kashinje juma
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 706
- 544
Mlibatuga shiigete!!,ng'wandya kwidukila buli hangi!!??Nubebe ntombana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha mkuu.Andaa tu milioni moja na nusu ya Kitanzania, siku mbili au tatu kama kutembea zinatosha mkubwa. (Sina uzoefu sana na matumizi, mwezako huku niliko ni Mario kama mnavyotuita huko, nimefanya tathmini pasipo uhalisia kupitia mimi)
Alisema mkuu.ni shogaTafsiri ya mbana pua ndio umegoma kusema sio? Au ni mtumia ngada?
Tasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko........ CCM [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha mkuu.
Msukuma kaandikia wasukuma wenzake uzi kujifananisha na Watswana.Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-
1: Watu wa Botswana, ni wapole na wakarimu sana isipokuwa kwenye majiji makubwa huko ndiko kuna baadhi wamepinda
2: Utamaduni, ni watu wanaopenda asili yao na hawajifichi ikiwemo kuongea lugha yao ya asili (Setswana). Naweza sema kuwa mila na desturi zao wamekopi kwa wasukuma
3: Uoto wa asili; karibu mimea yote unayoiona Botswana basi utaikuta karibu yote Shinyanga
4: Rangi ya ngozi; asilimia 85% ni maji ya kunde (weupe) na hapo kwa msukuma ndo mahali pake.
5: Yale mambo yetu; Hawana kinyongo na wengi wao wamezalishwa wakiwa Shule ama makwao na kupigwa chini hivyo kukung'ang'ania umuoe ili kumkomoa baba watoto/mtoto ndo zao.
6: Una status gani? Ndilo swali utakutana nalo kila ukianza mahusiano na demu ama mwanamke wa Botswana ili afahamu kama una ngoma ama la na muishi vipi.
7: Ngoma ishakuwa kama Malaria tu.
8: Weekend mademu wa Botswana wengi huvuka border kuja South Africa kuspendi hivyo ukiwa na demu Botswana harafu daily anavuka border kuja South Africa kufanya shopping basi ujue ni shopping ya chini.
9: Kuna tetesi kuwa rais wao ni mbana pua (mimi simo)
Teh teh teh teh teh teh!! Samahani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msukuma kaandikia wasukuma wenzake uzi kujifananisha na Watswana.
Mie nilipitia (hupitia) hapa nikitokea Mafikeng
Ng'wangaloka nyandaTeh teh teh teh teh teh!! Samahani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hua napita pita tu kwa sasa
Alohhh!!Nubebe ntombana[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, Botswana Nzuri-Gabs yenyewe, Main mall, African mall, Phakalane nk, lakini pamoja na uzuri huo Namibia ni mwisho wa matatizo, Nakumbuka Nyama za Katutula, Swakop na Wavis Bay sio mchezo, ni kweli hizo nchi za South za Namibia na Botswana raia wake hawana tress kabisa, wanaishi maisha ya furaha sana si tupo nyuma sana sana
Yeah hawa jamaa wanaishi af maisha simple hawana complication Tz tumekalia siasa tu hakuna lolote Namibia mji kama Swakop walvis unakula upepo wa Atlantic safi kabisa.
Mafikeng, unapitia Tlokwana Border? Au Mochudi?
Wana enjoy sana basi tu na ndio nchi unaweza sema unaomb uraia ukaishi hua inaniuma sana nilikua napita tu af boda to boda ila nilionjoi sana mana hzo nchi nimekatiza pande 4 kwa gariNapenda sana zile sand Dunes na zile Quad-Bike za kupandia hizo dunes,
Tlokweng n mbali sana ukitokea mafikeng anapitia ramatlaba pale n simpo
Unapitia Ramatlabama border eneo la PitsaneMafikeng, unapitia Tlokwana Border? Au Mochudi?
Nde nyanda onene!!!? [emoji12]Ng'wangaloka nyanda