Ijue Botswana japo kidogo tu

Weee acha kabisa ile kitu inaitwa chura ya wanawake wao si mchezo. Nguo fupi, hips nyeupe na hayo makalio, acha ile miguu ya tembo....... duh, acha kabisa masuala ya Gaborone.
 
uzi mzuri mno ila tungeupanua ili tuone wenzetu nini kumewafanya wawe moja ya nchi zilizopiga maendeleo makubwa hapa bara la Africa ,mimi nimeipenda uhuru walionau wananchi wake,jinsi wanasiasa wake walivyotumia almasi kuboresha uchumi wa nchi,currency yao mimi ningekuwa no 1 hapa Tanzania ningeipandikiza kwenye pula,na kuhakikisha tunauza zaidi ya kuagiza ili tudhibiti inflations,nimempenda no 1 wao ambaye ni simple tuu,anatembea mwenyewe mitaani na pikipiki na ulinzi mdogo sana,wanaokoa matumizi mabaya ya kodi,nimezipenda mno barabara zao ni nzuri mno na pana mno,sometimes hata videge vidogo vinatua kwenye hizi barabara,onlt thing not happy jinsi serikali yao ilivyowanyanyasa wale waasili wa nchi(bushmen)hasa kwenye masuala ya ardhi.otherwise its a great country to live ila wana sheria ngumu mno za uhamiaji,;na wametuibia waalimu wetu wengi hasa wa chuo kikuu,but maisha popote
 
Hapo nimekukubali mkuu asilimia 95% ndio tabia zao,wanapenda ulevi na ngono karibu watu wote Botswana
 
Wengi wa mademu zao vicheche ukiwa foreigner na una hela wanakupapatikia sana niliwahi kwenda huko 2015 enzi za JK na mikutano ya SADC (posho 550 USD per day) tukafikia City Lodge full raha nilikula mizigo ya maana japo bei ghali per night unalipia mpaka 200 USD hapo hujajumuisha bei za kulilisha na kulinywesha.
NB; awamu ya mitiripu ya kupiga pesa imeisha sasa ni kazi tu mpaka uchakae
 
 
Noma sana!
 
Lete habari za Namibia.

Namibia kama Tswana na south africa ila wao wana uzungu sana pia kuna wajerumani bado wanaishi ile nchi,pia ni nchi nzuri kuishi miji kama Swakopmund,Windhoek,Walvis bay au pia maeneo kama southwest karasi region kama sikosei ingawa mbongo yale maisha ataona kero wake mana kuna uzungu sana Lugha zao n Englishi german africaan na lugha za makabila ya asili kama wambo,herero nama etc.
 
Nashukuru kwa elimu nzuri but Botswana hakuna mji unaoqualify kuitwa jiji kubwa. Ni nchi yenye vimji sema tu ni vizuri.
Gaborone ambayo ndiyo jiji kubwa nchini humo, ukiuleta Tanzania, hata top 10 hauingii ndani, maana una wakazi just about 200,000 2017.
 
Mkuu naomba ruksa yako nikuPM
 

Dar es salaam ni mji wa hovyo mchafu hakuna sehem ambazo ni smart kote uchafu mitaro hovyo taka zimejaa rambo zinazagaa mtaani pa1 na Gaborone kua na wakaz wachache ni moja ya town la maana,pia Francistown kumetulia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…