Ijue Botswana japo kidogo tu

Katika nchi za SADC ni Mozambique, Angola na DRC pekee ndio wanaendesha gari upande wa Kulia(wana keep right)
Nchi zote zilizobakia (Tz, Malawi, Zambia, zimbabwe, Botswaana, Swazi, Leso, Namibia na RSA) wote tuna keep left, so Bots kama Bongo tu

Mozambique wana keep left
 
Kaka Stralis , shukran sana kwa hizo Picha za Botswana, Namibia, umenikumbusha mbali sana
Bado uko "kibande" hiyo?
 
Namba 5 hata dada zetu wanaotoka kule kwenye mlima mrefu wanazo hizo sifa.
 




Mamuno border na namibia ...Kazungula boda na zambia zimbabwe botswana namibia,Mambo ya kasane Chobe national park Francis town martin drift.nchi ya ukweli sana hiyo.
Mie nilipitia (hupitia) hapa nikitokea Mafikeng
 
Mie nilipitia (hupitia) hapa nikitokea Mafikeng

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo ni karibu kwenda botswana kuliko upitie Zeerust-skilpadshek-pioneers gate-lobatse umetisha sana mkubwa watu wanaishi hizo nchi mbili ila shida ya sauz tu usalama mdogo ila tswana namibia napaelewa sana hasa Walvis bay pia nilipaelewa grootfontein(namibia).pia tswana na Sauz kuna boda kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa natumia/tunatumia masaa mawili tu tuko Gaborone
 
Nackia botswana wanawake ni wengi kuliko wanaume,na si ajabu kuona kijana wa kiume akiposwa tangu mdogo
Teh teh teh teh teh teh duh, kwamba demu anakuwekea bondi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 



Martin drift border.. ila hawa jamaa wana basi pia kali sana.kuna nchi nahisi hawana stress kabisa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…