Ramli za mechi kwa wanaobeti

Ramli za mechi kwa wanaobeti

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
487
Reaction score
978
Habari ndugu zangu
Nimepokea maombi mengi ya kutoa elimu ya kuweza kujua ni timu gani itashinda katika mechi. kama mfano wa mechi za jana huu
Screenshot_20261105-102602.png

Nitajaribu kueleza taratibu hatua kwa hatua ili munielewe kirahisi
Ramli ya mechi ina misingi yake ambayo ni
1. Swali
2. Mfumo
Tunaposema SWALI ni kile kitu ambacho unataka kujua jibu lake mfano nataka kujua mshindi wa mechi ya Simba na Yanga
Hilo ndio ni swali na unapaswa kuliweka kuchwani wakati unafanya Ramli yako ukiwa katika mazungira ya usafi na Utulivu peke yako

Mfumo ni vile namna gani utafanya Ramli yako hatua kwa hatua ili upate majibu sahihi na hapa nitaeleza hatua kwa hatua Namna ya kufanya ramli.

kwanza kabisa ramli yetu hutumia kitu kinaitwa alama (/), hizi ni alama ambazo utachora kwenye karatasi ya na peni nene nyeusi(mark pen)
fano (/ / / / / / ) bila ya kuhesabu utafanya na mstari wa pili tatu na mstari wa nne yani mfano

mstari wa kwanza /////////////
Mstari wa pili. /////////
mstari wa tatu ////////////
Mstari wa nne. ///////////////
Mistari inapaswa isifanane odadi ya alama kwa makusudi
ukianza kuchora vialama uaanzianupande wa kulia kuja kushoto
Kisha ukimaliza mstari wanne unahesabu kila mstari ukipata idadi ya alama ni witiri inamaana alama yake ni moja na ukipata shufwa alama zake ni mbili yani (/) au (//) yani mfano
mstari 1 /////// 7 witiri. /
mstari 2 //// 4 shufwa. //
mstari 3 // 2 shufwa //
mstari 4 ///// 5 witiri /

hivyo majibu yetu ya lama yatakua /, //, //, /
Hii inafanywa kwa kila timu katika hio mechi yani kama ni simba na yanga unaweka akikini simba huku ukiitaja simba simba simba huku ukiandika alama kuanzia mstari wa kwanza na mstari wa pili wa tatu na wanne kisha unaweka majibu yake pembeni kwa alama ulizozipata kisha unatiantena nia ya simba unafanya hivyo na kuweka majibu yake pembeni kisha ukipata majibu ya timu zote mbili inamaan utakua umeshajua timu hizo zitacheza mchezo wa aina gani kisha unakuja kuunganisha majibu na ninakueleza namna ya kuunganisha majibu

Kuunganisha majibu ya kila timu ili kupata jibu moja
baada ya hapo unachukua majibu ya timu A na timu b kama ifuatavyo
Mfano timu A B Matokeo
/ // /
/ / //
// / /
// // /

jinsi ya kupata majibu unaheabu alama za a na b za mstari wa kwanza kama ni witiri jibu ni / na kama ni shufwa unaandika //

Hapo sasa utakua umeshapata majibu ya mechi hio hapo sasa unatizama tafsiri ya majibu yako na tafsiri ni kama ifuatavyo nitaweza alama kwa mlalo badala ya wima ili iwe rahisi kukuelezea tafsiri ya majibu
Ila kabla ya kuelezea tafsiri ya majibu ningependa kuwajukiaha kua timu A lazima iwe ni 1 timu B iwe timu 2 ili iwe rahisi katika tafsiri

DRAW -INA MAJIBU MANNE ambayo ni /,/,/,/ //,//,//,// /,//,//,/ na //,/,/,//

USHINDI KWA TIMU A(1)- Pia ina majibu manne /,/,//,// /,/,/,// /,//,//,// na /,/,//,/

USHINDI KWA TIMU B(2)
Pia ushindi wa timu B una majibu manne //,//,/,/ //,/,/,/ //,//,//,/ na /,//,/,/

ila pia kuna majibu ambayo hayana uhakika mara nyingi haya ni matokeo ya kupangwa au mechi kughairishwa jamno lolote ambalo litaharibu matokeo ya mechi nazo alama hizi //,/,//,// /,//,/,// //,//,/,// //,/,//,/
kwa hapo nitakua nimewapa mwanga kwa wote ambao walikua wananiuliza kuhusu elimu ya ramli ya kubeti

Asanteni na msisahau sadaka zangu mnaposhinda
 
ipo hivi hapo hujaonyesha ushindi wowote namana Kuna takribani blvijana 100000 Tz Huwa wanaweka bet na Matokeo yao kati mectch 10 unakuta anashinda 8 mbili zinampoteza au anaweka metch 5 team 1 inamuharibia ndio ww ulichoweka hapa sijajua lengo lako hasa ni lipi haya mambo hayaendeshwi kimihemko kama hivyo OVER....
 
mimi nimetoa elimu anaetaka achukue asietaka aache kwani kuna niliemtoza fedha? nioneshe ushahid kwanini?
 
ipo hivi hapo hujaonyesha ushindi wowote namana Kuna takribani blvijana 100000 Tz Huwa wanaweka bet na Matokeo yao kati mectch 10 unakuta anashinda 8 mbili zinampoteza au anaweka metch 5 team 1 inamuharibia ndio ww ulichoweka hapa sijajua lengo lako hasa ni lipi haya mambo hayaendeshwi kimihemko kama hivyo OVER...
nilitarajia shukrani kwa vijana ila kinyume chake , uzuri hii elimu inatembea na baraka ya aliekupa bila kumuheshimu kwa kujali mchango wake hupati hata utabiri uchi huwezi kufanikiwa ukiwa na shaka tu basi umeharibi jambo lenyewe na hata kwako nakwambia shaka yamgu imekuharibia utapata majubu ya uongo
 
ipo hivi hapo hujaonyesha ushindi wowote namana Kuna takribani blvijana 100000 Tz Huwa wanaweka bet na Matokeo yao kati mectch 10 unakuta anashinda 8 mbili zinampoteza au anaweka metch 5 team 1 inamuharibia ndio ww ulichoweka hapa sijajua lengo lako hasa ni lipi haya mambo hayaendeshwi kimihemko kama hivyo OVER....
Ok
 
Kwenye kubet kama hauna roho ya utambuz au majini/vinyamkera/mizimu ya kukusaidia kutambua matokeo ya mechi, bac wew siku zote utakuwa unabahatisha tu, hata hiyo lamli uliyoweka hapo bado ni kubahatisha tu! Kwenye kubet possibility ya timu kushnda hutokea ndan ya uwanjan!

Let sey; Timu kubwa inacheza na timu daraja la kati, dakika za mwanzo timu kubwa inapgwa red kad 2, halaf unaniambia hiyo timu itashnda gem! Labda ibahatishe tu, hapo ndo maana ya kuhtaj roho za utambuzi, vingnevyo unabakia katka kubahatisha tu!
 
uewsoma vzr hii taarifa
 
Back
Top Bottom