IGP mbona anashushiwa heshima!

IGP mbona anashushiwa heshima!

mtundu27

Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
78
Reaction score
123
Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.

Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?

Leo tumesikia hukoTarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu Zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.

Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?

Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.

Maana alianza Kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya Mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.

Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
 
ulitaka apokee amri kutoka kwa zitto
 
Kwa sababu ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa
Kwanini hawa wanasiasa wawe na dharau kiasi hicho kwa jeshi letu la Polisi? Hivi Polisi ni watu wa kuwadunisha kiasi hicho kwamba atawafukuza kazi kizembe namna hiyo? Huyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapata wapi mamlaka ya kufukuza?
Polisi wanataka wafanya kazi zao kwa weledi lakini wanasiasa wanataka wafanye kazi zao kwa kufuata maelekezo yao, hizi ni dharau za wazi sasa.
 
Hayo yote yanayofanywa na vyombo vya Dola yalishaonywa kwenye Waraka wa viongozi wa Dini.Hivyo kwa haya yanayoendelea ni viashiria tosha kuwa taifa linahama kwenye mfumo wa kidemokrasia na linaelekea kwenye mfumo wa kupeana madaraka kwa njia zisizo na uhalali wa kikatiba.
 
Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.
Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?
Leo tumesikia huko tarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.
Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?
Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.
Maana alianza kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.
Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Ikamwagike kwanza Damu ya waliokuleta Wewe duniani na kizazi chako kabla haijamwagika tone la Mtanzania yoyote..Amen.
 
Hii awamu ni ngumu sana, huyu mtu akiondoka nchi nzima watu watapika pilau, wenye kulewa watalewa sana, watoto watanunuliwa nguo mpya, wapenzi nao watapeana mapenzi motomoto. Itakuwa sikukuu/sherehe mijini na vijijini.
Kumbuka kuweka akiba ya maneno kamanda. Mlisema haya katika awamu iliyopita. Na kuna mwenzenu alidiriki kufungua Uzi humu JF na kusema ya kwamba Ataidhimisha kwa sherehe siku atakayoondoka J.M Kikwete madarakani kila mwaka. Leo hii huyo kamanda minyoya kila siku anakuwa na wastani wa Nyuzi 20 za vilio na kusaga meno.
 
Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.
Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?
Leo tumesikia huko tarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.
Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?
Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.
Maana alianza kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.
Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Huo ni muhemuko tu, hakuna lolote. Hakuna damu itakayomwgika na mkileta fyokofyoko cha moto mtakiona. Fanya kazi ule uendelee kuishi.
 
Ikamwagike kwanza Damu ya waliokuleta Wewe duniani na kizazi chako kabla haijamwagika tone la Mtanzania yoyote..Amen.
tatizo nchi inaongozwa na shetani muaji nayenuka damu kwa hiyo haoni kuvuruga taasisi ni hatari kwa usalama wa nchi
 
Ikamwagike kwanza Damu ya waliokuleta Wewe duniani na kizazi chako kabla haijamwagika tone la Mtanzania yoyote..Amen.
Shangazi wa Kassim Majaliwa ndiyo atakuwa wa kwanza kupewa kipigo kama alivyoahidi mwenye mamlaka.
 
Kwa hiyo anapata sababu ya kuamua kinyume na sheria.Yeye alipaswa kupeleka askari wa kutosha ili usalama uwepo.Au labda mimi sijakuelewa wewe

Ukawa hamjawahi kufanya mikutano ya staha bali mnaanza vizuri mnamalizia na vurugu kila mara. CCM hawahitaji ulinzi kwani wanajiamini mno wala hawanaga mihemuko. Poleni sana mliofikwa ila jifunzeni tu kuwa wapole
 
Ndio maana mnapigwa chini kwenye teuzi maana hapa uneandika uharo ambao ni ushahidi tosha kuwa vijana wa lumumba hawana akili kabisa.Yeye alitakiwa apeleke polisi kuweka usalama kama anaona kusingekuwepo na usalama.
 
Back
Top Bottom