IGP mbona anashushiwa heshima!

IGP mbona anashushiwa heshima!

Ndio maana mnapigwa chini kwenye teuzi maana hapa uneandika uharo ambao ni ushahidi tosha kuwa vijana wa lumumba hawana akili kabisa.Yeye alitakiwa apeleke polisi kuweka usalama kama anaona kusingekuwepo na usalama.

Hebu rudia taratiib kusoma andiko lako ulinganishe na nilichoandika useme aliyeandika uharo ni nani kati yangu na weye.
 
Wewe umeandika kuwa mikutano ya upinzani haina staha.Ila mikutanonya fisiem ina staha?Jitahidi tu kurudisha akili yako mkuu.Unataka staha gani wewe?Hivi yale alosema James wa Uvfisiem kwenye mkutano wa hadhara ndo staha unayotaka?Ndo maana najaribu kusema vijana wa Lumumba akili hamna na zaidi haya yote mnajitakia wenyewe.
 
Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.

Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?

Leo tumesikia hukoTarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu Zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.

Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?

Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.

Maana alianza Kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya Mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.

Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Damu haiwezi kumwagika.
Mwenye damu Nyingi akajitolee Muhimbili kwa wagonjwa.

MTU mmoja kama anataka kusababisha damu kumwagika atakua hajitambui kuwa damu inatakiwa kutolewa kwa ajili ya wagonjwa sio kwa ajili ya uchaguzi.

Kama amri hiyo inapingana na Sheria na Katiba kwa nini huyo mkuu wa mkoa asiburuzwe mahakamani?

Mnavyoshindwa kutumia mahakama ndio maana wao wanawakamata na kuwaburuza mahakamani kwa kesi za kijinga.

Ila naamini Zito Kabwe anaweza siasa za aina zote mana anaujasiri.
 
Wewe umeandika kuwa mikutano ya upinzani haina staha.Ila mikutanonya fisiem ina staha?Jitahidi tu kurudisha akili yako mkuu.Unataka staha gani wewe?Hivi yale alosema James wa Uvfisiem kwenye mkutano wa hadhara ndo staha unayotaka?Ndo maana najaribu kusema vijana wa Lumumba akili hamna na zaidi haya yote mnajitakia wenyewe.

Tulia tu hata siku moja baba hakosei. Sasa hivi CCM ndo baba mpe ushirikiano 5 yrs uone anafanya nini. Umeisikia kauli ya baba askofu?? " Nilikuja na moyo ulioinama sana moyo umekunjuka..." In his immaculate voice. Dr Shoo. Upo?? Tulia utaijua nia yake njema tu.
 
Sasa wewe hiyo kauli tu ushalainika.Hivi ninyi Lumumba mna matatizo gani?Dah!Eti tumpe ushirikiano kwani hapewi ushirikiano?Huu wa Tarime ni uchaguzi mkuu.Sera zilitakiwa zinadiwe wananchi wachague sera zilizo bora kutoka chama chochote.Au unataka CDM wasisimamishe mgombea ndo ujue kuwa Jiwe anapewa ushirijiano?
 
Atawafukuza?

Kwani mwajiri wa polisi ni RC ?

Hi ni awamu ya vichekesho sana.

Kwa taarifa yako mtumishi yoyote wa umma kwa sasa anaweza kufukuzwa kazi muda wowote iwapo hatoi ushirikiano wa ccm kushinda kwa hila. Huu ni ukweli mchungu na hata hao polisi kuanzia IGP na mwingine yoyote aliye chini yake hilo wanalifahamu. Inaudhi kwani ni kinyume cha sheria lakini ndio uhalisia.
 
IGP aliambiwa ikifika saa kumi na mbili awe kapiga paredi na mbwa pale bandari

Kama IGP kadharaulika kiasi hicho unategemea nini kwa hawa Makostebo ? Wangetimuliwa kweli ndio tulipofikia kama nchi ,

Tundu Lisu alisema hivi akiwamaliza wale atawarudia ninyi
 
Sasa wewe hiyo kauli tu ushalainika.Hivi ninyi Lumumba mna matatizo gani?Dah!Eti tumpe ushirikiano kwani hapewi ushirikiano?Huu wa Tarime ni uchaguzi mkuu.Sera zilitakiwa zinadiwe wananchi wachague sera zilizo bora kutoka chama chochote.Au unataka CDM wasisimamishe mgombea ndo ujue kuwa Jiwe anapewa ushirijiano?

