IGP Said Mwema aongezewa mkataba

IGP Said Mwema aongezewa mkataba

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,807
Ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi. Inadaiwa kuwa Ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini IGP Said Mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.

My take:
Inaonekana IGP amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti CHADEMA katika harakati zake.

================
Kutoka kwa members wengine:
================
Katika kile kilichodaiwa Rais kutaka baadhi viongozi wa Jeshi la Polisi kuendelea kuwa kazini mpaka 2015 amewapa mkataba wa miaka miwili Mkuu wa Jeshi hilo Said Ally Mwema, Seleman Kova, Michael Kamhanda ambao kisheria walipaswa kustaafu ifikapo Julai Mosi.

Iimekaaje hii!?
 
This is disgusting. Kinachoendelea hapa TZ ni kwamba hii serikali ya ccm imeshatuona sisi wananchi ni wapuuzii tu na hatuwezi kuwafanya lolote, wameshaona hata wakituchomeka vijiti HATUWEZI kuwafanya lolote...

Pia, na sisi waTZ tumeendelea kuwa mazuzu mno na wapuuzii tu kwa kuendelea kuwaachia hawa mbwea kuendelea kututawala. Inatupasa tuwatoe madarakani kwa nguvu hawa manyang'au....
 
Kwa mujibu wa kipindi cha magazeti cha channel 10 cha saa 2 asubuhi hii,kuna gazeti limeripoti kuwa IGP Mwema ameongezewa mkataba.Sijui ni kwa muda gani maana mtangazaji hakusema na wala sikumbuki ni gazeti ila hiyo ndio taarifa kwa ufupi kama ilivyosomwa.

MY TAKE:Hivi hakuna watu wengine?Haya si matumizi mabaya ya madaraka ya Raisi?
 
Ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi.Inadaiwa kuwa Ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini IGP Said Mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.

My take; Inaonekana IGP amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti CHADEMA katika harakati zake.

Safi sana! Ndio vizuri 2015 awepo madarakani ili atimize sifa za kutoa majibu kwa kila pumzi ya Mtanganyika itakayo potea.

Zaidi ni kwamba, aliye muongezea mkataba anachelea kuwa peke yake siku ile inayo subiriwa na wengi pale kizimbani.

Nasi tunafurahi ili afikishe sifa zote zitakazo mpeleka ISANGA.
 
Maskini Jeshi la Polisi! Nawahurumia hawa jamaa kwa kuwa wao hufanya kazi kwa amri kama mashine. Nina uhakika kuna polisi wengi tu ambao dhamira zao zinawasuta kwa kile wanachotumwa kutekeleza na CCM Lakini inabidi wafanye kwa kuwa jeshi huendeshwa kwa amri.Ipo siku wataamua kuzitii dhamira zao.Ikiwa kweli IGP atakuwa kaongezewa mkataba; Lengo litakuwa ni ili Atimize lengo maalum.Pengine kuisaidia CCM katika mikakati yenye utata.Mungu ana uwezo zaidi ya wote.Hakika atatunusuru tu.
 
Sifa kubwa ya kuongezewa mkataba ni kwamba anaujasiri wa kuuwa.
kingine anafanya kazi kwa vimemo toka Lumumba.
pia ni kada mwaminifu wa CCM.!!
 
ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi.inadaiwa kuwa ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini igp said mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.

My take; inaonekana igp amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti chadema katika harakati zake.

inadaiwa...!??
 
Sifa kubwa ya kuongezewa mkataba ni kwamba anaujasiri wa kuuwa.
kingine anafanya kazi kwa vimemo toka Lumumba.
pia ni kada mwaminifu wa ccm.!!
Mkuu kwa hatua iliyofikia, ni wakati muafaka kabisa kwa wananchi sasa kusema tunataka serikali adilifu ambayo haitatumia vyombo vya usalama kuhujumu nchi bali wataviacha vyombo vya usalama visimamie maslahi ya Taifa, raia, na ustawi tena kwa kufanya kazi kwa uhuru na kuzingatia weledi.Zaidi ya hapo; nashindwa kupata picha halisi ya hatima ya nchi hii kwa jinsi mambo yanavyoenda.
 
Katika kile kilichodaiwa Rais kutaka baadhi viongozi wa Jeshi la Polisi kuendelea kuwa kazini mpaka 2015 amewapa mkataba wa miaka miwili Mkuu wa Jeshi hilo Said Ally Mwema, Seleman Kova, Michael Kamhanda ambao kisheria walipaswa kustaafu ifikapo Julai Mosi.

Iimekaaje hii!?
 
Ni sahihi kabisa ili apambane na ugaidi na kutoa ripoti kamili ya kazi aliyowapa Chagonja na Kamuhanda.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa hiyo mtu aliyeifanyia kazi ama kuitumikia serikali zaidi ya miaka 30 akiongezewa miaka 3 ni kosa? Yeye tayari ana uzoefu ambao unahitajika.
 
Rato

Hii taarifa siyo kweli - ni speculations...!
 
Last edited by a moderator:
Wana utumishi uliotukuka.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom