ijue calendar yako

Sahihi kabisa mkuu. Asante sana. Sasa nahitaji kufahamu zaidi, mambo yapi nifanye na kipi cha kuepuka and destiny in general. Nimeku pm.
Asante
Knowledge ya calendar haina masharti ya kuepuka Ila inakusaidia kujijua naturally ili iwe rahisi kujiongoza kulingana na asili yako.

Mini calenda anarelate na watu wa magroup yote, ila kwa kua we we umezaliwa alhamisi siku changamfu ukiwa na mpenzi wa calendar yoyote ila kazaliwa siku Cheshi itapendeza maana we we umezaliwa siku Cheshi hivo una nature ya ucheshi,

Mini calendar ni wavumilivu by nature hivo ni ngumu kuwaona wanagombana ovyo na watu, wanaamini zaidi katika amani na upendo,

Kulingana na calendar yako siku zako nzuri zaidi ni siku cheshi(jumamosi, jumapili, jumanne na alhamisi.

By nature unafit zadi kwa kazi za uongozi.
 
Asante sana mkuu kwa SoMo zuri.
 
Back
Top Bottom