IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?

Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?

Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
Hawa viongozi wetu hawa!!! Dahhh......yaani hata kama wanania nzuri....hivi unatangaza mbinu za kukabiliana na adui hadharani? Kwanini usipandikize watu humo kimya kimya wakaanza kuangalia hicho unachokitaka?

Kweli ombwe la uongozi Tanzania limekuwa too much sasa...ndio maana Kipanya amewachora, yaani nikichekesho kitupu. Pumzike kama mnashindwa kwenda na kasi ya mabadiliko ya Dunia...sio lazima mfie huko.
 
Ndio hapo sasa
 
na hiki ndio alikisema James Mbatia last week, kwamba wao polisi ndio wachochezi na magaidi

kuwa harass Waislamu au kundi la dini yeyote ile ni kuwajaza chuki na ndio uchochezi wenyewe huo
Hata kwenye tukio la Hamza Sirro alikuwa very unprofessional, alionesha chuki kwa familia na dini ya Hamza waziwazi. Kwa kiongozi mkubwa kama yeye ule ni uzembe wa hali ya juu mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom