Igunga: Mfuasi wa CUF kavamiwa na wafuasi wa CCM kapewa kipigo yupo hoi Hospitali

Jitihada za panya kula paka hizi!
Shigela wa ccm amemtwanga mangumi na mitama ya rashasha mtatiro wa cuf.
Sosi: tbc
kwani TBC HAIDANGANYI? mimi siliamini habarileo na hata TBC. kwani tangu yule mtoto alietaka kupiga bomu la maji pale ubalozi wa marekani. halafu HABARAILEO likaingiza propaganda yake. kwa hivyo hata TBC inaweza kudanganya
 
Hawa CCM wanafikiri Tanzania ni mali yao, chama kimepoteza heshima ya zamani ile ya kina Mzee Nauye leo kimekuwa chama cha vurugu.
 
Mkuu ww ndio hujamwelewa huyu Malaria Magamba Sugu, Yaani haamini mtu waliyefunga naye ndoa anaweza kuwafanyia fujo ndio maana anawahi kusema ni CDM, maskini hajui..kikulacho ki nguoni mwako!
 

huo ni ugomvi wa mume na mke hatuingilii
 
Nyie siku hizi mnatembea na bastola. Duh!

lakini kwa nini shigela amemkata mitama huyo mshkaji wa cuf? Huu ni uhuni, kwa vile mnatembea na bastola basi mnapiga watu hovyo hovyo.
hahahhah. Naogopa kumwagiwa tindikali? Au hutakuja na chupa hiyo?
 
Jf ingejaa waleta mada wa hivi nadhani tungechagua kucheza bao kuliko kuperuzi...are you informing or may be you are just seeking to gather the news from Jf?
 
Matukio ya Igunga yanatosha kuandaa movie. Kila siku kuna tukio jipya la kusikitisha.
 
ni yale makomando ya chadema yaliyotoka Afghanistan na Libya baada kushindwa vita huko na majeshi ya waasi sasa yapo CDM.
 
Chama cha wahuni kile cha Makomandooo, wana preach wasichokiamini hata kidogo
 
naomba kwa aliesikiliza taarifa ya habari kati ya tbc na radio one..eti wamesema mkutano wa bakwata umevunjika huko igunga huku viongozi hao wa dini wakirushiana maneno makali..nimeiweka hapa maana sina uhakika nayo
 
Police hapo hawajui kama kuna sheria ya kuwafikisha hao vijana wa ccm mahakamani kwa sababu ni wa ccm ingekua cdm hata jumuia ya waislam washalaani
 
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune.
 
Hawa CCM wanafikiri Tanzania ni mali yao, chama kimepoteza heshima ya zamani ile ya kina Mzee Nauye leo kimekuwa chama cha vurugu.

ahadi za Nape zimeanza kutekelezwa. Vijana wao wameanza kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…