Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Yaani ukisikia matumizi mabaya ya kitaifa ndio hapo utalia na Igunga.. wakati nchi za wenzetu wanapunguza matumizi kuboresha hali ya uchumi wao sisi ndio kwanza tunaongeza matumizi...Lakini tukubali moja ya kwamba Mtu mweusi na matumizi yasiyo na maana ndio MAISHA! Wee waulize watu hapa JF - Kuna ubaya gani kutumia mamillioni ili upendwe na mwanamke asiyekupenda?Well, uchaguzi umeisha sasa ni wakati wa kuangalia mbele na Taifa letu, badala ya kuyumbishwa na na huu uchaguzi mdogo ambao haina any-reflection kwa uchaguzi wa taifa ujao. Cha muhimu ni kujifunza aliyeshinda ameshinda nini na walioshindwa wameshindwa nini, na je wananchi wameshinda? na Taifa at large vipi limeshinda?
- Kwa machache tuliyoyasikia kuhusu huu uchaguzi, ukweli ni kwamba inakatisha sana tamaa on our Nation at large, tunakwenda wapi? Na tunatoka wapi? Mapesa yote yaliyotumika yametoka wapi? Je yatalipwaje huko yaliokotoka?
HUZUNI TUPU KWA TAIFA!
Willy @ NYC, US. - Baharia Mutus!
Hiyo ni halali hata ikiwa na saini moja tu, kwani utamlazimisha mtu kusaini kama hataki?
ndomana unaolewa halafu unaachika,we uache kulala na mumeo unabishana na wanaume wa wenzio kwenye mitandaoHiyo ni halali hata ikiwa na saini moja tu, kwani utamlazimisha mtu kusaini kama hataki?
Mkuu,Natamani Nape aendelee na mradi wake wa kuvua magamba vigogo ili kampeni iendelee.
Baada ya ya Igunga tunaelekea wapi kwa kampeni.
Lengo la falsafa lilikuwa ni kuwatoa waisilamu Makamba na Rostam. Magamba yameisha, chama kinaendelea na mambo mengine, waisilamu wanaendelea kudanganywa !
siyo mbaya ila wataisoma number 2015 CCM....
Wewe ndio bure kabisa nani kakudanganya RA ni Muislam? Umesomea BAKWATA nn wewe? Nyie ndio mna ufanya Uislam uonekane dini ya kuchezewa na kila mtu atakavyo. Si ajabu hata mama Kimario unadhani ni Muislam. FUNGUA AKILI! RA haswali msikitini. Jaribu kuchunguza.
Ingawa tunapaswa kuwa na mipango ya muda mrefu, lakini Mla ni mla leo, hayo ya 2015 ni maajliwa ya Mwenyezi Mungu. Mwaka 2015 Afrika Mashariki itakuwa nchi moja na Rais atakuwa Y. M7.
Chama cha kijani kimeahinda kwa kuiba kura 26,000....[/QUOTE]
Kama JK aliiba kura atashindwa nini kuiba kura za Igunga. Wacheni wajichimbie makaburi. wameshindwa kuhesabu kura chini ya laki mbili kwa masaa? AIBU KUU.