.Dar es salaam ni mji wa hovyo mchafu hakuna sehem ambazo ni smart kote uchafu mitaro hovyo taka zimejaa rambo zinazagaa mtaani pa1 na Gaborone kua na wakaz wachache ni moja ya town la maana,pia Francistown kumetulia sana.
.bali ni upeo aliokuwa nao huyo raisi wa kwanza Sir Seretse Khama
Mungu anawaona na JK wenu.... kumbe mlikuwa mnastarehea pesa zetu za kodi na kubebea watswana.Wengi wa mademu zao vicheche ukiwa foreigner na una hela wanakupapatikia sana niliwahi kwenda huko 2015 enzi za JK na mikutano ya SADC (posho 550 USD per day) tukafikia City Lodge full raha nilikula mizigo ya maana japo bei ghali per night unalipia mpaka 200 USD hapo hujajumuisha bei za kulilisha na kulinywesha.
NB; awamu ya mitiripu ya kupiga pesa imeisha sasa ni kazi tu mpaka uchakae
Fanya fanya twende basi!Uzi mzuri,nimejifunza mengi,JF kisima cha hekima!
Sawa mkuu,ngoja tuzichange change.Fanya fanya twende basi!
Uongo mbaya enzi za Mkwere tumetembea duniani sana. Tena sana. Gaborone, Geneva, Washington, London...mara kadhaa nimebadilisha begi airport (JNIA) ni mwendo wa kubadilisha ndege tu (Full paid) enzi hizo tunachagua ndege....tunaenda let say Algiers (Algeria au Tunis, humu humu Africa); Tnachagua Emirates tunapitia kwanza, Dubai then Paris na Mwisho Algiers. Acha tu aisee ilikuwa nusu pepo enzi zile...Mungu anawaona na JK wenu.... kumbe mlikuwa mnastarehea pesa zetu za kodi na kubebea watswana.
Bana Magu bana baba ili na sisi tuwe km au tuizidi Botswana
Uongo mbaya enzi za Mkwere tumetembea duniani sana. Tena sana. Gaborone, Geneva, Washington, London...mara kadhaa nimebadilisha begi airport (JNIA) ni mwendo wa kubadilisha ndege tu (Full paid) enzi hizo tunachagua ndege....tunaenda let say Algiers (Algeria au Tunis, humu humu Africa); Tnachagua Emirates tunapitia kwanza, Dubai then Paris na Mwisho Algiers. Acha tu aisee ilikuwa nusu pepo enzi zile...
Upo Chuo cha Takwimu Changanyikeni? Naonaga wengi hapo, ila si wazur kama inavyoandikwa humuHapa ofisini kuna program inawaleta wa Botswana mara kwa mara kwa mafunzo flani hivi! Na huwa kila mwaka wanakuja zaidi ya 10, men and women. Ila hao mademu zao... Mmmh. Mmmh. Mmmh. Sio kama wanavosifiwa humu. Labda kwa kuwa hawa ni WATUMISHI wa Serikali kule kwao!
Awatake nani na pesa hawana. Njaa tu basi, wakongo huku wanatembelea Benz sababu ya uanaume mashine harafu unaleta story za kina Kagame usawa huu!!!!Malayer wazur wapo Kigali mjombaaa
Naona umeguswa....tunakuja huko utake usitake[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hahahaaaa....mkuu kumbe wew ni Ben ten
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nyegelaaaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Naona umeguswa....tunakuja huko utake usitake[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Read n replied mkuuNimekucheki mkuu
Moçambique ni leftMozambique wana keep left
.
Ila kufananisha investment ya mji wa watu 200k na 5M siyo sahihi kabisa. Dar es salaam mbona ulikuwa mji uliopangwa vizuri tuu na msafi? Ni baada ya viwanda mikoani kufa na watu wengi kukimbilia jijini ndiyo mambo yakaharibika.
.
Ilikuwa rahisi kufanya mambo mazuri na kwa haraka kwasababu jamii yao kwa kiasi kikubwa ilikuwa moja (watsana 80%) na wengi wao wakiwa na imani moja. Watu kuwa wamoja teyari ni hatua kubwa ya maendeleo.
Pia imani ya uchifu ilisaidia, kwa kuwa chifu ni kama mungu mtu, akisema hivi hakuna wakubisha. Sasa sisi kwetu ilibidi tuanze kujenga 'Identity' mpya (waswahili) halafu tulitumia resources zetu nyingi kuwa komboa wengine na hivyo kupunguza shabaha ya maendeleo kwetu.
Nchi yao pia, miaka ya 60's haikuwa tishio katika ukanda wa kusini kwahiyo haikusumbuliwa na kuingiliwa na wakubwa.
Uongo mbaya enzi za Mkwere tumetembea duniani sana. Tena sana. Gaborone, Geneva, Washington, London...mara kadhaa nimebadilisha begi airport (JNIA) ni mwendo wa kubadilisha ndege tu (Full paid) enzi hizo tunachagua ndege....tunaenda let say Algiers (Algeria au Tunis, humu humu Africa); Tnachagua Emirates tunapitia kwanza, Dubai then Paris na Mwisho Algiers. Acha tu aisee ilikuwa nusu pepo enzi zile...
Moçambique ni left