Mgombea aliyepita alikuwa chama cha kilaghai akapata ufahamu akajiuzulu. Unataka tukirudishe chama lkaghai?? Pole, ili waje kununuliwa tena??
 
Mkuu sasa ndo umedhihirisha kuwa wewe ni zero brain.Inaelekea hata huelewi maada kuu inahusu nini yaani. Maana huu ni muda wa kampeni sasa unataka nini zaid kama sio wagombea kunadi sera zao?kama hujaelewa nenda kaanze upya kupitia uzi huu labda ndo utaelewa nini ni nini!
 
Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.

Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?

Leo tumesikia hukoTarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu Zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.

Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?

Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.

Maana alianza Kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya Mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.

Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Magufuli kaanzisha ujinga huu, sasa kila mjinga mwenzake anamgeza.
 
ulitaka apokee amri kutoka kwa zitto
Yaani jingalao huna thamani chamani,, unazidiwa mpaka na akina Jokeri wamelamba dume wewe upo upo tu unapiga vigelegele? Wacha Umazwazwa wewe amka dada!!
 
Mkuu sasa ndo umedhihirisha kuwa wewe ni zero brain.Inaelekea hata huelewi maada kuu inahusu nini yaani. Maana huu ni muda wa kampeni sasa unataka nini zaid kama sio wagombea kunadi sera zao?kama hujaelewa nenda kaanze upya kupitia uzi huu labda ndo utaelewa nini ni nini!

Sina mda
 
Kwanini hawa wanasiasa wawe na dharau kiasi hicho kwa jeshi letu la Polisi? Hivi Polisi ni watu wa kuwadunisha kiasi hicho kwamba atawafukuza kazi kizembe namna hiyo? Huyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapata wapi mamlaka ya kufukuza?
Polisi wanataka wafanya kazi zao kwa weledi lakini wanasiasa wanataka wafanye kazi zao kwa kufuata maelekezo yao, hizi ni dharau za wazi sasa.
Ni kweli kabisa kuna tatizo kubwa sana MTU mwenye ajira ya umma tena ya kitaalam na ya muda mrefu au ya kudumu wanavyoiita kuendeshwa na mtu mwenye ajira isiyo na muda maalum tena inayotegemea matakwa ya mtu mmoja.

Kazi za kijeshi sio kazi za kisiasa wala za uteuzi.
Ni kazi za kitaalam na zinafuata misingi ya sheria na taratibu zake.
 
Inasikitisha sana na wakati mwingine inatia hasira kali kichwani
 
Hayo yote yanayofanywa na vyombo vya Dola yalishaonywa kwenye Waraka wa viongozi wa Dini.Hivyo kwa haya yanayoendelea ni viashiria tosha kuwa taifa linahama kwenye mfumo wa kidemokrasia na linaelekea kwenye mfumo wa kupeana madaraka kwa njia zisizo na uhalali wa kikatiba.
Kwa yanayoendelea 2020 sijui itakuwaje
 
Ndio maana mnapigwa chini kwenye teuzi maana hapa uneandika uharo ambao ni ushahidi tosha kuwa vijana wa lumumba hawana akili kabisa.Yeye alitakiwa apeleke polisi kuweka usalama kama anaona kusingekuwepo na usalama.
Usalama upi? Rejea msukuma anavyotukana wapinzani live kwenye mikutano, juzi juzi kheri james kaongea maneno ya ovyo kabisa, yule mnyeti je?
Hawa ccm na vijana wao wanaona poa tu sababu wana viposho vyao kila kukicha, ila kuna siku hasira za watu mioyoni zikifumuka kutokana na yanayoendelea wenda hata jeshi lisiingilie, maana uonevu ni wa wazi wazi.
Bora tuna jf angalau tunapashana habari maana vituo vya habari navyo vimebaki kama tbc, azam ilivyokuwa neutral wameshaifanyia figisu na bado mijitu inaona huko tunakoelea ni sawa.
Wakati ilibidi watu waogope kwa kinachoendelea, jiulize udiwani tu ni hivi, je 2020 itakuwaje?
 
Back
Top Bottom