Igunga

Kozo

Member
Aug 14, 2011
33
2
IGUNGA,kula pilau la magamba utashiba masaa mawili kisha njaa miaka kumi,KILIMUKAGI BHAJAMENI WAMETUFANYA MASKINI ALAFU WANATUPA PILAU KTK UCHAGUZI;wametufanya wajinga kama wao kwa tamaa zao;walizuia vyombo vya habari ili tusijue dunia inavyokwenda pia elimu ya uraia na haki ya mwananchi ili watutawale kwa ufupi wa akiri zao,wacha watu wale hilo pilau make wasipolila hapo huko majumbani noma ila chama cha magamba na wafuasi wake siku zao zinahesabika kwani zama zile zimekwisha tayari ndo maana wanaomba WABAKWE ILI WASHINDE UCHAGUZI.
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,351
11,577
igunga,kula pilau la magamba utashiba masaa mawili kisha njaa miaka kumi,kilimukagi bhajameni wametufanya maskini alafu wanatupa pilau ktk uchaguzi;wametufanya wajinga kama wao kwa tamaa zao;walizuia vyombo vya habari ili tusijue dunia inavyokwenda pia elimu ya uraia na haki ya mwananchi ili watutawale kwa ufupi wa akiri zao,wacha watu wale hilo pilau make wasipolila hapo huko majumbani noma ila chama cha magamba na wafuasi wake siku zao zinahesabika kwani zama zile zimekwisha tayari ndo maana wanaomba wabakwe ili washinde uchaguzi.
eeh kaka yamekuwa hayo?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom